kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
mimi na2umia mawe kufukuza kunguru wanaovizia kula vifaranga vya kuku wangu!!Ovyo sana...utakuta watu wapo busy kwenda kushika jiwe ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi na2umia mawe kufukuza kunguru wanaovizia kula vifaranga vya kuku wangu!!Ovyo sana...utakuta watu wapo busy kwenda kushika jiwe ..
Wanachokiogopa waarabu hususan Saudi Arabia ni uongozi tu wala sio kingine.Nchi za kiarabu wanaamini Iran ni hatari kwao zaidi wa Israel. Wanaamini Israel hawawezi kuhatarisha usalama wao kwa sababu Israel ni watu nipe nikupe kwa maana nyingine maslahi ya pande zote( Mutual interest). Kwa upande wa Iran wao wanaendeshwa na ideology za kidini zaidi wata ku support ukiwa kama wao kwa maana Shiaa. Na Iran hatari zaidi kwa kuweka vikundi vyao katika nchi kama Lebanon, Yemen na Syria wana ushawishi mkubwa na yote udini.
Ndio maana nchi za kiarabu hawana shida kwa Israel kuwa na nuclear ila wana wasiwasi Iran kuja kumiliki silaha hizo kwa sababu watakuwa hatarishi kwao direct. Kwa maana nyingine nchi za Kiarabu wanamkubali Israel zaidi kuliko Iran. Ukija kwenye ukweli wako sawa kabisa. Mfano sisi Tanzania ukiniambia nani afadhali kwa usalama wetu Kenya au Rwanda, nitakuambia Kenya sababu hawawezi kutudhuru maslahi yetu yanafanana lakini Rwanda ni hatari kama watakuwa na power wanaweza kuja kukata Tanzania na kuleta maafa. Kila mtu ana majirani lakini hawafanani, Hata katika mitaa yetu unasema kabisa huyu mzee akija kupata hatutalala mtaani ila yule hana shida.
Ulichoandika ni ukweli ila wasiyojua watapinga.Wanachokiogopa waarabu hususan Saudi Arabia ni uongozi tu wala sio kingine.
Na uongozi wenyewe ni usalafi dhidi ya Ushia.
Ila Iran ni taifa ambalo liko tayari kusaidia yeyote hata asiyekua shia,Palestina wanapokea misaada ya Iran lakini Palestina sio Shia.
Waarabu wengi wameshaanza kuja upande wa Iran kwa sababu washajiona hawako salama chini ya USA na Israel kwa kinachotokea Gaza na Syria na Lebanon.
Isipokua kuna mataifa kama Jordan,Bahrain na Saudi Arabia wao bado wako upande wa US na Israel.
Ila waarabu nao washachoka kuwa watumwa wa wazungu na mayahudi kidiplomasia.
Saudi is modernizing, yes indeed fastTulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu
Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua mkombora ya Iran ili kuinusuru Israel.
Leo Saudi Arabia nayo imekiri kushiriki nyuma ya pazia kuinusuru Israel isichezee fire.
Labda watu wasichokifahamu ni kuwa Utawala wa Hashimite wa Jordan kiasili ni Wasaudia, Ufalme huo ndiyo uliokuwa ukiongoza eneo la leo la Saudia ambapo kuna Makkah na Madina (Zamani palikuwa pakiitwa Hijjaz). Waingereza waliwachezea trick hawa waheshimite kwa kuwaambia waasi utawala wa ottoman katika eneo hilo kisha waottoman wakishindwa vita watawafanya wao kutawala eneo hilo. Kweli Waheshimite wakaanzish operesheni za kuwasabotage Waottoman mpaka muingereza akitumia majasusi wake akina Laurence of Arabia akafanikiwa kumng'oa Muottoman huko.
Lakini at the same time Muingereza alikuwa na Plan B, alikuwa na mshirika wake mwingine akiitwa Al-Saud, akamsaidia Al-Saudi kuwapiga na kuwaondoa waheshimite huko Hijjaz ufalme wa Hashim ukapewa option ya kuondoka Saudia waende wakatawale Iraq, Hata hivyo hata huko Iraq ilishindikana na ndipo wakati Muingereza aliposhinda vita ya pili ya dunia na kufanikiwa kumuondoa Ottoman empire katika eneo lile la Palestina na Jordan, Muingereza akakata pande la nchi akaupa utawala wa Jordan utawale pale. Kwa hiyo huo utawala wa Jordan ni Wasaudia wanaolindwa na Muingereza kama ambavyo utawala wa Saudia wanavyolindwa na Muingereza na mmarekani.
Kwa hiyo, kiufupi Umma wa Waarabu unachukia mambo ya Magharibi ila Wafalme wao wamo mfukoni
Hii habari inaweza kuangaliwa hapa:
-------------------------------------------------------------------------------------------------
Saudi Arabia acknowledges helping defend Israel against Iran
Saudi Arabia acknowledged that it had helped the newly forged regional military coalition — Israel, the United States, Jordan, the United Kingdom, and France — repel an Iranian attack against the Jewish state early Sunday morning, in an unusual post on its royal family’s website.
It referenced a story on KAN News about the Saudi involvement in the military defensive operation in which 99% of the Iranian drones and missiles were destroyed before hitting their targets.
Many of the drones and missiles had to travel over Jordanian and Saudi airspace to reach Israel.
Riyadh subtly admits it played a part in defense against Iran
Jordan has been public about its involvement, while the closest Saudi Arabia has come to acknowledging it was the story it posted on its website summarizing what a source from the Saudi royal family had told KAN.
“The individual subtly acknowledges Saudi Arabia’s supposed involvement in thwarting Iranian attack drones bound for Israel the previous evening, citing that Saudi Arabian airspace automatically intercepts “any suspicious entity"", the report on the royal family’s website stated.
![]()
Saudi Arabia says it helped defend Israel against Iran — report
Many of the drones and missiles had to travel over Jordanian and Saudi airspace to reach Israel.www.jpost.com
Saudi is modernizing, yes indeed fast
View attachment 2972581