Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

... Lakini si unasoma projectile direction? Kama halitui kwako unaliacha linapita zake? Lenye uelekeo wa kuja kwako unaliwahi kule kule angani?
 
... Lakini si unasoma projectile direction? Kama halitui kwako unaliacha linapita zake? Lenye uelekeo wa kuja kwako unaliwahi kule kule angani?
Unaweza jua linatua wapi ukisoma projectile direction kama kombora lipo kwenye terminal phase. Au pale immediately baada ya kufyatuliwa ukajua linaelekea wapi ila hujui litatua wapi, na hapo katikati likiwa kwenye cruising huwezi jua linaenda wapi.

Na inategemea placement ya hizo air defense system, kama radar ipo Ujiji na launcher ipo Tabora na unaona kombora linaingia anga la Kigoma kuelekea Tabora, huwezi liacha wakati unajua Tabora hakuna launcher au hakuna radar coverage. Na kama ni crusie missile inaweza change course, hujui kama linaenda mji mkuu Dodoma. Na hizo drones nazo zinabadili uelekeo. Haujiaminishi tu kwamba sisi Congo hatuna ugomvi nao wako wanapigana na Kenya.

Hao majirani za Iran wote wana wasiwasi nae. Jordan ina makundi ya Kipalestina yanapewa silaha na Iran, Saudi Arabia ni Wasuni wana ugomvi na Washia wa Iran. Sasa wanajiamini vipi kwamba hawapigwi wao.
 
Waarabu wameshawekwa kiganjani na Marekani kitambo, hat suala la Palestine wameshalisahau
 
Kama wale takataka zingine wanaojipendekeza kwa mazayuni na wamagharibi
Mkuu ulivyo jeusi tii kama tako la iddi Amin eti una uhakika ukifa kwenye uislamu utabadilika kuwa mwarabu ndo maana mnajisugua paji za zenu mpate sijda. Sababu kubwa ya nyie mijitu mieusii kuwa miislam ni kubadilika kuwa miarabu mkifa.

Jagina mjingamimi zonda THE BIG SHOW
 
Yaani ninyi, Madhehebu ni muhimu kuliko Uislamu mpaka mkashirikiane na adui dhidi ya mwislamu mwenzenu? Kweli mmegawanywa na mmekubali kugawanyika
 
Yaani ninyi, Madhehebu ni muhimu kuliko Uislamu mpaka mkashirikiane na adui dhidi ya mwislamu mwenzenu? Kweli mmegawanywa na mmekubali kugawanyika
Hii haihusu madhehebu wala dini ya kiislamu bali ni ukabila miongoni mwa waarabu.
 
Huwa nnachukia sana kuona mtu anaongea kitu ambacho hana ujuzi nacho kwani kitu km hukijui ukinyamaza utakuwa mjinga?sasa ww aliekwambia sunni na shia ni makabila nani?yaani sawa utuambie kabila la kkkt na kabila la wasabato huna unachojua hila wakristo wengi huwa wanajifanya wanaijua sn uislam wakati ya kwao tu hawayajui na mngekuwa mnaijua dini yenu msingemuita binaadamu mwenzenu mungu
 
Hapana, kutambua kuwa hawa na washia na hawa ni wasunni ni rahisi sana.

Nimeingiza kwa makosa neno ukabila kwani lilinijia suala la Kimbari.

Wasunni na Washia ni waislam ambao wanafuata misingi yote mitume na msahafu takatifu.

Na tatizo linowatenganisha ni imani kwamba yupi khasa ni kiongozi wa dini ya kiislamu baada ya kifo cha mtume Muhammad.

Wasunni na ambao ndo wengi wao waamini kwamba Abu Bakar ambae alikuwa ni mfuasi wa mtume ndie anestahiki kuwa kiongozi, wakati Washia ambao ni wachache wao waamini kuwa Ali ambae alikuwa ni mkwe wa Mtume Muhammad ndie aliestahiki kuwa kiongozi wao.

Shia maana yake ni jumuiya ya Ali.

Huo ndo uelewa wangu kiasi lakini waweza kukosoa na kunisahihisha.
 
Waarabu wengi wa mashariki ya kati hawapendi vurugu za Iran
Nchi za kiarabu wanaamini Iran ni hatari kwao zaidi wa Israel. Wanaamini Israel hawawezi kuhatarisha usalama wao kwa sababu Israel ni watu nipe nikupe kwa maana nyingine maslahi ya pande zote( Mutual interest). Kwa upande wa Iran wao wanaendeshwa na ideology za kidini zaidi wata ku support ukiwa kama wao kwa maana Shiaa. Na Iran hatari zaidi kwa kuweka vikundi vyao katika nchi kama Lebanon, Yemen na Syria wana ushawishi mkubwa na yote udini.

Ndio maana nchi za kiarabu hawana shida kwa Israel kuwa na nuclear ila wana wasiwasi Iran kuja kumiliki silaha hizo kwa sababu watakuwa hatarishi kwao direct. Kwa maana nyingine nchi za Kiarabu wanamkubali Israel zaidi kuliko Iran. Ukija kwenye ukweli wako sawa kabisa. Mfano sisi Tanzania ukiniambia nani afadhali kwa usalama wetu Kenya au Rwanda, nitakuambia Kenya sababu hawawezi kutudhuru maslahi yetu yanafanana lakini Rwanda ni hatari kama watakuwa na power wanaweza kuja kukata Tanzania na kuleta maafa. Kila mtu ana majirani lakini hawafanani, Hata katika mitaa yetu unasema kabisa huyu mzee akija kupata hatutalala mtaani ila yule hana shida.
 
Good contribution , Iran ni cancer mashariki na kati na kwanini utumie anga ya mtu kibabe
 
Wasuni wanamuombeaga heri swahaba wa mtume bwana Abubakar ila Shia wanaamini Abubar hakuwa swahaba wa mtume, hilo tu ni ugomvi kati yao
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…