Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

Unatumia hisia kuhukumu???ww wanijulia wap????mbna mnakuwa watumwa mpaka leo huku ukijidai umeelimika???
 
Kinachowaponza viongozi wa kiarabu ni unafk tu hakuna kingine
 
Adui wa adui yako ni rafiki yako
Kwani huu msemo huujui?
Tangu lini Waarabu wana urafiki na Iran?
Na pia hawana urafiki na Israel wengi wao hata sisi tulikuwa hatuna ukaribu nao na Nyerere aliwachukia kwa uonezi wao tangu zamani

Sasa walipoona Israel anataka kubomolewa wakajua next watakuwa wao kwa hiyo hapo ndio unaingia huo msemo
Your enemies enemy is your friend
 
Pia ikumbukwe Iran ni wa Shia na Saudi ni wa Sunni,waSunni hawawakubali washiha hata kidogo they are antagonists
 
Rais wa Uturuki aliipiga vita israel na kuilaani ilipoingia gaza hadi akavunja mahisiano. Akaigiza kukamata ‘majasusi’ Israel.

Kumbe ilikuwa ni mbinu ya kampeni kuvutia wapiga kura. Baada ya kushinda uchaguzi ameanza kuomba kurudisha mahsiano na Israel
 
Iran ni nchi yenye nidhamu ya juu sana na haipendi vurugu na mtu yoyote kinachowqkera wamegharim ni uwwzo wake wa kujitegemea na kufanya ugunduzi wa technology kwenye jeshi lake
Tena licha ya kuwekewa vikwazo miaka zaidi ya 40 bado jamaa sasa watengeneza UAVs na makombora hadi ya Hypersonic.

Na silaha hizi ni aina tofauti.
 
Hawa wa hapa kwetu ni takataka zinazojipendekeza kwa waarabu. Mujahidina weusi hawatambulikani popote.
Kuna Kenge wengine wakiwa huko kwa Wayahudi wanaonekana wananuka wanatemewa mate lakini wao wamekazana kujipendekeza kwao!
 
Kinachowaponza viongozi wa kiarabu ni unafk tu hakuna kingine
Huo ni mtazamo wako lakini soma history ya hizi nchi, nchi yoyote inaweka maslahi yake mbele kiulinzi, kiuchumi na mengine mengi sasa usitegemee Jordan akasimame na Iran wakati maslahi yake makubwa ni Israel sio Iran. Maamuzi ya kisiasa hayafanyiwi kwa mihemko ni akili. Sasa inategemea tafsiri ya unafiki ni ipi. Egypt hawezi kukurupuka tu wakati yeye ana mkataba na Israel kwa maslahi ya nchi mbili.

Kumbuka Saddat aliuliwa na wana siasa kali sababu tu alisign mkataba wa amani na Israel. Aliweka maslahi ya Egypt mbele kabla ya Palestine issue. Alisema hatuwezi kuhatarisha maslahi yetu kwa kutegemea lini Palestine atafikia amani na Israel aliweka Egypt mbele. Wakamuuwa lakini leo hii nchi zote wanafanya yale aliyofanya Saadat Rais wa Egypt. Hapa hakuna unafiki ni kuangalia maslahi ya nchi kiusalama na kiuchumi. Rafiki mzuri mwenye maslahi na wewe.
 
tunajua ya kwamba israel hata msumbiji hawezi kuipiga bila msaada wa nchi kadhaa hivi
 
Kwahiyo israeli kasaidiwa na kijiji sasa anavojitutumua kurudisha mapigo wakikataa kumsaidia ataweza?
 
Hii gia uliyochomoka nayo hapa ni kiboko mkuu 🤣
 
Wasuni wanamuombeaga heri swahaba wa mtume bwana Abubakar ila Shia wanaamini Abubar hakuwa swahaba wa mtume, hilo tu ni ugomvi kati yao
[emoji23] [emoji23]
Naona unachochea kuni muyahudi wa mchongo ukiwa hapo mbagala.
 
Kwakifupi makombora yalianza kuzuiliwa tangu Iraq kwenye kambi za wamarekani kote saudia , UAE , Bahrain, Qatar mpaka Jordan lakini mwanaume Iran kapenya akauiingiza mzigo muyahudi akausikilizia kwa utamuu.
 
Umemwaga unyunyu wa historia safi.
Ila umekuja kuikojolea kusema Ottoman empire iliondolewa kwenye World war 2!
 
ngoja tuone kama Israel akilusha kombora zake ao waliopo katikati watazuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…