Nchi za Kiarabu zakiri kuisaidia Israel dhidi ya shambulizi la Iran

Kaah hii aibu hii kweli leo Israel ni wa kusaidiwa na nchi za kiarabu kukwepa kichapo cha Iran 🤣
 
Wanachokiogopa waarabu hususan Saudi Arabia ni uongozi tu wala sio kingine.
Na uongozi wenyewe ni usalafi dhidi ya Ushia.
Ila Iran ni taifa ambalo liko tayari kusaidia yeyote hata asiyekua shia,Palestina wanapokea misaada ya Iran lakini Palestina sio Shia.
Waarabu wengi wameshaanza kuja upande wa Iran kwa sababu washajiona hawako salama chini ya USA na Israel kwa kinachotokea Gaza na Syria na Lebanon.
Isipokua kuna mataifa kama Jordan,Bahrain na Saudi Arabia wao bado wako upande wa US na Israel.
Ila waarabu nao washachoka kuwa watumwa wa wazungu na mayahudi kidiplomasia.
 
Ulichoandika ni ukweli ila wasiyojua watapinga.

Ukifika Iraq sasa hivi hawataki siasa kama hizo za Ushia na Usunni kwa hali waliyofikia sasa hivi. Kwa sababu haujasaidia chochote mpaka nchi yao imeparaganyika. Wamegundua pameshakucha.

Hizo falsafa ndizo ambazo Saudia walitaka kuzipandikiza Yemen. Wayemen wamekataa. Nani sasa hivi anayemsaidia Palestina kama siyo huyo Myemeni?!
 
MK254 ambaye ana chuki kali dhidi ya Waislamu na waarabu hawezi kucoment kwenye huu uzi. Yuko busy na kuandika mada dhidi ya waarabu kumbe waarabu wenyewe wanaisaidia Israel.
 
Hili linajukikana bila msaada wa nchi za kiarabu israeli angeshafutika siku nyingi sana hapo mashariki ya kati.
 
Saudi is modernizing, yes indeed fast
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…