Msaada wa Egypt toka USA sio sawa na msaada kwenda Israel.Na Egypt pia inasaidiwa na marekani mabilioni ya dola mnajifanya hamjui kwa unafiki wenu.
Wanafiki wakubwa hawa US inasaidia nchi kibao za kiislam na hawapigi kelele ila akitoa msaada kwa Israel mayoe kibaooo by the way kuna wayahudi wengi sana tu US ambao wamefanikiwa kiuchumi na wanalipa kodi kubwa kupindukia kwa US gov sasa US akitoa msaada Israel tatizo lipo wapi?Na Egypt pia inasaidiwa na marekani mabilioni ya dola mnajifanya hamjui kwa unafiki wenu.
Umeongea kwa mihemko sana aisee halafu unaonekana mweupe kwenye geopolitics.Wanafiki wakubwa hawa US inasaidia nchi kibao za kiislam na hawapigi kelele ila akitoa msaada kwa Israel mayoe kibaooo by the way kuna wayahudi wengi sana tu US ambao wamefanikiwa kiuchumi na wanalipa kodi kubwa kupindukia kwa US gov sasa US akitoa msaada Israel tatizo lipo wapi?
Roho mbaya tena za kishetani zimewajaa hawa eti wanataka US asiwasaidie Israel unaipangiaje super power US isiisadie nchi nyingine mbona nchi kibao za kiislam zinafadhili magaidi na hawasemi
Kenya hii ambayo mwezi February tumewasaidia dawa za TB ambazo wameishiwa hospitali zao za rufaa??Nchi yako imeishindwaje keny?
US na nchi kadhaa za europe wameamua kuisaidia palestine ipate corridor baharini ili delivery ya misaada iwe kubwa ila wanafiki hawa hutokuta wakilisema hili utakuta wanapiga mayoe humu US mbaya US mbaya🤣🤣🤣Na Egypt pia inasaidiwa na marekani mabilioni ya dola mnajifanya hamjui kwa unafiki wenu.
iran na kelele zote hizo bado yupo chini ya EgyptHizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Dondoo muhimu:
vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel, kwetu nchi masikini tunaziona ni pesa nyingi.
Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu
Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
unazungumzia iwapo , wenzio wanazungumzia yaliyopoHapo ushaona Saudi Arabia kampita Israel.
Tukija kwa Iran naweza sema ni taifa lenye nguvu za kiuchumi kuliko taifa lolote hapo middle east kwasababu licha ya vikwazo vya kiuchumi toka 1980 mpaka leo hii ni middle upper income country.
Jiulize kama Iran isingewekewa vikwazo ingekua wapi.
Israel ni nchi inayolelewa na haina uchumi imara kama udaivyo.
Vita ya miezi mitano tu imeiangusha kiuchumi Israel kuliko udhaniavyo.
Marekani ilitoa zaidi ya dola bilioni 3.3 katika usaidizi wa kigeni kwa Israeli mwaka wa 2022, mwaka wa hivi majuzi zaidi ambapo data iko. Takriban dola milioni 8.8 kati ya hizo zilikwenda kwa uchumi wa nchi, wakati 99.7% ya misaada ilienda kwa jeshi la Israeli.Marekani inaisaidia Israel dola bilioni 3 kila mwaka sawa na shilingi trilioni 7.5, ni pesa nyingi sana kwetu tulipo mataifa masikini lakini kwa Israel ni ndogo sana
Hio pesa haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel,
weka ushaidi , hata mimi naeza andika ushubwada lkn bila ushaidi ni sufuriiWe kweli akili kisoda.
Mabilioni ya dola yanayotolewa Israel kupanga bajeti ya taifa na bajeti ya ulinzi unasemaje kuwa ni ndogo??
Israel inapewa misaada unconditionally,yani kama ile misaada ingegeuka kuwa ni mikopo basi deni lake lisingekua himilivu kitaifa.
mkuu utakuwa na stress , tunazungumzia vitu real na si story za iwapo asingewekewa vikwazoOna ulivyo na akili finyu.
Kwani nimesema ni mafuta pekee yanamtajirisha Saudi Arabia??
Na kwani uongo kuwa Saudia amempita Israel kiuchumi??
Iran ina nyenzo nyingi za kiuchumi mafuta,madini,bidhaa za viwandani mbalimbali,silaha pia anauza n.k n.k.
Hayo yote unayotaja kuhusu technology ni bleeeh bleeeh bleeeh za kumfanya Israel aonekane yuko vizuri.
Mataifa yaliyo mbele kiteknolojia ya aina zozote yanajulikana.
Nenda China kuna TEKNOLOJIA BORA YA KILIMO AMBAYO ISRAEL HATA ROBO HAIFIKII.
Misri tu ilianza teknolojia ya kilimo cha jangwani kwa hekari ndogo kuzalisha mazao mengi way back hata Israel hajalifikiria hilo.
ile 1T ya covid19 iliishia wap ? usimlalamikie mwengine kusaidiwa , jiulize kwann husaidiw wewe , nyie watu weusi ni laana , kila.msaada ccmu inagawana , mtu anakupa msaada anategemea kuna kitu in return , msaada kwa Israel ni muhimu sana , siku waislam wakishika Israel watavunja miji yote ya kihistoriaPole sana.
Jumla ya dola za kimarekani anazopewa Israel zinafikia takriban 9$ billion kwa mwaka.
Hizo pesa zina cover sehemu ya ulinzi na sehemu ya bajeti ya nchi.
Kama wewe unaona ni ndogo kwanini isingesema ikope inamudu kulipa na sio kupewa kama msaada??
Hivi unajua kuliwahi kutokea mvutano kuwa Israel ianze kujitegemea iache misaada kutoka USA ila Israel officials wengine walipinga wakisema muda bado???
yana umuhimu gan kwako ?Unayajua mahusiano yao?
Tz hampew misaada ? unaeza orodhesha mradi mmoja mmefanya bila msaada ? hata hao Urusi walipewa msaada na USA bila hivyo Hitler angeacha vitukuu pale KlemlinHao Israel nikelele nyingi bila misaada itakuwa kama TZ
toa mifano ya huku kwenu mashambani , maana nyiny ndo mnalalamika misaada ya Israel , China , Japan , Urusi na S.Korea wote walishawai saidiwa na superpower kunyanyuka kiuchumi na kisiasaNimekuambia hiyo teknolojia unayosema alianza nayo Misri muda kabla hata ya Israel.
Na Misri keshaiambukiza hiyo teknolojia Qatar na Kuwait.
Teknolojia za kilimo zipo za aina nyingi kijana,unayosemea wewe ni teknolojia ya kilimo cha jangwani ambayo China pia anaiweza na aliwahi ifanya miaka ya 1990 kwa kugeuza moja kati ya mji jangwa kuwa shamba kubwa la zabibu ambazo viwanda vingi vya wine hutumia zabibu kutoka hilo shamba.
Ukiambiwa hayo mashamba yalikua mji jangwa huwezi amini.
Ukija katika teknolojia zilizobaki za kilimo kwa China hufui dafu.
Kuhusu maji sijakataa.
wamekuuliza hiyo 9 ni asilimia ngap kwenye 520 ? je kwa asilimia hizo zina athari yoyote kusema Israel bila msaada hatoboiAmeshataja muhusika juu na nishamtajia soma quotes za juu.
we jamaa una ubish wa kitoto , ulianza na hizo 9 B zako ukaulizwa zinazid hata 2% ukalikimbia swali , sasa sijui bado unabishia nin ?Nayekaza mishipa mimi au wewe??
Aina ya teknolojia uliyoleta ni ile ile moja tu ya kilimo cha jangwani.
Kuhusu Netafim sikupingi naifaham hii kampuni inaunda vifaa vingi na bora vya irrigation agriculture.
wewe ni raia wa moja ya hayo mataifa ya top 5 ? ebu tutajie nchi yako ni namba ngap ?Startups in terms of agricultural advancement,ila sio total start ups.
Katika mataifa yenye start ups nyingi kiujumla katika teknolojia Israel top five haipo.View attachment 2927162
sasa wapongeze na sio kukaza fuvu , na hiyo ndo mantiki ya thread pia jiulize kwann uchumi wake mkubwaKwa upande wa aina hiyo ya teknolojia sikatai Israel iko vizuri.
Huwenda labda asili ya ardhi yao ndio imeleta chachu ya ku develop zaidi katika aina hii ya teknolojia japo si kila aina ya teknolojia ya kilimo Israel yuko juu.