Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Na Egypt pia inasaidiwa na marekani mabilioni ya dola mnajifanya hamjui kwa unafiki wenu.
Msaada wa Egypt toka USA sio sawa na msaada kwenda Israel.
Msaada kwenda Egypt una mafungamano ya masharti toka kipindi cha Anwar Saddat kama ilivyo kwa Palestina.
Hata Uturuki wanapewa grants toka USA ila za mafungamano ya masharti.
Usifananishe na Israel wanaopokea unconditional aids and grants.
 
Na Egypt pia inasaidiwa na marekani mabilioni ya dola mnajifanya hamjui kwa unafiki wenu.
Wanafiki wakubwa hawa US inasaidia nchi kibao za kiislam na hawapigi kelele ila akitoa msaada kwa Israel mayoe kibaooo by the way kuna wayahudi wengi sana tu US ambao wamefanikiwa kiuchumi na wanalipa kodi kubwa kupindukia kwa US gov sasa US akitoa msaada Israel tatizo lipo wapi?

Roho mbaya tena za kishetani zimewajaa hawa eti wanataka US asiwasaidie Israel unaipangiaje super power US isiisadie nchi nyingine mbona nchi kibao za kiislam zinafadhili magaidi na hawasemi
 
Wanafiki wakubwa hawa US inasaidia nchi kibao za kiislam na hawapigi kelele ila akitoa msaada kwa Israel mayoe kibaooo by the way kuna wayahudi wengi sana tu US ambao wamefanikiwa kiuchumi na wanalipa kodi kubwa kupindukia kwa US gov sasa US akitoa msaada Israel tatizo lipo wapi?

Roho mbaya tena za kishetani zimewajaa hawa eti wanataka US asiwasaidie Israel unaipangiaje super power US isiisadie nchi nyingine mbona nchi kibao za kiislam zinafadhili magaidi na hawasemi
Umeongea kwa mihemko sana aisee halafu unaonekana mweupe kwenye geopolitics.
Kilichoongeleka hapa ni kuisifia Israel ambayo inapokea unconditional and simultaneous aids and grants economically kutoka USA.
DUNIANI TAIFA LINALOPOKEA MISAADA KWA WINGI TOKA USA NI ISRAEL.
Unawezaje kusifia hilo taifa lenye favor nyingi kiuchumi dhidi ya mataifa kama Iran yanayojipambania yenyewe tena yakiwa na vikwazo vya kiuchumi juu??
Haikuongelewa dini hapa mkuu,stick to the main point inayoongeleka hapa.
Hiyo misaada USA anayotoa kwa nchi za kiarabu unajua inachagizwa na nini na ina mafungamano gani??
Hujui bila shaka,kama ungejua usingeita misaada bali ungeita domination through grants and aids.
Kuhusu ufadhili wa makundi unayodai ya kigaidi hiyo nyanja ingine pana maana pia nahisi mengi huyajui huo upande.
Kiufupi haikujadiliwa dini embu soma comments vizuri uelewe.
 
Nchi yako imeishindwaje keny?
Kenya hii ambayo mwezi February tumewasaidia dawa za TB ambazo wameishiwa hospitali zao za rufaa??
Kenya hii hii inayopokea misaada ya vyakula toka WFP??
Kenya hiihii mwaka huu ilokuja kumuomba Mama kizimkazi awasaidie akiba ya fedha ya kigeni??
Au Kenya gani unayoizungumzia wewe kaka??
 
Na Egypt pia inasaidiwa na marekani mabilioni ya dola mnajifanya hamjui kwa unafiki wenu.
US na nchi kadhaa za europe wameamua kuisaidia palestine ipate corridor baharini ili delivery ya misaada iwe kubwa ila wanafiki hawa hutokuta wakilisema hili utakuta wanapiga mayoe humu US mbaya US mbaya🤣🤣🤣
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel, kwetu nchi masikini tunaziona ni pesa nyingi.

Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu




Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
iran na kelele zote hizo bado yupo chini ya Egypt
 
Hapo ushaona Saudi Arabia kampita Israel.
Tukija kwa Iran naweza sema ni taifa lenye nguvu za kiuchumi kuliko taifa lolote hapo middle east kwasababu licha ya vikwazo vya kiuchumi toka 1980 mpaka leo hii ni middle upper income country.
Jiulize kama Iran isingewekewa vikwazo ingekua wapi.
Israel ni nchi inayolelewa na haina uchumi imara kama udaivyo.
Vita ya miezi mitano tu imeiangusha kiuchumi Israel kuliko udhaniavyo.
unazungumzia iwapo , wenzio wanazungumzia yaliyopo
 
Marekani inaisaidia Israel dola bilioni 3 kila mwaka sawa na shilingi trilioni 7.5, ni pesa nyingi sana kwetu tulipo mataifa masikini lakini kwa Israel ni ndogo sana

Hio pesa haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel,
Marekani ilitoa zaidi ya dola bilioni 3.3 katika usaidizi wa kigeni kwa Israeli mwaka wa 2022, mwaka wa hivi majuzi zaidi ambapo data iko. Takriban dola milioni 8.8 kati ya hizo zilikwenda kwa uchumi wa nchi, wakati 99.7% ya misaada ilienda kwa jeshi la Israeli.
 
We kweli akili kisoda.
Mabilioni ya dola yanayotolewa Israel kupanga bajeti ya taifa na bajeti ya ulinzi unasemaje kuwa ni ndogo??
Israel inapewa misaada unconditionally,yani kama ile misaada ingegeuka kuwa ni mikopo basi deni lake lisingekua himilivu kitaifa.
weka ushaidi , hata mimi naeza andika ushubwada lkn bila ushaidi ni sufurii
 
Ona ulivyo na akili finyu.
Kwani nimesema ni mafuta pekee yanamtajirisha Saudi Arabia??
Na kwani uongo kuwa Saudia amempita Israel kiuchumi??
Iran ina nyenzo nyingi za kiuchumi mafuta,madini,bidhaa za viwandani mbalimbali,silaha pia anauza n.k n.k.
Hayo yote unayotaja kuhusu technology ni bleeeh bleeeh bleeeh za kumfanya Israel aonekane yuko vizuri.
Mataifa yaliyo mbele kiteknolojia ya aina zozote yanajulikana.
Nenda China kuna TEKNOLOJIA BORA YA KILIMO AMBAYO ISRAEL HATA ROBO HAIFIKII.
Misri tu ilianza teknolojia ya kilimo cha jangwani kwa hekari ndogo kuzalisha mazao mengi way back hata Israel hajalifikiria hilo.
mkuu utakuwa na stress , tunazungumzia vitu real na si story za iwapo asingewekewa vikwazo
 
Pole sana.
Jumla ya dola za kimarekani anazopewa Israel zinafikia takriban 9$ billion kwa mwaka.
Hizo pesa zina cover sehemu ya ulinzi na sehemu ya bajeti ya nchi.
Kama wewe unaona ni ndogo kwanini isingesema ikope inamudu kulipa na sio kupewa kama msaada??
Hivi unajua kuliwahi kutokea mvutano kuwa Israel ianze kujitegemea iache misaada kutoka USA ila Israel officials wengine walipinga wakisema muda bado???
ile 1T ya covid19 iliishia wap ? usimlalamikie mwengine kusaidiwa , jiulize kwann husaidiw wewe , nyie watu weusi ni laana , kila.msaada ccmu inagawana , mtu anakupa msaada anategemea kuna kitu in return , msaada kwa Israel ni muhimu sana , siku waislam wakishika Israel watavunja miji yote ya kihistoria
 
Nimekuambia hiyo teknolojia unayosema alianza nayo Misri muda kabla hata ya Israel.
Na Misri keshaiambukiza hiyo teknolojia Qatar na Kuwait.
Teknolojia za kilimo zipo za aina nyingi kijana,unayosemea wewe ni teknolojia ya kilimo cha jangwani ambayo China pia anaiweza na aliwahi ifanya miaka ya 1990 kwa kugeuza moja kati ya mji jangwa kuwa shamba kubwa la zabibu ambazo viwanda vingi vya wine hutumia zabibu kutoka hilo shamba.
Ukiambiwa hayo mashamba yalikua mji jangwa huwezi amini.
Ukija katika teknolojia zilizobaki za kilimo kwa China hufui dafu.
Kuhusu maji sijakataa.
toa mifano ya huku kwenu mashambani , maana nyiny ndo mnalalamika misaada ya Israel , China , Japan , Urusi na S.Korea wote walishawai saidiwa na superpower kunyanyuka kiuchumi na kisiasa
 
Ameshataja muhusika juu na nishamtajia soma quotes za juu.
wamekuuliza hiyo 9 ni asilimia ngap kwenye 520 ? je kwa asilimia hizo zina athari yoyote kusema Israel bila msaada hatoboi
 
Nayekaza mishipa mimi au wewe??
Aina ya teknolojia uliyoleta ni ile ile moja tu ya kilimo cha jangwani.
Kuhusu Netafim sikupingi naifaham hii kampuni inaunda vifaa vingi na bora vya irrigation agriculture.
we jamaa una ubish wa kitoto , ulianza na hizo 9 B zako ukaulizwa zinazid hata 2% ukalikimbia swali , sasa sijui bado unabishia nin ?
 
Kwa upande wa aina hiyo ya teknolojia sikatai Israel iko vizuri.
Huwenda labda asili ya ardhi yao ndio imeleta chachu ya ku develop zaidi katika aina hii ya teknolojia japo si kila aina ya teknolojia ya kilimo Israel yuko juu.
sasa wapongeze na sio kukaza fuvu , na hiyo ndo mantiki ya thread pia jiulize kwann uchumi wake mkubwa
 
Back
Top Bottom