Msaada wa Egypt toka USA sio sawa na msaada kwenda Israel.Na Egypt pia inasaidiwa na marekani mabilioni ya dola mnajifanya hamjui kwa unafiki wenu.
Msaada kwenda Egypt una mafungamano ya masharti toka kipindi cha Anwar Saddat kama ilivyo kwa Palestina.
Hata Uturuki wanapewa grants toka USA ila za mafungamano ya masharti.
Usifananishe na Israel wanaopokea unconditional aids and grants.