Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

bajeti zetu jaribu nusu ni msaada ila hulioni hili , unataka Israel asipewe msaada , HIZO CHUKI MTAZIACHA LINI ? hata nchi za kiarabu zina fungu la misaadaa pia.
 
jiangalie vzr kichwan , Dini inakuharibu , hakuna nchi inatunza waharifu , USA haez saidia nchi inaficha waharifu wa USA , kusamehe kodi sio hoja wala sio kosa , je jiulize kama wanasamehe kodi mapato wanakuja yapata wapi ? PENDA KUJIFUNZA NA SIO KULALAMIKIA WATU
 
Tukiachana na usemacho tuende mbele turudi nyuma kuipambanisha Israel na hayo mataifa uliyotaja hususan China,india na Japan bro ni uongo.
Tunajua uemko wa teknolojia katika hizi nchi ukoje tukiangaza kila aina ya teknolojia.
dini umekulevya , unatafuta mahali pa kushinda wakati jamaa thread yake ipo wazi , unaumia kusoma ubora wa Israel , na huu ndo ujinga wavaa vipedo wanafundishana , FULL CHUKI HAKUNA KUELEWA WALA HAWATAKI ELEWA LOLOTE ZURI LA KAFIR
 
linganisha Iran ya miaka 40 nyuma na Iran ya kwenye vikwazo , Ipi Iran imara ? ttzo lenu hamtumii akili zenu vzr
 
bajeti zetu jaribu nusu ni msaada ila hulioni hili , unataka Israel asipewe msaada , HIZO CHUKI MTAZIACHA LINI ? hata nchi za kiarabu zina fungu la misaadaa pia.
Wana chuki hatari yaan wanajifanya kutukuona juhudi, maarifa, akili ya Israel kufikia level ya uchumi waliyonayo wao wamekaza fuvu na kupiga mayowe ohh ni sabab ya misaada ya US
 
Wenzako wanachangia hoja na facts wewe unaleta kiroja cha udini. Ukikaa kimya hakuna atakayegundua kama mweupe kichwani.
wakosoaji wengi ni wavaa vipedo , wanasema Israel inajengwa kwa misaada wakiulizwa wataje misaada wanataja 9B wanaulizwa je hiyo inafikia hata 2% ya 520B wanakimbia mpuuz mwingine anakuja na nyongeza ya 2.2B ambapo bado pamoja na ile 9B haifikii hata 5% ya 520B ila bado wanasisitiA Israel inajengwa kwa misaada , HAWA WATU KAMA SIO UDINI NI NINI SASA ? hawapend lolote zuri linalofanywa na Israel
 
Kwa Nini na sisi tusiombe kuwa jicho na sikio la magharibi ukanda huu bwashee! Maana hakuna faida ya kuwa loyal kwa waafrica wenzetu wakati Bado tunaibiwa madini halafu tunaishi maisha duni? Hapo Kuna zaidi ya hicho unachojisifia kukijua
Mtazamo wako uko biased ndo maana unajibu chochote. Mtu haombi kuwa jicho la nchi kubwa. Unajibu ili kukidhi mtizamo wako. Naomba niishie hapa
 
dini umekulevya , unatafuta mahali pa kushinda wakati jamaa thread yake ipo wazi , unaumia kusoma ubora wa Israel , na huu ndo ujinga wavaa vipedo wanafundishana , FULL CHUKI HAKUNA KUELEWA WALA HAWATAKI ELEWA LOLOTE ZURI LA KAFIR
Hawa kinawauma mnoo wakisikia Israel yupo hapo alipo sabab ya juhudi akili na maarifa waliyo nayo wanatamani Israel iwe taifa duni kwenye kila nyanja.
 
US na nchi kadhaa za europe wameamua kuisaidia palestine ipate corridor baharini ili delivery ya misaada iwe kubwa ila wanafiki hawa hutokuta wakilisema hili utakuta wanapiga mayoe humu US mbaya US mbaya🤣🤣🤣
Kilichompelekea kufanya hivyo ni kulinda maslahi yao huo ukanda.
Si USA hiyohiyo ilipigia upatu Palestina kuuliwa na ikaifadhili silaha za kila aina Israel??
Aisee kama hamjui kitu musiongee.
 
Hii tunaita muslim and arabs cheap propaganda....against jew......We dont buy it
Kumbe nipo kwenye ubishi wa kumtetea muarabu na myahudi. Basi nawavhia wenye miungu ya kiarabu na wayahudi mchapane. Na mlivyo athirika mtu akipinga hoja yenu a nakuwa either muarabu/muislam and vice versa.
 
Hawa ndio watanzania OG, atleast Africa kuNa watu wengi wameelimika na kuamka siku hizi,

Hawa hawa unaowatetea ndio wanaua ndugu zako Congo hapo, wameua sana Sierra Leone, hawaoni tabu kusuport ubaguzi wa rangi South Africa na hawaoni tabu kesho kukuua wewe kukiwa na Mali yoyote kwako.

Endeleeni kuwa watumwa wa kifikra.
 
Waislamu hata Tz matajiri wengi ni wao ila masikini ni wengi kuliko madhehebh mengine
 
Wewe mbumbumbu bhana huna lolote kichwani

Nyie mkikaa vijiweni huko mkiokota maneno mkichanganya na vijishahada vyenu magumashi ndio nnakuja hapa kuongea ujinga

America ni ya wayahudi kima wewe
 
unaongea kwa mihemko kiasi ca kuanza kudanganya kitoto, hili ni jukwa la great thinkers peleka huo uongo wako kwa watoto wako mkiwa sebleni

Weka chanzo
 
Population ya Israel ni ndogo kuliko nchi yeyeto ya kiarabu
Ni sawa na Zanzibar kwa Bara
 
unaongea kwa mihemko kiasi ca kuanza kudanganya kitoto, hili ni jukwa la great thinkers peleka huo uongo wako kwa watoto wako mkiwa sebleni

Weka chanzo
Wewe punguani kweli umetokea wapi unaongea uharo? Eti wewe great thinkers umekuja kumtetea bwege mwenzako unaomba chanzo akili za kishoga sana nyie. Chanzo hiki hqpa.

 
Toa hoja zako kwa facts sio matusi, hili sio jukwaa la wanawake kuchambana.

Umesema Marekani iliisaidia Israel 99.7% ya misaada, Nimekwambia uweke link ya chanzo chako ajabu unaweka link ya podcast ambayo haijazungumzia sehem yoyote kuhusu hizo asilimia 99.7%

Ni kwamba huna hoja unaishia kudanganya tu bila vyanzo vya ku back up uongo wako.

 
Si hivyo tu, Israeli pia inaongoza kwa Teknoloji bora ya kijeshi Duniani,na pia ina jeshi lenye nguvu kubwa kuliko yote middle East na Ulaya nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…