Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Kwanza ni kwa nn usiilinganishe na nchi yako mpaka uilinganishe na nchi za Kiarabu?
Sasa kama anajiweza kwa nn anapokea misaada,kwa nn asiishi kwa kujitegemea mwenyewe?
Uchumi wa Israel ni uchumi bandia na ndio maana mpaka sasa umeshindwa kuhimili vita ya miezi 5 tena dhidi ya adui dhaifu kama Hamas mpaka sasa uchumi wa Israel umesha poteza 20% na kuilazimu serikali ifunge baadhi ya shughuli za kiserikali ili uchumi wake usianguke kabisa.
Yaani asilimia kubwa ya uchumi wa Israel ni uchumi unao tegemea uimara wa hisa na masoko ya kifedha na sio uchumi halisi. Ni sawa na utajiri wa akina Eron music ambao ndani ya masaa 5 unaweza kuporomoka kwa mabilion ya $ na badae soko la hisa likipanda unapanda kwa mabilion ya $.

Ukiachana na msaada wa kijeshi anao pewa na Marekani bado kuna mabilion mengine kwa ajili ya kiuchumi inapokea kila mwaka, Ujerumani inaipatia Israel msaada wa kiuchumi wenye thamani $2.2bilion kila mwaka bado Israel inapokea misaada mingine kutoka umoja wa Ulaya.
Ukuachana na misaada ya kiuchumi bado bidhaa za Israel zimepewa upendeleo maalamu ndani ya nchi zote za umoja wa Ulaya , Uingereza na Marekani , bidhaa zote zinazo tengenezwa nchini Israel zinaingizwa ndani ya nchi za umoja wa Ulaya, Uingereza na Marekani bila kutozwa kodi yeyote ile kitu kinacho yapa faida kubwa makampuni na viwanda vya Israel .
Sasa nchi yenye ofa zote hizo inashindwaje kupata maendeleo ?

Iran tangu mapindizi ya kiislam miaka 45 iliyo pita haijawahi kuchukua mkopo wowote kutoka IMF au benki ya dunia bado ina rundo la vikwazo hiyo nchi ndo uje kuifananisha na hicho kijitaifa kinacho lelewa kama mtoto?
bajeti zetu jaribu nusu ni msaada ila hulioni hili , unataka Israel asipewe msaada , HIZO CHUKI MTAZIACHA LINI ? hata nchi za kiarabu zina fungu la misaadaa pia.
 
Najua umebadili id, ile ya zamani umeweka kapuni na huu uzi uliwahi kuuanzisha na sasa umeanzisha tena ila nakujibu tena na uzi huu.

1. Hio asilimia 3 unayosema ni misaada ya Kijeshi tu, ndio around $3B kwa mwaka.

2. Israel inapokea misaada mingi sana ya Kiuchumi hasa kwa Mafia na watu wengine wanaokimbia Sheria Marekani. Kifupi hilo eneo ukibaka Usa unakimbilia hapo na mifano mingi. Vitu kama hivi hutaviona direct kwenye data.

3. Kampuni za Marekani legally ambazo zina invest Israel zinapewa misamaha ya Kodi ili zianzishe branch hapo

4. Bado kuna mambo mengine kama biashara haramu za viungo (Israel ni halali), inakadiriwa Figo moja ni kama milioni 200 mpaka 300, hivi viungo wanavuna kwa Wapalestina wanaowaua kila siku, wanawachuna Ngozi, wanatoa Pipe za Moyo, Figo na vinginevyo. Israel kanchi kadogo kenye watu milioni kadhaa kama storage kubwa ya vitu kama Ngozi kushinda Usa, India, China etc ma nchi yenye watu hadi Bilioni na upuuzi.

Kifupi Israel ni Genge la wauaji ambao wanafanya kazi chafu mahala mbalimbali duniani wamekutana pamoja kutengeneza nchi hapo.
jiangalie vzr kichwan , Dini inakuharibu , hakuna nchi inatunza waharifu , USA haez saidia nchi inaficha waharifu wa USA , kusamehe kodi sio hoja wala sio kosa , je jiulize kama wanasamehe kodi mapato wanakuja yapata wapi ? PENDA KUJIFUNZA NA SIO KULALAMIKIA WATU
 
Tukiachana na usemacho tuende mbele turudi nyuma kuipambanisha Israel na hayo mataifa uliyotaja hususan China,india na Japan bro ni uongo.
Tunajua uemko wa teknolojia katika hizi nchi ukoje tukiangaza kila aina ya teknolojia.
dini umekulevya , unatafuta mahali pa kushinda wakati jamaa thread yake ipo wazi , unaumia kusoma ubora wa Israel , na huu ndo ujinga wavaa vipedo wanafundishana , FULL CHUKI HAKUNA KUELEWA WALA HAWATAKI ELEWA LOLOTE ZURI LA KAFIR
 
Hapana kaka.
Iran ni nchi iliyokandamizwa na vikwazo vya kiuchumi tangia miaka 40 iliyopita.
Ila kwa ubora wake ni middle upper income country labda iwe imeshuka kwasasa.
Na ndio ujiulize kama isingewekewa vikwazo vya kiuchumi na kuiruhusu ikafanya shughuli zake za kiuchumi kikawaida hili taifa lingefika wapi.??
linganisha Iran ya miaka 40 nyuma na Iran ya kwenye vikwazo , Ipi Iran imara ? ttzo lenu hamtumii akili zenu vzr
 
bajeti zetu jaribu nusu ni msaada ila hulioni hili , unataka Israel asipewe msaada , HIZO CHUKI MTAZIACHA LINI ? hata nchi za kiarabu zina fungu la misaadaa pia.
Wana chuki hatari yaan wanajifanya kutukuona juhudi, maarifa, akili ya Israel kufikia level ya uchumi waliyonayo wao wamekaza fuvu na kupiga mayowe ohh ni sabab ya misaada ya US
 
Wenzako wanachangia hoja na facts wewe unaleta kiroja cha udini. Ukikaa kimya hakuna atakayegundua kama mweupe kichwani.
wakosoaji wengi ni wavaa vipedo , wanasema Israel inajengwa kwa misaada wakiulizwa wataje misaada wanataja 9B wanaulizwa je hiyo inafikia hata 2% ya 520B wanakimbia mpuuz mwingine anakuja na nyongeza ya 2.2B ambapo bado pamoja na ile 9B haifikii hata 5% ya 520B ila bado wanasisitiA Israel inajengwa kwa misaada , HAWA WATU KAMA SIO UDINI NI NINI SASA ? hawapend lolote zuri linalofanywa na Israel
 
Kwa Nini na sisi tusiombe kuwa jicho na sikio la magharibi ukanda huu bwashee! Maana hakuna faida ya kuwa loyal kwa waafrica wenzetu wakati Bado tunaibiwa madini halafu tunaishi maisha duni? Hapo Kuna zaidi ya hicho unachojisifia kukijua
Mtazamo wako uko biased ndo maana unajibu chochote. Mtu haombi kuwa jicho la nchi kubwa. Unajibu ili kukidhi mtizamo wako. Naomba niishie hapa
 
dini umekulevya , unatafuta mahali pa kushinda wakati jamaa thread yake ipo wazi , unaumia kusoma ubora wa Israel , na huu ndo ujinga wavaa vipedo wanafundishana , FULL CHUKI HAKUNA KUELEWA WALA HAWATAKI ELEWA LOLOTE ZURI LA KAFIR
Hawa kinawauma mnoo wakisikia Israel yupo hapo alipo sabab ya juhudi akili na maarifa waliyo nayo wanatamani Israel iwe taifa duni kwenye kila nyanja.
 
US na nchi kadhaa za europe wameamua kuisaidia palestine ipate corridor baharini ili delivery ya misaada iwe kubwa ila wanafiki hawa hutokuta wakilisema hili utakuta wanapiga mayoe humu US mbaya US mbaya🤣🤣🤣
Kilichompelekea kufanya hivyo ni kulinda maslahi yao huo ukanda.
Si USA hiyohiyo ilipigia upatu Palestina kuuliwa na ikaifadhili silaha za kila aina Israel??
Aisee kama hamjui kitu musiongee.
 
Hii tunaita muslim and arabs cheap propaganda....against jew......We dont buy it
Kumbe nipo kwenye ubishi wa kumtetea muarabu na myahudi. Basi nawavhia wenye miungu ya kiarabu na wayahudi mchapane. Na mlivyo athirika mtu akipinga hoja yenu a nakuwa either muarabu/muislam and vice versa.
 
Wanafiki wakubwa hawa US inasaidia nchi kibao za kiislam na hawapigi kelele ila akitoa msaada kwa Israel mayoe kibaooo by the way kuna wayahudi wengi sana tu US ambao wamefanikiwa kiuchumi na wanalipa kodi kubwa kupindukia kwa US gov sasa US akitoa msaada Israel tatizo lipo wapi?

Roho mbaya tena za kishetani zimewajaa hawa eti wanataka US asiwasaidie Israel unaipangiaje super power US isiisadie nchi nyingine mbona nchi kibao za kiislam zinafadhili magaidi na hawasemi
Hawa ndio watanzania OG, atleast Africa kuNa watu wengi wameelimika na kuamka siku hizi,

Hawa hawa unaowatetea ndio wanaua ndugu zako Congo hapo, wameua sana Sierra Leone, hawaoni tabu kusuport ubaguzi wa rangi South Africa na hawaoni tabu kesho kukuua wewe kukiwa na Mali yoyote kwako.

Endeleeni kuwa watumwa wa kifikra.
 
Waislamu hata Tz matajiri wengi ni wao ila masikini ni wengi kuliko madhehebh mengine
 
Tatizo itakuwa huna elimu ya kujadili na kujenga hoja kulingana na details za post.

GDP haihusishi misaada ya nje, ni wazi kwamba huelewi hata maana ya gdp ndio maana umeibua ishu ya misaada kwa kudhani misaada inaunganishwa kwenye gdp.

hata hivyo, Misaada inayopewa Israel ipo wazi ni dola bilioni 3 kila mwaka, hio dola bilioni 3 inafikia hata asilimia moja ya dgp ya Israel ?
Wewe mbumbumbu bhana huna lolote kichwani

Nyie mkikaa vijiweni huko mkiokota maneno mkichanganya na vijishahada vyenu magumashi ndio nnakuja hapa kuongea ujinga

America ni ya wayahudi kima wewe
 
Marekani ilitoa zaidi ya dola bilioni 3.3 katika usaidizi wa kigeni kwa Israeli mwaka wa 2022, mwaka wa hivi majuzi zaidi ambapo data iko. Takriban dola milioni 8.8 kati ya hizo zilikwenda kwa uchumi wa nchi, wakati 99.7% ya misaada ilienda kwa jeshi la Israeli.
unaongea kwa mihemko kiasi ca kuanza kudanganya kitoto, hili ni jukwa la great thinkers peleka huo uongo wako kwa watoto wako mkiwa sebleni

Weka chanzo
 
Population ya Israel ni ndogo kuliko nchi yeyeto ya kiarabu
Ni sawa na Zanzibar kwa Bara
 
unaongea kwa mihemko kiasi ca kuanza kudanganya kitoto, hili ni jukwa la great thinkers peleka huo uongo wako kwa watoto wako mkiwa sebleni

Weka chanzo
Wewe punguani kweli umetokea wapi unaongea uharo? Eti wewe great thinkers umekuja kumtetea bwege mwenzako unaomba chanzo akili za kishoga sana nyie. Chanzo hiki hqpa.

 
Wewe punguani kweli umetokea wapi unaongea uharo? Eti wewe great thinkers umekuja kumtetea bwege mwenzako unaomba chanzo akili za kishoga sana nyie. Chanzo hiki hqpa.

Toa hoja zako kwa facts sio matusi, hili sio jukwaa la wanawake kuchambana.

Umesema Marekani iliisaidia Israel 99.7% ya misaada, Nimekwambia uweke link ya chanzo chako ajabu unaweka link ya podcast ambayo haijazungumzia sehem yoyote kuhusu hizo asilimia 99.7%

Ni kwamba huna hoja unaishia kudanganya tu bila vyanzo vya ku back up uongo wako.

Marekani ilitoa zaidi ya dola bilioni 3.3 katika usaidizi wa kigeni kwa Israeli mwaka wa 2022, mwaka wa hivi majuzi zaidi ambapo data iko. Takriban dola milioni 8.8 kati ya hizo zilikwenda kwa uchumi wa nchi, wakati 99.7% ya misaada ilienda kwa jeshi la Israeli.
 
Unaongea nini wewe, unadhani nchi kuwa na uchumi mkubwa hadi iwe na mafuta tu ? hakuna kitu chenye thamani hii dunia kama akili.

Israel ndio nchi inayoongozea kwa teknolojia ya kilimo duniani, kampuni inayoongoza kwa hizi ishu ni netvic ya Israel

Israel inaongoza kwa kuwa na start ups nyingi zinazofanikiwa duniani kiasi kwamba inaitwa the startup nation.

israel inaongoza kwa teknolojia ya maji safi ya bombani wanayouzia hadi nchi za waarabu

kwa uchache tu
Si hivyo tu, Israeli pia inaongoza kwa Teknoloji bora ya kijeshi Duniani,na pia ina jeshi lenye nguvu kubwa kuliko yote middle East na Ulaya nzima
 
Back
Top Bottom