Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Anabishana na Haaretz chombo cha habari cha Israel.
 
Siku au mwaka vikizuka vita vya Taiwan ndipo utatambua ule ukanda alipo China ni kwa kiasi gani dunia inaitegemea kwa teknolojia jinsi mlolongo wa kiteknolojia utakapo haribiwa na vita hivyo.
 
Ndio mimi namshangaa akidai Israel inaongoza kwa teknolojia ulimwenguni.
Inaonekana kuna kitu tayari ana amini juu ya wayahudi hivyo ni ngumu kumbadili.

Taifa ambalo Houthi wana haribu meli na dunia wala haitikisiki sio kiuchumi wala kiteknolojia huyu jamaa ana likuza sana.

Siku meli zinazo pita South China Sea zizuiliwe kama wanavyo fanya Houthi nafikiri ndio atafahamu teknolojia ya dunia ipo wapi.
 
Startups in terms of agricultural advancement,ila sio total start ups.
Katika mataifa yenye start ups nyingi kiujumla katika teknolojia Israel top five haipo.View attachment 2927162
Kwa mantiki hii ina maana Israel kuna wastani wa startup 1 kwa kila watu 100. Sababu startups zao ni 131,000 na population yao haifiki milioni 10.

Fanya hiyo hesabu iwe startup per capita uone Israel ya kwanza au ya pili. Uingereza ina watu hawafiki 70 million ila ina startups nusu ya za China yenye watu bilioni 1.3
 
Hizo startup ni za mlengwa gani wa teknolojia???
Usitizame tu idadi tizama na mlengwa wa aina ya teknolojia.
Ukitizama hiko kitu utagundua hiyo list ilivyo itajirudia vile vile.
Duniani ukihitaji most skilled labours haupati pengine zaidi ya China.
 
China haipo middle east boss
 
JiBU LA KWANINI ISRAEL IPO JUU KIUCHUMI...!!!
MFANO MDOGO NI HUU
KBG
CIA
SIA
M-15
CM3 na G20 na G7 na economic and military branch zao zoote.....Kumejaa wayahudi......iwe direct na indirect......lazima Israel iwe na nguvu kiuchumi.
 
Iran mwanaume aise kwa vikwazo alivyowekewa na bado anatoboa ndio maana israel anamuogopa sana
 
SASA MNACHOBISHANA NI NINI WAKATI WOTE NYIE HABARI MNAZOTULETEA MMESOMA KWENYE MAGAZETI NA MAKALA.......!!!
KWA SASA ALIYEPO JUU KIUCHUMI NDIO ANAFAIDI......NAMAANISHA MWENYE GDP KUBWA..... TUPENDE TUSIPENDE
 
Iran mwanaume aise kwa vikwazo alivyowekewa na bado anatoboa ndio maana israel anamuogopa sana
Ndio mimi nilikua naeleza hapa.
Iran toka 1980 imewekewa vikwazo na imeandamwa kimataifa ila haijapishana sana na uchumi wa Israel ambayo inakua kwa favor za Imperialists na sapoti ya Marekani.
Je Iran asingewekewa vikwazo na kusakamwa angekua wapi kiuchumi??
 
Pole sana.
Israel angekua ana run dunia mataifa ya South America na mataifa mengine ya Ulaya mashariki na magharibi yasingempinga.
Anae run dunia anafahamika China.
We akili huna
si kosa lako!!….
China haijawai run dunia hata siku moja.
Tunaongelea karne hii tuliopo hatuongeleei miaka mia ijayo
 
Umeandika ujinga mtupu
 
sijasema kama China ipo middle east bali nimepambanisha upande teknolojia China iko juu ya Israel.
maana yeye kadai kuwa Israel inaongoza ulimwenguni kiteknolojia.
Ukisema ulimwenguni inamaana hadi China umeigusa.
Teknolojia ipi sasa?????
Maana teknolojia ni nyingi................!!!!
China imefeli kwenye teknolojia ya kijeshi....inakopi sana warusi na wamarekani.........ndio maana soko la silaha zake ni kwa nchi za uchumi wa kati na chini.............ila teknolojia zingine ipo vizuri.
Wachina wapo bilioni almost 1
Wayahudi wapo milioni almost 9
Kama wanatunishiana misuli kwenye teknolojia basi tuwapongeze......!!!Wote
 
Sasa hizo ofa zilitokana na Nini mzee? Kwa Nini na sisi TZ tusipewe hizo offer? Oya mzungu hatoi sehemu isiyo na faida😁
Israel was created by western countries to protect their interests in that region. So wanamtunza kama mtoto wao kwa sababu hilo ni jicho na sikio la magharibi. Unawasifu usiowajua kumbe.
Sasa hizo ofa zilitokana na Nini mzee? Kwa Nini na sisi TZ tusipewe hizo offer? Oya mzungu hatoi sehemu isiyo na faida😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…