OK hapa Ushaonesha swali lako halisi kule juu ulikua unakanyaga kanyaga tu.
Kujibu swali lako waarabu sio inferior kwa wayahudi linapokuja suala la utajiri.
Hapo Usa waarabu na Wairan kwenye sensa wanatambulika tu kama watu weupe, utasikia tajiri myahudi, tajiri mhindi ila kamwe hutasikia Arab Billionaire Usa,
Mfano Mzuri ni Steve Job, mpaka mtu akuambie uanze kuchimba chimbua ndio utajua kwamba alikua Mwarabu.
Mifano Michache nakupa, kinchi kidogo kama Lebanon kina Mabilionea zaidi ya 30
View attachment 2927244
Mfano hapo mtu kakwambia kuna Billionaire anaitwa Tom Gore Switzerland ama Marekani kuna Billionaire anaitwa Richard Rainwater, huwezi kamwe kutambua huyo ni mwarabu hadi uwe informed kama hivi.
Bado waarabu wengine ambao wapo Royal family ambao hawahesabiwi kwenye hizi tafiti za Utajiri, mfano wa Familia za Kiarabu za Kifalme
-Saudi Royal family utajiri 1.4 Trilioni Usd
-Qatar Royal Family utajiri 335 Billion usd
-Kuwait Royal family utajiri 350 Billion usd
-Hapo Uae kuna Emirate kama 7 Abu dhabi, Dubai, etc na kila moja ukigusa ni 100-150B usd net worth.
According to Forbes Mabilionea wote wa Ki jews karibia 165 thamani yao kwa jumla ni usd 812 Billion. Source
Of the top 10 richest Jews in the world, eight are from the U.S., while two are from Russia.
www.haaretz.com
So Royal Family Moja tu ya Saudia ina Hela kuliko Mabilionea wote wa jews Duniani je unajiskiaje ukipewa data kama hizi?