Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

OK hapa Ushaonesha swali lako halisi kule juu ulikua unakanyaga kanyaga tu.

Kujibu swali lako waarabu sio inferior kwa wayahudi linapokuja suala la utajiri.

Hapo Usa waarabu na Wairan kwenye sensa wanatambulika tu kama watu weupe, utasikia tajiri myahudi, tajiri mhindi ila kamwe hutasikia Arab Billionaire Usa,

Mfano Mzuri ni Steve Job, mpaka mtu akuambie uanze kuchimba chimbua ndio utajua kwamba alikua Mwarabu.

Mifano Michache nakupa, kinchi kidogo kama Lebanon kina Mabilionea zaidi ya 30 View attachment 2927244
Mfano hapo mtu kakwambia kuna Billionaire anaitwa Tom Gore Switzerland ama Marekani kuna Billionaire anaitwa Richard Rainwater, huwezi kamwe kutambua huyo ni mwarabu hadi uwe informed kama hivi.

Bado waarabu wengine ambao wapo Royal family ambao hawahesabiwi kwenye hizi tafiti za Utajiri, mfano wa Familia za Kiarabu za Kifalme
-Saudi Royal family utajiri 1.4 Trilioni Usd
-Qatar Royal Family utajiri 335 Billion usd
-Kuwait Royal family utajiri 350 Billion usd
-Hapo Uae kuna Emirate kama 7 Abu dhabi, Dubai, etc na kila moja ukigusa ni 100-150B usd net worth.

According to Forbes Mabilionea wote wa Ki jews karibia 165 thamani yao kwa jumla ni usd 812 Billion. Source

So Royal Family Moja tu ya Saudia ina Hela kuliko Mabilionea wote wa jews Duniani je unajiskiaje ukipewa data kama hizi?
Anabishana na Haaretz chombo cha habari cha Israel.
 
Siku au mwaka vikizuka vita vya Taiwan ndipo utatambua ule ukanda alipo China ni kwa kiasi gani dunia inaitegemea kwa teknolojia jinsi mlolongo wa kiteknolojia utakapo haribiwa na vita hivyo.
 
Ndio mimi namshangaa akidai Israel inaongoza kwa teknolojia ulimwenguni.
Inaonekana kuna kitu tayari ana amini juu ya wayahudi hivyo ni ngumu kumbadili.

Taifa ambalo Houthi wana haribu meli na dunia wala haitikisiki sio kiuchumi wala kiteknolojia huyu jamaa ana likuza sana.

Siku meli zinazo pita South China Sea zizuiliwe kama wanavyo fanya Houthi nafikiri ndio atafahamu teknolojia ya dunia ipo wapi.
 
Startups in terms of agricultural advancement,ila sio total start ups.
Katika mataifa yenye start ups nyingi kiujumla katika teknolojia Israel top five haipo.View attachment 2927162
Kwa mantiki hii ina maana Israel kuna wastani wa startup 1 kwa kila watu 100. Sababu startups zao ni 131,000 na population yao haifiki milioni 10.

Fanya hiyo hesabu iwe startup per capita uone Israel ya kwanza au ya pili. Uingereza ina watu hawafiki 70 million ila ina startups nusu ya za China yenye watu bilioni 1.3
 
Kwa mantiki hii ina maana Israel kuna wastani wa startup 1 kwa kila watu 100. Sababu startups zao ni 131,000 na population yao haifiki milioni 10.

Fanya hiyo hesabu iwe startup per capita uone Israel ya kwanza au ya pili. Uingereza ina watu hawafiki 70 million ila ina startups nusu ya za China yenye watu bilioni 1.3
Hizo startup ni za mlengwa gani wa teknolojia???
Usitizame tu idadi tizama na mlengwa wa aina ya teknolojia.
Ukitizama hiko kitu utagundua hiyo list ilivyo itajirudia vile vile.
Duniani ukihitaji most skilled labours haupati pengine zaidi ya China.
 
Nimekuambia hiyo teknolojia unayosema alianza nayo Misri muda kabla hata ya Israel.
Na Misri keshaiambukiza hiyo teknolojia Qatar na Kuwait.
Teknolojia za kilimo zipo za aina nyingi kijana,unayosemea wewe ni teknolojia ya kilimo cha jangwani ambayo China pia anaiweza na aliwahi ifanya miaka ya 1990 kwa kugeuza moja kati ya mji jangwa kuwa shamba kubwa la zabibu ambazo viwanda vingi vya wine hutumia zabibu kutoka hilo shamba.
Ukiambiwa hayo mashamba yalikua mji jangwa huwezi amini.
Ukija katika teknolojia zilizobaki za kilimo kwa China hufui dafu.
Kuhusu maji sijakataa.
China haipo middle east boss
 
JiBU LA KWANINI ISRAEL IPO JUU KIUCHUMI...!!!
MFANO MDOGO NI HUU
KBG
CIA
SIA
M-15
CM3 na G20 na G7 na economic and military branch zao zoote.....Kumejaa wayahudi......iwe direct na indirect......lazima Israel iwe na nguvu kiuchumi.
 
Hapo ushaona Saudi Arabia kampita Israel.
Tukija kwa Iran naweza sema ni taifa lenye nguvu za kiuchumi kuliko taifa lolote hapo middle east kwasababu licha ya vikwazo vya kiuchumi toka 1980 mpaka leo hii ni middle upper income country.
Jiulize kama Iran isingewekewa vikwazo ingekua wapi.
Israel ni nchi inayolelewa na haina uchumi imara kama udaivyo.
Vita ya miezi mitano tu imeiangusha kiuchumi Israel kuliko udhaniavyo.
Iran mwanaume aise kwa vikwazo alivyowekewa na bado anatoboa ndio maana israel anamuogopa sana
 
SASA MNACHOBISHANA NI NINI WAKATI WOTE NYIE HABARI MNAZOTULETEA MMESOMA KWENYE MAGAZETI NA MAKALA.......!!!
KWA SASA ALIYEPO JUU KIUCHUMI NDIO ANAFAIDI......NAMAANISHA MWENYE GDP KUBWA..... TUPENDE TUSIPENDE
 
Iran mwanaume aise kwa vikwazo alivyowekewa na bado anatoboa ndio maana israel anamuogopa sana
Ndio mimi nilikua naeleza hapa.
Iran toka 1980 imewekewa vikwazo na imeandamwa kimataifa ila haijapishana sana na uchumi wa Israel ambayo inakua kwa favor za Imperialists na sapoti ya Marekani.
Je Iran asingewekewa vikwazo na kusakamwa angekua wapi kiuchumi??
 
Pole sana.
Israel angekua ana run dunia mataifa ya South America na mataifa mengine ya Ulaya mashariki na magharibi yasingempinga.
Anae run dunia anafahamika China.
We akili huna
si kosa lako!!….
China haijawai run dunia hata siku moja.
Tunaongelea karne hii tuliopo hatuongeleei miaka mia ijayo
 
Najua umebadili id, ile ya zamani umeweka kapuni na huu uzi uliwahi kuuanzisha na sasa umeanzisha tena ila nakujibu tena na uzi huu.

1. Hio asilimia 3 unayosema ni misaada ya Kijeshi tu, ndio around $3B kwa mwaka.

2. Israel inapokea misaada mingi sana ya Kiuchumi hasa kwa Mafia na watu wengine wanaokimbia Sheria Marekani. Kifupi hilo eneo ukibaka Usa unakimbilia hapo na mifano mingi. Vitu kama hivi hutaviona direct kwenye data.

3. Kampuni za Marekani legally ambazo zina invest Israel zinapewa misamaha ya Kodi ili zianzishe branch hapo

4. Bado kuna mambo mengine kama biashara haramu za viungo (Israel ni halali), inakadiriwa Figo moja ni kama milioni 200 mpaka 300, hivi viungo wanavuna kwa Wapalestina wanaowaua kila siku, wanawachuna Ngozi, wanatoa Pipe za Moyo, Figo na vinginevyo. Israel kanchi kadogo kenye watu milioni kadhaa kama storage kubwa ya vitu kama Ngozi kushinda Usa, India, China etc ma nchi yenye watu hadi Bilioni na upuuzi.

Kifupi Israel ni Genge la wauaji ambao wanafanya kazi chafu mahala mbalimbali duniani wamekutana pamoja kutengeneza nchi hapo.
Umeandika ujinga mtupu
 
sijasema kama China ipo middle east bali nimepambanisha upande teknolojia China iko juu ya Israel.
maana yeye kadai kuwa Israel inaongoza ulimwenguni kiteknolojia.
Ukisema ulimwenguni inamaana hadi China umeigusa.
Teknolojia ipi sasa?????
Maana teknolojia ni nyingi................!!!!
China imefeli kwenye teknolojia ya kijeshi....inakopi sana warusi na wamarekani.........ndio maana soko la silaha zake ni kwa nchi za uchumi wa kati na chini.............ila teknolojia zingine ipo vizuri.
Wachina wapo bilioni almost 1
Wayahudi wapo milioni almost 9
Kama wanatunishiana misuli kwenye teknolojia basi tuwapongeze......!!!Wote
 
Sasa hizo ofa zilitokana na Nini mzee? Kwa Nini na sisi TZ tusipewe hizo offer? Oya mzungu hatoi sehemu isiyo na faida😁
Israel was created by western countries to protect their interests in that region. So wanamtunza kama mtoto wao kwa sababu hilo ni jicho na sikio la magharibi. Unawasifu usiowajua kumbe.
Sasa hizo ofa zilitokana na Nini mzee? Kwa Nini na sisi TZ tusipewe hizo offer? Oya mzungu hatoi sehemu isiyo na faida😁
 
Back
Top Bottom