Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

"Matajiri wa kiislamu"
Ila una inferiority complex kubwa sana
Sina inferiority complex kabbissa bali nimeeleza kulingana na quote yako.
Umeleta dini ilhali haizungumziwi dini ndio maana nikakupa maelezo hayo.
 
Sina inferiority complex kabbissa bali nimeeleza kulingana na quote yako.
Umeleta dini ilhali haizungumziwi dini ndio maana nikakupa maelezo hayo.
Matajiri wa kiislamu
Nimeletaje dini kusema wale wanautajiri wa kifalme ndo kuleta dini

Unasafari ndefu sana kifikra sababu kila kitu au jambo unaliangalia kwa jicho la uislamu kwanza
 
Wote hao ni waarabu wakristo na sio waislamu ulishawahi jiuliza hilo swali
Sababu nimetoa list ya Lebanon? Ulitaka iweje? Bilionea wa Lebanon atakua Mkristo ama Mshia, Bilionea wa Saudi atakua muisilamu wa Sunni etc.

Vipi hizo Familia nilizotaja kama familia Tajiri zaidi Duniani ya Saudi, ama Kina Al thani wa Qatar, Makhtoum wa UAE etc nao ni Wakristo?
 
Ila siku ikitokea nchi ya kiislamu ndo super power kama ilivyo marekani au china
Wakristo wote watauliwa huku dunia
 
Ninesoma comment za juu nkagundua watu ni mashabiki tu Yani hawaijui Israel ata kwenye kilimo kweli Bora umewasanua mkuu hawajui kama technology ndo biashara inalipa zaidi
 
usiwe unaongea pumba kwa ushabiki wewe, iran haifikii israel. kiuchumi wewe, angalia data acha ushabiki maandazi, hizi stori zako kadanganye watu wavijiweni kwenu
 
usiwe unaongea pumba kwa ushabiki wewe, iran haifikii israel. kiuchumi wewe, angalia data acha ushabiki maandazi, hizi stori zako kadanganye watu wavijiweni kwenu
Kijana mbona unakuja kwa kukurupuka???
Onesha WAPI NIMESEMA KUWA IRAN KAIPITA ISRAEL??
NASUBIRI NIONESHE WAPI NIMESEMA IRAN KAIPITA ISRAEL.
Soma kwa uelewa sio unakurupuka.
Kwa mtindo huu unaonesha ulikua unafeli darasani.
Nilichosema ni kwamba Iran ni taifa ambalo limekua na vikwazo vya kiuchumi toka 1980 ila ni middle upper income country na haijapishana sana na uchumi wa Israel.
Inamaana kama Iran isingekua na vikwazo vya kiuchumi ingeendelea zaidi ya hapa.
SOMA KWA UELEWA KIJANA.
 
Ila siku ikitokea nchi ya kiislamu ndo super power kama ilivyo marekani au china
Wakristo wote watauliwa huku dunia
Hizi ni Myth mkuu, sisi waisilamu ndio tumetetea na kuulinda Ukristo wa Asili. Siku zote west wanapiga Chapuo Ukristo wao uliochakachuliwa,

ukisoma historia anza enzi za Roma walikua wakiua makundi ya Wakristo wa Middle East, na kusambaza Roman Catholic, waisilamu ndio walimpiga Roma na kuwapa Uhuru wakristo wa Middle East wawe na Papa wao na Viongozi wao.

Njoo wakati wa Crusaders, hao wakristo wa west walivamia na kuua Watu, wakafanya Jerusalem holy city kama Mashimo ya vyoo, again ni Hao waisilamu ndio wakawapiga crusaders na kuwakomboa wakristo tena.

Leo tunaona kwa macho yetu Israel anavyoua wakristo wa Syria, Lebanon na Palestina, nani anawatetea hao wakristo kama sio waisilamu, tumeona makanisa yote ya Gaza yamelipuliwa ni Waisilamu hao?

Tumeona Iraq wakristo wakiishi kwa Amani miaka na miaka, Usa akaleta demokrasia sasa hivi wakristo wanauliwa kila siku na Makundi ambayo yapo funded na hao west


. Hii Ramani ya Levant ikionesha makundi mbalimbali ya dini.

Umeona hapo? Kuna Alawi, Druze, Samaritan, jews, Waisilamu, Wakristo, kuna Manorite na wengineo wote wameishi hilo eneo for long long time, na kwa miaka zaidi ya elfu waisilamu wametawala hilo eneo na bado limetawaliwa na dini nyingi.

Wakati wa Ottoman nchi kama Iraq iligawanywa province tatu, province ya Washia, province ya Sunni na province ya wakurdi na waliishi kwa Amani, leo hii machafuko unayoyaona asili yake ni mipaka ya Uingereza, Proxy wa Israel na Mwenzake Usa, kama unataka kumlaumu mtu kwa Mateso ya wakristo Middle East walaumu hao.
 
Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake

Ni sawa na Japan kuisaidia milioni 200 Tanzania ijenge vyoo
Uongo unakusaidia nini wewe yahudi wa Tanzania

Wayahudi wanahodhi 80 percent ya uchumi wa marekani

Wayahudi ndio wenye ushawishi mkubwa ktk siasa za marekani na hauwezi kushinda uraisi marekani pasipo kuonyesha nia au kuijali Israel ktk kampeni au mrengo wako

Mpaka wamarekani wenyewe wanafka hatua wanasema Israel ni Jimbo la 51 la marekani huelewi wanakua wanamaanisha nini??

Eti kiasi ambacho marekani ina inaisaidia Israel haifiki hata 3% ya uchumi wake,unachekesha wewe
 
Lengo la start ups ni kuchochea ubunifu wa kutatua shida za kilimo, jamii, elimu, n.k. sio kupata funds. uwepo wa startups unategemea zaidi factors kama wasomi na watu wenye skills husika, Startuos hata Saudia zipo tena nyingi tu, ila ni kwamba hazijafikia level ya Israel.

nimeshakuwekea statistics kutoka website ya Havard kwamba wahitimu wa mwaka jana pekee wanaoongoza kwa wingi hakuna hata nchi moja ya kiarabu, sio kwamba hakuna kabisa wasaudia Havard lakini bado ni wachache hawawezi kuingia kwenye list ya kundi linalotoa graduates wengi, chanzo nimekuwekkea ni website yao havard wenyewe,

Havard Alumni

Top Countries of Harvard Alumni by Population 2022-2023

 
Tatizo itakuwa huna elimu ya kujadili na kujenga hoja kulingana na details za post.

GDP haihusishi misaada ya nje, ni wazi kwamba huelewi hata maana ya gdp ndio maana umeibua ishu ya misaada kwa kudhani misaada inaunganishwa kwenye gdp.

hata hivyo, Misaada inayopewa Israel ipo wazi ni dola bilioni 3 kila mwaka, hio dola bilioni 3 inafikia hata asilimia moja ya dgp ya Israel ?
 
Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tu
 
Ww bisha unavyo bisha ila Israel inaishi kwa misaada kama Tz tu na ina uchumi dhaifu na ndio maana umeshindwa kuhimili vita dhidi ya adui dhaifu kama Hamas ,mpaka wameomba msaada kifedha kutoka kwa Marekani.
Angekuwa anajiweza hata hiyo $3bilion asingekuwa ana ipokea.

Huyo Israel akiwekewa hata robo ya vikwazo alivyo navyo Iran ana kuwa kama Zimbabwe.
 
Ila siku ikitokea nchi ya kiislamu ndo super power kama ilivyo marekani au china
Wakristo wote watauliwa huku dunia
Ili wapate faida gani na kwa lipi?

Ww mbona nchi uliyopo inaongozwa na Waisilam na hawajawahi kukufuata kukuuwa?
Alafu unaweza kuta eti na ww una familia ,aisee wanawake wana huruma sana.
 
wakati huu wa vita Marekani ilitoa pesa kwa Ukraine, Israel, Palestina na Taiwan, Marekani ilipitisha fungu la dola bilioni 60 kwa Ukraine, bilioni 14, bilioni 9 kwa Palestina na bilioni 5 kwa Taiwan, huo msaada Pakestina waliuchukua kwa moyo wote, Marekani inawasaidia zaidi kuzidi hao waarabu mnaowasifia ni matajiri.

 
Nishakuambia tatizo lako unakariri sababu umeona Usa kuna Startup unafikiri moja kwa moja ndio key ya mafanikio.

Mfano mzuri angalia tu Hapa Tanzania, watu wanatajirika sababu ya startup? Startup nyingi ni wizi tu watu wanabuni uongo na kweli kupiga hela na Ngos,. Watu wanapiga

Kila nchi ina shida zake na kila Nchi imefuata approach zake kuuaga UMASIKINI na kuendelea.

Utofauti wa Saudia na wewe ni kwamba wewe unaona kuendelea ni kuiga Usa na Saudi kwao kuendelea ni kuangalia matatizo yao na kuyatatua.

Ili kununua Twitter ilibidi Musk akusanye hela kwa hao wasaudi kina Prince al Waleed ilibidi washirikishwe, Wasaudi wanamiliki part of Facebook, Disney, Bank of America, Citi group, wapo uingereza huko part kubwa ya Majengo London ni yao, WANAMILIKI club kama Newcastle etc utawakuta china na makampuni ya china wamewekewa. Kifupi kila ilipo hela na wao wamewekeza.

Wanaenda kusomesha watoto wao ili waje kuendeleza Mali ambayo wanayo tayari nyumbani na sio Kusomesha watoto wap wahangaike na vi fund vya online, hio ndio approach yao na ndio imefanya watoboe.
 
Saudi arabia hawaruhusu kanisa hata moja, ni kosa la jinai kwa mwanchi wa dubai au qatar kubadilisha dini

Mateso ya wakristo middle east wakulaumiwa ni waislamu
 
Ili wapate faida gani na kwa lipi?

Ww mbona nchi uliyopo inaongozwa na Waisilam na hawajawahi kukufuata kukuuwa?
Alafu unaweza kuta eti na ww una familia ,aisee wanawake wana huruma sana.
Wapate baraka za allah
Tanzania ni tofauti na hizo nchi hata wewe ukiwa na mamlaka kwa msimamo wako lazima uwashambaratishe ambao sio waislamu
 
Suala sio Marekani kuzisaidia nchi mbali mbali ,hoja ni Israel kama ana jiweza ni kwann anapewa misaada? hiyo ndo hoja.
Hakuna taifa linalo jiweza alafu lika tegemea misaada kufanya mambo yake.

South Korea ni mshirika mkubwa wa Marekani lakini hapokei msaada wowote kutoka Marekani ,bali yeye ndo ana mlipa Marekani ili kumlinda dhidi ya N.Korea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…