Sina inferiority complex kabbissa bali nimeeleza kulingana na quote yako."Matajiri wa kiislamu"
Ila una inferiority complex kubwa sana
Umeleta dini ilhali haizungumziwi dini ndio maana nikakupa maelezo hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina inferiority complex kabbissa bali nimeeleza kulingana na quote yako."Matajiri wa kiislamu"
Ila una inferiority complex kubwa sana
Matajiri wa kiislamuSina inferiority complex kabbissa bali nimeeleza kulingana na quote yako.
Umeleta dini ilhali haizungumziwi dini ndio maana nikakupa maelezo hayo.
Sababu nimetoa list ya Lebanon? Ulitaka iweje? Bilionea wa Lebanon atakua Mkristo ama Mshia, Bilionea wa Saudi atakua muisilamu wa Sunni etc.Wote hao ni waarabu wakristo na sio waislamu ulishawahi jiuliza hilo swali
Ila siku ikitokea nchi ya kiislamu ndo super power kama ilivyo marekani au chinaSababu nimetoa list ya Lebanon? Ulitaka iweje? Bilionea wa Lebanon atakua Mkristo ama Mshia, Bilionea wa Saudi atakua muisilamu wa Sunni etc.
Vipi hizo Familia nilizotaja kama familia Tajiri zaidi Duniani ya Saudi, ama Kina Al thani wa Qatar, Makhtoum wa UAE etc nao ni Wakristo?
Ninesoma comment za juu nkagundua watu ni mashabiki tu Yani hawaijui Israel ata kwenye kilimo kweli Bora umewasanua mkuu hawajui kama technology ndo biashara inalipa zaidiUnaongea nini wewe, unadhani nchi kuwa na uchumi mkubwa hadi iwe na mafuta tu ? hakuna kitu chenye thamani hii dunia kama akili.
Israel ndio nchi inayoongozea kwa teknolojia ya kilimo duniani.
Israel inaongoza kwa kuwa na start ups nyingi zinazofanikiwa duniani kiasi kwamba inaitwa the startup nation.
israel inaongoza kwa teknolojia ya maji safi ya bombani wanayouzia hadi nchi za waarabu
kwa uchache tu
usiwe unaongea pumba kwa ushabiki wewe, iran haifikii israel. kiuchumi wewe, angalia data acha ushabiki maandazi, hizi stori zako kadanganye watu wavijiweni kwenuHapo ushaona Saudi Arabia kampita Israel.
Tukija kwa Iran naweza sema ni taifa lenye nguvu za kiuchumi kuliko taifa lolote hapo middle east kwasababu licha ya vikwazo vya kiuchumi toka 1980 mpaka leo hii ni middle upper income country.
Jiulize kama Iran isingewekewa vikwazo ingekua wapi.
Israel ni nchi inayolelewa na haina uchumi imara kama udaivyo.
Vita ya miezi mitano tu imeiangusha kiuchumi Israel kuliko udhaniavyo.
Kijana mbona unakuja kwa kukurupuka???usiwe unaongea pumba kwa ushabiki wewe, iran haifikii israel. kiuchumi wewe, angalia data acha ushabiki maandazi, hizi stori zako kadanganye watu wavijiweni kwenu
Hizi ni Myth mkuu, sisi waisilamu ndio tumetetea na kuulinda Ukristo wa Asili. Siku zote west wanapiga Chapuo Ukristo wao uliochakachuliwa,Ila siku ikitokea nchi ya kiislamu ndo super power kama ilivyo marekani au china
Wakristo wote watauliwa huku dunia
Uongo unakusaidia nini wewe yahudi wa TanzaniaKiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake
Ni sawa na Japan kuisaidia milioni 200 Tanzania ijenge vyoo
Lengo la start ups ni kuchochea ubunifu wa kutatua shida za kilimo, jamii, elimu, n.k. sio kupata funds. uwepo wa startups unategemea zaidi factors kama wasomi na watu wenye skills husika, Startuos hata Saudia zipo tena nyingi tu, ila ni kwamba hazijafikia level ya Israel.Startup huna hela unaanzisha startup upate funds, wa Saudi wana hela wana matatizo yao mengine ila sio funds, wanaweza kununua ready made, ama kuanzisha kampuni directly. Kampuni nyingi za Saudi sio public, usiforce njia aliopitia mmarekani basi dunia nzima nayo ipitie hio hio.
Again Kama nilivyokuambia wa Saudi wana chagua vyuo kuna Graduate around 500 toka Saudi Havard
Harvard Club of Saudi Arabia
hcsaudiarabia.clubs.harvard.edu
Pia usikariri, Kuingia Havard uwe kichwa tu Sumaye haja Soma Havard alipomaliza uwaziri mkuu? Take your time kasome minimum requirements zao, Kuna na academic qualifications na kuna wanaolipa full tuition fee na Act za kawaida tu.
Total kuna wasaudia 200,000 ambao wanasoma vyuo vya nje
![]()
Saudi students abroad
Scholarships are funding the internationalisation of higher education in Saudi Arabia as increasing numbers study abroad and bring back new ideas.www.universityworldnews.com
Tatizo itakuwa huna elimu ya kujadili na kujenga hoja kulingana na details za post.Uongo unakusaidia nini wewe yahudi wa Tanzania
Wayahudi wanahodhi 80 percent ya uchumi wa marekani
Wayahudi ndio wenye ushawishi mkubwa ktk siasa za marekani na hauwezi kushinda uraisi marekani pasipo kuonyesha nia au kuijali Israel ktk kampeni au mrengo wako
Mpaka wamarekani wenyewe wanafka hatua wanasema Israel ni Jimbo la 51 la marekani huelewi wanakua wanamaanisha nini??
Eti kiasi ambacho marekani ina inaisaidia Israel haifiki hata 3% ya uchumi wake,unachekesha wewe
Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina watu wengi mara 4 zaidi kuzidi Israel, ina visima vingi vya mafuta ni kuyachota tuHaya mahaba haya.....!!!! Umesema nchi za kiarabu zinashindwaje kuifikia Israel, halafu data ulizo weka tayari inaonyesha anazidiwa na Saudi Arabia (x 1.6 ). Sasa sijui hoja yako ni nini hasa?.
Kifupi hatuwezi kuwa sawa kwa kila Jambo, nami nikuulize:
1 Kwanini uchumi wa ujerumani Ni mkubwa kuliko nchi zingine za ulaya?
2. Nchi za ulaya zinashindwaje kuizidi Japani?.
3. Nchi ya Tanzania inashindwaje kuizidi Kenya?
Ww bisha unavyo bisha ila Israel inaishi kwa misaada kama Tz tu na ina uchumi dhaifu na ndio maana umeshindwa kuhimili vita dhidi ya adui dhaifu kama Hamas ,mpaka wameomba msaada kifedha kutoka kwa Marekani.Tatizo itakuwa huna elimu ya kujadili na kujenga hoja kulingana na details za post.
GDP haihusishi misaada ya nje, ni wazi kwamba huelewi hata maana ya gdp ndio maana umeibua ishu ya misaada kwa kudhani misaada inaunganishwa kwenye gdp.
hata hivyo, Misaada inayopewa Israel ipo wazi ni dola bilioni 3 kila mwaka, hio dola bilioni 3 inafikia hata asilimia moja ya dgp ya Israel ?
Ili wapate faida gani na kwa lipi?Ila siku ikitokea nchi ya kiislamu ndo super power kama ilivyo marekani au china
Wakristo wote watauliwa huku dunia
wakati huu wa vita Marekani ilitoa pesa kwa Ukraine, Israel, Palestina na Taiwan, Marekani ilipitisha fungu la dola bilioni 60 kwa Ukraine, bilioni 14, bilioni 9 kwa Palestina na bilioni 5 kwa Taiwan, huo msaada Pakestina waliuchukua kwa moyo wote, Marekani inawasaidia zaidi kuzidi hao waarabu mnaowasifia ni matajiri.Ww bisha unavyo bisha ila Israel inaishi kwa misaada kama Tz tu na ina uchumi dhaifu na ndio maana umeshindwa kuhimili vita dhidi ya adui dhaifu kama Hamas ,mpaka wameomba msaada kifedha kutoka kwa Marekani.
Angekuwa anajiweza hata hiyo $3bilion asingekuwa ana ipokea.
Huyo Israel akiwekewa hata robo ya vikwazo alivyo navyo Iran ana kuwa kama Zimbabwe.
Nishakuambia tatizo lako unakariri sababu umeona Usa kuna Startup unafikiri moja kwa moja ndio key ya mafanikio.Lengo la start ups ni kuchochea ubunifu wa kutatua shida za kilimo, jamii, elimu, n.k. sio kupata funds. uwepo wa startups unategemea zaidi factors kama wasomi na watu wenye skills husika, Startuos hata Saudia zipo tena nyingi tu, ila ni kwamba hazijafikia level ya Israel.
nimeshakuwekea statistics kutoka website ya Havard kwamba wahitimu wa mwaka jana pekee wanaoongoza kwa wingi hakuna hata nchi moja ya kiarabu, sio kwamba hakuna kabisa wasaudia Havard lakini bado ni wachache hawawezi kuingia kwenye list ya kundi linalotoa graduates wengi, chanzo nimekuwekkea ni website yao havard wenyewe,
Havard Alumni
Top Countries of Harvard Alumni by Population 2022-2023
View attachment 2928182
Saudi arabia hawaruhusu kanisa hata moja, ni kosa la jinai kwa mwanchi wa dubai au qatar kubadilisha diniHizi ni Myth mkuu, sisi waisilamu ndio tumetetea na kuulinda Ukristo wa Asili. Siku zote west wanapiga Chapuo Ukristo wao uliochakachuliwa,
ukisoma historia anza enzi za Roma walikua wakiua makundi ya Wakristo wa Middle East, na kusambaza Roman Catholic, waisilamu ndio walimpiga Roma na kuwapa Uhuru wakristo wa Middle East wawe na Papa wao na Viongozi wao.
Njoo wakati wa Crusaders, hao wakristo wa west walivamia na kuua Watu, wakafanya Jerusalem holy city kama Mashimo ya vyoo, again ni Hao waisilamu ndio wakawapiga crusaders na kuwakomboa wakristo tena.
Leo tunaona kwa macho yetu Israel anavyoua wakristo wa Syria, Lebanon na Palestina, nani anawatetea hao wakristo kama sio waisilamu, tumeona makanisa yote ya Gaza yamelipuliwa ni Waisilamu hao?
Tumeona Iraq wakristo wakiishi kwa Amani miaka na miaka, Usa akaleta demokrasia sasa hivi wakristo wanauliwa kila siku na Makundi ambayo yapo funded na hao west
. Hii Ramani ya Levant ikionesha makundi mbalimbali ya dini.
View attachment 2928094
Umeona hapo? Kuna Alawi, Druze, Samaritan, jews, Waisilamu, Wakristo, kuna Manorite na wengineo wote wameishi hilo eneo for long long time, na kwa miaka zaidi ya elfu waisilamu wametawala hilo eneo na bado limetawaliwa na dini nyingi.
Wakati wa Ottoman nchi kama Iraq iligawanywa province tatu, province ya Washia, province ya Sunni na province ya wakurdi na waliishi kwa Amani, leo hii machafuko unayoyaona asili yake ni mipaka ya Uingereza, Proxy wa Israel na Mwenzake Usa, kama unataka kumlaumu mtu kwa Mateso ya wakristo Middle East walaumu hao.
Wapate baraka za allahIli wapate faida gani na kwa lipi?
Ww mbona nchi uliyopo inaongozwa na Waisilam na hawajawahi kukufuata kukuuwa?
Alafu unaweza kuta eti na ww una familia ,aisee wanawake wana huruma sana.
Suala sio Marekani kuzisaidia nchi mbali mbali ,hoja ni Israel kama ana jiweza ni kwann anapewa misaada? hiyo ndo hoja.wakati huu wa vita Marekani ilitoa pesa kwa Ukraine, Israel, Palestina na Taiwan, Marekani ilipitisha fungu la dola bilioni 60 kwa Ukraine, bilioni 14, bilioni 9 kwa Palestina na bilioni 5 kwa Taiwan, huo msaada Pakestina waliuchukua kwa moyo wote, Marekani inawasaidia zaidi kuzidi hao waarabu mnaowasifia ni matajiri.
View attachment 2928241