Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Israel ni uchumi wa misaada.
Wewe acha uongo bhana, Wana pesa nyingi za kimtandao zinazo ingia kwao moja kwa moja kama maji kupitia Satellite ambayo pia ni yao, haijalishi itakua nchi gani lakini ni za kwao na wanalipwa Kwa kutoa huduma, usikute hata ukiwa unaandika hapa utakua unakunywa Pepsi ambayo product ni ya kwao, usikute umetoka kwenye ATM kuvuta elf50 ya kumuachia mkeo/familia asbh, huduma ni za kwao, duniani kote...
 
Pole sana.
Israel angekua ana run dunia mataifa ya South America na mataifa mengine ya Ulaya mashariki na magharibi yasingempinga.
Anae run dunia anafahamika China.
Wanampinga kwa lipi zaidi ya kuongea mdomoni....na ni nchi ngapi zinampinga tutajie hapa kama zinafika 30 huko latin america...!!!
China anarun labda kiuchimi ila sio military.....wababe wapo Urusi na USA
 
We akili huna
si kosa lako!!….
China haijawai run dunia hata siku moja.
Tunaongelea karne hii tuliopo hatuongeleei miaka mia ijayo
Mbona unakuja kwa kukurupuka???
Sizungumzii kuwa super power.
China ana run dunia kwa facts tatu;
-Geopolitically China ana ushawishi kuliko taifa lolote(ikiwemo USA).
-China benki kuu yake ndio imeongoza kutoa huduma ama misaada ya kifedha ulimwenguni kuliko benki yeyote ukitoa WB na IMF.
-China inachangia zaidi ya 60+% ya industrial good duniani.
Ushaelewa ninachokimaanisha??
Unadhani Ursula Von derleyen alikua mjinga kumsihi USA asitumie mabavu kuutuliza mzozo wa China v Taiwan??
Alikiri mwenyewe akiwa rais wa EU kuwa China ikiingia confrontation na USA dunia itaonja shubiri haijai onja.
 
Israel was created by western countries to protect their interests in that region. So wanamtunza kama mtoto wao kwa sababu hilo ni jicho na sikio la magharibi. Unawasifu usiowajua kumbe.
Hii tunaita muslim and arabs cheap propaganda....against jew......We dont buy it
 
Wewe acha uongo bhana, Wana pesa nyingi za kimtandao zinazo ingia kwao moja kwa moja kama maji kupitia Satellite ambayo pia ni yao, haijalishi itakua nchi gani lakini ni za kwao na wanalipwa Kwa kutoa huduma, usikute hata ukiwa unaandika hapa utakua unakunywa Pepsi ambayo product ni ya kwao, usikute umetoka kwenye ATM kuvuta elf50 ya kumuachia mkeo/familia asbh, huduma ni za kwao, duniani kote...
Usitufanye sisi watoto we jamaa.
Hizi stori za vijiwenu musilete humu.
 
Wikipendia: Chanzo kinachoaminika zaidi, wamarekani wayahudi ni takribani 30 % ya top 100

View attachment 2927270

Hizo royal families za uarabuni kuzihesabia kwenye utajiri ni ngumu, wanajimilikisha rasili mali za nchi kuanzia mafuta, madini, n.k. ni kama nchi na vyote vilivyomo vinakuwa mali zao.
Again waarabu hawahesabiwi kabisa I hope you got my point, na hao hao Forbes ndio waliopata hio figure ya 800B sio mimi. So wayahudi matajiri wooote Usa wajumlishe hawafikii Familia moja tu, so hii kazi nikuachie wewe kagombane sasa na Forbes.
 
Waarabu hawana akili!!

Elewa waisrael wana Run dunia.
Marekani na ulaya wako radhi wachukiwe na dunia nzima ila waipe back up israel
Vijana wengi mnaangalia vitu kishabiki ndio maana wachungaji wanawadanganya kirahisi sana, marekani na wenzake wa magharibi uk , france , germany etc hao ndio wana run dunia israel ni mshirika wao wa middle east ambaye wanampa misaada yote kuanzia silaha hadi hela .
HIzo nchi kibwa ndio zina control UN na takataka zote za kimataifa hadi huku africa ndio maana unaona leo wao wakisema huyu gaidi awekewe vikwazo unawekewa , ulishasikia isael kafanya kitu chochote kimataifa kukuonyesha kwamba ana control chochote duniani?
KUanzia congo na west africa yote france ndio ana control na kwa ushirikiano wao hata congo wauane vipi hutasikia marekani anafanya chochote cha maana kwa sababu mshirika wake ndio mnufaika mkubwa.
Marekani policy yake anakwambia no permanent friend or enemy its about intetests.
Kashogi aliuliwa na mbs mchana kweupe na alikuwa akiishi marekani alivyoenda turkey wakammaliza , marekani hadi leo kajifanya kama hajaona yote kwa sababu ya interests zake sudi arabia
 
Israel was created by western countries to protect their interests in that region. So wanamtunza kama mtoto wao kwa sababu hilo ni jicho na sikio la magharibi. Unawasifu usiowajua kumbe.
Kwa Nini na sisi tusiombe kuwa jicho na sikio la magharibi ukanda huu bwashee! Maana hakuna faida ya kuwa loyal kwa waafrica wenzetu wakati Bado tunaibiwa madini halafu tunaishi maisha duni? Hapo Kuna zaidi ya hicho unachojisifia kukijua
 
Usifananishe Middle east na Afrika mkuu hata upunje.
Pia usimfananishe muisrael na muafrika hata upunje.
Israelites ni master of conspiracy and espionages hapa ulimwenguni.
Pia Middle east kama isingekuwa neutralized Wamagharibi na Marekani wasingeshika hatamu ya dunia kamwe.
 
Vijana wengi mnaangalia vitu kishabiki ndio maana wachungaji wanawadanganya kirahisi sana, marekani na wenzake wa magharibi uk , france , germany etc hao ndio wana run dunia israel ni mshirika wao wa middle east ambaye wanampa misaada yote kuanzia silaha hadi hela .
HIzo nchi kibwa ndio zina control UN na takataka zote za kimataifa hadi huku africa ndio maana unaona leo wao wakisema huyu gaidi awekewe vikwazo unawekewa , ulishasikia isael kafanya kitu chochote kimataifa kukuonyesha kwamba ana control chochote duniani?
KUanzia congo na west africa yote france ndio ana control na kwa ushirikiano wao hata congo wauane vipi hutasikia marekani anafanya chochote cha maana kwa sababu mshirika wake ndio mnufaika mkubwa.
Marekani policy yake anakwambia no permanent friend or enemy its about intetests.
Kashogi aliuliwa na mbs mchana kweupe na alikuwa akiishi marekani alivyoenda turkey wakammaliza , marekani hadi leo kajifanya kama hajaona yote kwa sababu ya interests zake sudi arabia
Haya utanianiambia Waarabu wanachomiliki ambacho kinacontrol dunia namm nitakwambia Israel anacho control

Israel ina control politician wa marekan awe democratic au republican kwa kutoa fund kwene campany
Israel lobiies ndio powerful kwenye siasa za marekani
Israelites Mac Zuckeberg mmiliki wa Fb ,na insta ( unajua hii mitandao inavotumika kusambaza propaganda na kucontrol dunia)
Nchi za ulaya zina elites wengi wa israel na politician wengi wanakua influenced na lobbiies ambazo ni pro israel

Sasa kama waarabu wana akili wanashindwaje kuingia kwene system za hizi nchi
 
Kwa Nini na sisi tusiombe kuwa jicho na sikio la magharibi ukanda huu bwashee! Maana hakuna faida ya kuwa loyal kwa waafrica wenzetu wakati Bado tunaibiwa madini halafu tunaishi maisha duni? Hapo Kuna zaidi ya hicho unachojisifia kukijua
akili hizi za hovyo ndo za kagame yuko tayari kuua mamilion ya waafrica kwa ajili ya maslahi ya wazungu
 
Haya utanianiambia Waarabu wanachomiliki ambacho kinacontrol dunia namm nitakwambia Israel anacho control

Israel ina control politician wa marekan awe democratic au republican kwa kutoa fund kwene campany
Israel lobiies ndio powerful kwenye siasa za marekani
Israelites Mac Zuckeberg mmiliki wa Fb ,na insta ( unajua hii mitandao inavotumika kusambaza propaganda na kucontrol dunia)
Nchi za ulaya zina elites wengi wa israel na politician wengi wanakua influenced na lobbiies ambazo ni pro israel

Sasa kama waarabu wana akili wanashindwaje kuingia kwene system za hizi nchi
Akili zipi unazungumzia wewe??
Israelis hawa control politicians wa USA embu usitudanganye we jamaa.
Israel na USA wana geopolitical mutual interest wana share baina yao.
Kama muarabu angekua hana akili USA asingetibua amani hapo middle east.
Kama waarabu hapo middle east wangekua sio tegemezi na wana amani na maendeleo full USA na Wamagharibi ingewawia ngumu kujitutumua.
We mathalan taifa kama Iran ama Lebanon unaliacha kistawi kinguvu ya uchumi na kijeshi thubutu yako kama utajitutumua.
 
Sasa hizo ofa zilitokana na Nini mzee? Kwa Nini na sisi TZ tusipewe hizo offer? Oya mzungu hatoi sehemu isiyo na faida😁
Hapa hatuongelei sababu ya ofa bali tuna jadili sababu ya uchumi wa Israel kukua.
Alafu kama unataka kujua ni kwann Israel inapokea ofa hizo zote tafuta makala moja kutoka BBC yenye kichwa cha habari kinacho sema ni : Nini siri ya mahusiano kati ya Marekani na Israel.
 
Mbona unakuja kwa kukurupuka???
Sizungumzii kuwa super power.
China ana run dunia kwa facts tatu;
-Geopolitically China ana ushawishi kuliko taifa lolote(ikiwemo USA).
-China benki kuu yake ndio imeongoza kutoa huduma ama misaada ya kifedha ulimwenguni kuliko benki yeyote ukitoa WB na IMF.
-China inachangia zaidi ya 60+% ya industrial good duniani.
Ushaelewa ninachokimaanisha??
Unadhani Ursula Von derleyen alikua mjinga kumsihi USA asitumie mabavu kuutuliza mzozo wa China v Taiwan??
Alikiri mwenyewe akiwa rais wa EU kuwa China ikiingia confrontation na USA dunia itaonja shubiri haijai onja.
Hapa pa 60% ya product za viwanda umetupiga aisee.kwa zinatoka china tu
.
 
Usifananishe Middle east na Afrika mkuu hata upunje.
Pia usimfananishe muisrael na muafrika hata upunje.
Israelites ni master of conspiracy and espionages hapa ulimwenguni.
Pia Middle east kama isingekuwa neutralized Wamagharibi na Marekani wasingeshika hatamu ya dunia kamwe.
Sasa tusimamie hapo kwenye myahudi ni master wa hayo maana yanahitaji akili iwepo kichwani na ndo maana Western wanamheshimu
 
Hapa pa 60% ya product za viwanda umetupiga aisee.kwa zinatoka china tu
.
Duniani China ndio most industrialized nation mkuu.
Yani China inatengeneza bidhaa za kiwanda nyingi na kufanya exportation nyingi kuliko nchi yeyote ulimwenguni.
 
Akili zipi unazungumzia wewe??
Israelis hawa control politicians wa USA embu usitudanganye we jamaa.
Israel na USA wana geopolitical mutual interest wana share baina yao.
Kama muarabu angekua hana akili USA asingetibua amani hapo middle east.
Kama waarabu hapo middle east wangekua sio tegemezi na wana amani na maendeleo full USA na Wamagharibi ingewawia ngumu kujitutumua.
We mathalan taifa kama Iran ama Lebanon unaliacha kistawi kinguvu ya uchumi na kijeshi thubutu yako kama utajitutumua.
shida unashindwa kukubali ukweli mchungu!! Mwenye akili ndio anaweza kuwagombanisha wajinga

Wazungu wana akili hawana resources unategemea watafanya nn kama si kugombanisha na kuuza silaha muuwane.
Najua huu ukweli ni mchungu Lakini ndio ulivo
 
Back
Top Bottom