Vijana wengi mnaangalia vitu kishabiki ndio maana wachungaji wanawadanganya kirahisi sana, marekani na wenzake wa magharibi uk , france , germany etc hao ndio wana run dunia israel ni mshirika wao wa middle east ambaye wanampa misaada yote kuanzia silaha hadi hela .
HIzo nchi kibwa ndio zina control UN na takataka zote za kimataifa hadi huku africa ndio maana unaona leo wao wakisema huyu gaidi awekewe vikwazo unawekewa , ulishasikia isael kafanya kitu chochote kimataifa kukuonyesha kwamba ana control chochote duniani?
KUanzia congo na west africa yote france ndio ana control na kwa ushirikiano wao hata congo wauane vipi hutasikia marekani anafanya chochote cha maana kwa sababu mshirika wake ndio mnufaika mkubwa.
Marekani policy yake anakwambia no permanent friend or enemy its about intetests.
Kashogi aliuliwa na mbs mchana kweupe na alikuwa akiishi marekani alivyoenda turkey wakammaliza , marekani hadi leo kajifanya kama hajaona yote kwa sababu ya interests zake sudi arabia