Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Dondoo muhimu:
Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake, kwetu nchi masikini tunaziona ni pesa nyingi inakuwa rahisi hata sisi masikini kudanganyana kwamba Israel inawategemea Marekani tu.
Saudi Arabia ndio kinara wa gdp lakini ni nchi kubwa sana karibu mara 100 ya Israel
Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Israel na waarabu hao wote ni ndugu
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Dondoo muhimu:
vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel, kwetu nchi masikini tunaziona ni pesa nyingi.
Saudi Arabia ndio kinara wa gdp lakini ni nchi kubwa sana na yenye mafuta,
Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Hao waarabu na waisrael,ni ndugu usijiumize kichwa
1.wote wako mashariki ya kati.
2.Lugha zao zinaingiliana
3.Wanaandika kutoka kulia kwenda kushoto.
4 Hawatumii alphabet za kilatini,wana alphabet zao.
5.Waarabu na waislamu,wanaamini na kuwaheshimu mitume yote ya kiisrael.Mpaka Yesu,ambaye ni muisrael wanamuamini.
6.Vitabu vyote vya dini,vilivyokuwepo Israel,Zaburi,Tora(Taurat),Injili wanaviamini,hata hiyo Qur'an imewataja sana waisrael,Yesu,mama yake,Maria,Nabii Musa,Yohana(Yahya),Zakaria, na wengine wengi.Na wanawaamini.
7.Baba wa Iman wa Waarabu(waislamu) na baba wa Imani wa Israel ,ni Ibrahim,
.8.Waisrael na waarabu ,wanaona,toka dunia iwepo na mpaka leo.
.