Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

Waarabu wachache ndio wenye pesa hasa familia za kifalme, hata kodi za wananchi wanazitumbua kununua mafari ya bei mbaya
Waarabu wote hao wa gulf toa nchi zenye vita kama Yemen hawana shida.

Mfano Saudia
-Ukimaliza Chuo unalipwa Sar 2000 ambayo ni kama 1M-1.5M kila mwezi hela ya vocha wakati unasubiria kuajiriwa
-Saudia haina Homeless raia wote wana makazi sasa hivi wana program kila Raia awe na Gari
-Elimu bure mpaka utakapoamua kuacha kusoma
-Afya bure
-wanawake wote ambao Mshahara ni chini ya Sar 8000 (kama milioni 5) wanapewa subsidies mbalimbali kama kulipia day care za kupeleka watoto, hela za usafiri na mambo mengine.
-wakiajiriwa wanalipwa mishahara mikubwa

So vice versa is true waarabu wote wa huo ukanda wanajiweza kasoro Yemen.
 
Sasa kwa Nini wasifanye biashara ya Aina hiyo na vilaza siye? Brother achana na Ile race yaani thousands of years wamemaintain identity yao hata lugha yao tu! Tuwahukumu kwa njia zao ovu Ila those guys are extraordinary exceptional
Sijakataa bro.
Kwani nimepinga?
Ndio maana nikasema usimfananishe muisrael na Muafrika.
 
Waarabu wachache ndio wenye pesa hasa familia za kifalme, hata kodi za wananchi wanazitumbua kununua mafari ya bei mbaya
Usitake kutudanganya.
Kachukue behind poverty line ya Saudia fananisha na Israel.
Waarabu wana hela aisee.
Kuwait kuna sera waliipitisha ya mwananchi kuwekewa kila asilimia ya hisa ya mauzo ya rasilimali mafuta.
Mnakuaje masikini??
 
wewe unachojua ni teknolojia ya simu na magari tu.

kuna teknolojia za kilimo, kamouni kama netvic huwezi inaongoza na huwezi kuijua ukiwa unalimia ngombe,

technologu za drones za vita uav na iron dome huwezi kuzijua kama hufatilii mambo ya vita,

Israel ndio nchi inayoongoza kwa start ups density, huenda hata start ups huzijui inakuwa ngumu sana kukuelelekeza

kama sio mfuatiliaji wa mambo ya tech ni ngumu sana kujua haya mambo, utaishia kuona teknolokia ni var za kwenye mpira
Unaona sasa????
Tukija katika silaha na mifumo ya ulinzi ya anga Israel hata kumi bora haingii.
Khordak missile system ina ufanisi wa kulinda anga kuliko hata iron dome.
Iron dome imethibitisha madhaifu kibao mpakani na Lebanon.
Silaha muhimu kama ndege Israel inachukua toka USA kesha inazifanyia modifications.
Ukitaja wauzaji silaha nguli ulimwenguni top 5 huwezi mkuta Israel.
Ukija teknolojia ya usafiri ndio kabiiisaaa Israel haingii top ten utataja Japan,China na mataifa mengine.
Israel kuongoza katika teknolojia ya kilimo cha jangwani usije ukampambanisha na mataifa mengine kiteknolojia hata Singapore hatii mguu.
 
Kiongozi mvaa makobasi ebu sikia shule hii inaonekana unaonekana unaongea vitu usivo vijua


ujanja = Akili/Ujuzi
Maelezo yako uliyoleta yasome uelewe vizuri.
Yanarudi kulekule kuwa unaweza kuwa na akili ila usiwe mjanja.
Kuwa mjanja ni kufikiri out of box kitu ambacho sio kila mtu anacho.
Embu soma maelezo uloleta kwa umakini.
 
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:
Kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii hata asilimia 3 ya uchumi wake, kwetu nchi masikini tunaziona ni pesa nyingi inakuwa rahisi hata sisi masikini kudanganyana kwamba Israel inawategemea Marekani tu.

Saudi Arabia ndio kinara wa gdp lakini ni nchi kubwa sana karibu mara 100 ya Israel

Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Israel na waarabu hao wote ni ndugu
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions

Dondoo muhimu:

vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel hakifikii ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel, kwetu nchi masikini tunaziona ni pesa nyingi.

Saudi Arabia ndio kinara wa gdp lakini ni nchi kubwa sana na yenye mafuta,


Saudi Arabia $876.150
Israel $520
UAE $501.354
Egypt $438.348
Iran $367
Iraq $250.070
Qatar $236.257
Kuwait $118.271
Oman $110.127
Syria $77.460
Jordan $42.609
Bahrain $41.46
Yemen $28.134
Lebanon $19.008
Palestina 5
Hao waarabu na waisrael,ni ndugu usijiumize kichwa
1.wote wako mashariki ya kati.
2.Lugha zao zinaingiliana
3.Wanaandika kutoka kulia kwenda kushoto.
4 Hawatumii alphabet za kilatini,wana alphabet zao.
5.Waarabu na waislamu,wanaamini na kuwaheshimu mitume yote ya kiisrael.Mpaka Yesu,ambaye ni muisrael wanamuamini.
6.Vitabu vyote vya dini,vilivyokuwepo Israel,Zaburi,Tora(Taurat),Injili wanaviamini,hata hiyo Qur'an imewataja sana waisrael,Yesu,mama yake,Maria,Nabii Musa,Yohana(Yahya),Zakaria, na wengine wengi.Na wanawaamini.
7.Baba wa Iman wa Waarabu(waislamu) na baba wa Imani wa Israel ,ni Ibrahim,
.8.Waisrael na waarabu ,wanaona,toka dunia iwepo na mpaka leo.


.
 
We kweli akili kisoda.
Mabilioni ya dola yanayotolewa Israel kupanga bajeti ya taifa na bajeti ya ulinzi unasemaje kuwa ni ndogo??
Israel inapewa misaada unconditionally,yani kama ile misaada ingegeuka kuwa ni mikopo basi deni lake lisingekua himilivu kitaifa.
Unajua Israel inapewa misaada ya kijeshi yenye thamani ya dola ngapi kwa mwaka, tuanzie hapo kwanza maanake watu inaonekana imani za kidini zimewaharibu kabisa akili.
 
Eti kajikita kwene mafuta 😂😂😂😂bro mbona unaongea utoporo Tangu nchi izaliwe sijawai usikia

Mafuta yanatengenezwa?? kuna akili gani inatumika kutengeneza mafuta?? mafuta ni natural resource mzee hamna akili yeyote hapo…..
Jitathimini mkuu kama huu ndo uwezo wako wa kufiri
Waarab isingekuwa mafuta wasingekuwa hapo walipo kiuchumi wangekuwa chini sasa ukija kwa Israel au taifa kama japan ni akili zao ndo zimefikisha nchi zao juu kiuchumi mfano jews watu wana IQ za hataree mzeya mtu kama Albert Enstain ile akili unaanzaje kuipata kwa waarab....cheki global financial system dunian ni jews ndo wanairun hao jamaa no wonder wanachukiwa na kuonewa husda na wengi...
 
Unajua Israel inapewa misaada ya kijeshi yenye thamani ya dola ngapi kwa mwaka, tuanzie hapo kwanza maanake watu inaonekana imani za kidini zimewaharibu kabisa akili.
We jamaa hata kujadiliana na wewe sisumbuki maana UNAENDEKEZA SANA UDINI.
KUNA SEHEMU HAPO IMETAJWA DINI??
PITA KUSHOTO TENA NGOJA NIKU IGNORE.
 
Wewe acha uongo bhana, Wana pesa nyingi za kimtandao zinazo ingia kwao moja kwa moja kama maji kupitia Satellite ambayo pia ni yao, haijalishi itakua nchi gani lakini ni za kwao na wanalipwa Kwa kutoa huduma, usikute hata ukiwa unaandika hapa utakua unakunywa Pepsi ambayo product ni ya kwao, usikute umetoka kwenye ATM kuvuta elf50 ya kumuachia mkeo/familia asbh, huduma ni za kwao, duniani kote...
Ya kwamba ni za Israel?
 
Haya utanianiambia Waarabu wanachomiliki ambacho kinacontrol dunia namm nitakwambia Israel anacho control

Israel ina control politician wa marekan awe democratic au republican kwa kutoa fund kwene campany
Israel lobiies ndio powerful kwenye siasa za marekani
Israelites Mac Zuckeberg mmiliki wa Fb ,na insta ( unajua hii mitandao inavotumika kusambaza propaganda na kucontrol dunia)
Nchi za ulaya zina elites wengi wa israel na politician wengi wanakua influenced na lobbiies ambazo ni pro israel

Sasa kama waarabu wana akili wanashindwaje kuingia kwene system za hizi nchi
Ww ndo huna akili kwa kushindwa kutofautisha kati ya raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.

Sio kila myahudi ni raia wa Israel na sio kila raia wa Israel ni myahudi.

Kitendo cha wao kuweza kutumia rasilimali zao kuboresha maisha ya raia wao kitu ambacho watu weusi mmeshindwa ni akili tosha kabisa.
Niambie ndani ya Israel kama kuna mji unao ifikia Dohar tu achana na Dubai na Riyadhi?
 
Na tena nchi nyingi hapo uchumi wao mkubwa ni sabab ya mafuta na gesi wangekuwa hawana hizo rasilimali wasingekuwa hapo kiuchumi. Israel akili mingi zimetumika na zinatumika kuipeleka mbele kiuchumi. Kifupi Jews akili kubwa waarab katu hawawafikii kiakili hata hao wairan, sijui waturuki hamna wa kuwafikia wayahudi. Matusi, mapovu ruksa kwa anti jews. We kwa mfano Iron dome ile system balaa lake si la kitoto..nenda kwenye vyuo kama stanford, mit jews wa kutosha, high tech start up za jews za kumwaga, scientist wa kiyahudi wa kumwaga sasa tafuta wa kipande ya arabun uone utapata wangapi......
Hata Israel kama sio misaada ya nchi za Magharibi ingekuwa zero.
Na ndio maana mpaka sasa uchumi wake kushindwa kuhimili gharama za vita dhidi ya adui dhaifu kama Hamas mpaka Marekani imelazimika kuisaidia $12bilion kugharamia vita.
 
Unajua Israel inapewa misaada ya kijeshi yenye thamani ya dola ngapi kwa mwaka, tuanzie hapo kwanza maanake watu inaonekana imani za kidini zimewaharibu kabisa akili.
Hoja ni kwann apokee misaada kama kweli anajiweza ?
Yaani unajiita tajiri alafu wakati huo unapewa msaada wa kuhudumia watoto wako?
 
Ww ndo huna akili kwa kushindwa kutofautisha kati ya raia wa Israel na watu wenye asili ya kiyahudi.

Sio kila myahudi ni raia wa Israel na sio kila raia wa Israel ni myahudi.

Kitendo cha wao kuweza kutumia rasilimali zao kuboresha maisha ya raia wao kitu ambacho watu weusi mmeshindwa ni akili tosha kabisa.
Niambie ndani ya Israel kama kuna mji unao ifikia Dohar tu achana na Dubai na Riyadhi?
ile ni jewish state majority ni wayahudi ukitoa wahamiaji na waarabu wa palestina waliopewa uraia
 
Waarab isingekuwa mafuta wasingekuwa hapo walipo kiuchumi wangekuwa chini sasa ukija kwa Israel au taifa kama japan ni akili zao ndo zimefikisha nchi zao juu kiuchumi mfano jews watu wana IQ za hataree mzeya mtu kama Albert Enstain ile akili unaanzaje kuipata kwa waarab....cheki global financial system dunian ni jews ndo wanairun hao jamaa no wonder wanachukiwa ngana kuonewa husda na wengi...
[/QUQUO
Ukitaka kujua taifa fulani hapa duniani angalia ni madhara gani yatatokea duniani iwapo nchi hiyo itaingia kwenye mgogoro fulani.
Mfano Urusi alipo ingia vitani uchumi wa dunia nzima uliteteleka mpaka bibi yako aliyeko kijijini asiye jua hata kama kuna nchi inayo itwa Urusi alionja joto.
Mwaka 2018 sarafu ya china ilishuka thamani kwa 01% lakini masoko ya hisa na fedha kote duniani yalitikisika.

Sasa niambie hiyo Israel yenu tangu hiingie vita tofauti na mauaji ya watu ni kipi ambacho dunia imeathirika kuanzia kiuchumi na kiteknolojia ?
Kitendo cha yeye kuwa vitani na hakuna kilicho badilika duniani ni inshala tosha ya kuwa hicho kinchi chenu hakina humuimu wowote hapa duniani.

Siku China itakapo iwamia Taiwan ndo tutashuhudia madhara makubwa kwenye sekta ya teknolojia duniani ndo na ndo siku utawajua ni akina nani mababa wa Teknolojia dunian.
 
ile ni jewish state majority ni wayahudi ukitoa wahamiaji na waarabu wa palestina waliopewa uraia
Raia wengi wa Israel ni wayahudi lakini si kila myahudi ni raia wa Israel ,wapo wayahudi ambao ni raia wa nchi mbali mbali duniani ambao hawana uhusiano na Israel hata ukienda Iran ,Misri au Morocco unawakuta wanaishi kama raia wa nchi hizo.
Sasa nyinyi tunaongelea Israel nyinyi mnajadili watu wenye asili ya kiyahudi.
 
Hizo startup ni za mlengwa gani wa teknolojia???
Usitizame tu idadi tizama na mlengwa wa aina ya teknolojia.
Ukitizama hiko kitu utagundua hiyo list ilivyo itajirudia vile vile.
Duniani ukihitaji most skilled labours haupati pengine zaidi ya China.
Hapa hoja yako ni nini, startup zikiwa za mlengwa gani wa teknolojia zinapungua idadi?

Unaweza panga list ya startups VS mlengwa gani wa teknolojia tuone inajirudiaje na hii ya sasa. Hata top 5 tu
 
Hapa hoja yako ni nini, startup zikiwa za mlengwa gani wa teknolojia zinapungua idadi?

Unaweza panga list ya startups VS mlengwa gani wa teknolojia tuone inajirudiaje na hii ya sasa. Hata top 5 tu
Nachomaanisha Israel ni bado katika kushindana teknolojia na mataifa bobezi katika teknolojia kama China na Japan.
 
Usitake kutudanganya.
Kachukue behind poverty line ya Saudia fananisha na Israel.
Waarabu wana hela aisee.
Kuwait kuna sera waliipitisha ya mwananchi kuwekewa kila asilimia ya hisa ya mauzo ya rasilimali mafuta.
Mnakuaje masikini??
Saudi Arabia ina ukubwa mara 97 ya Israel

Uchumi wa Israel pamoja na udogo wake ni dola bilioni 500, Saudi ni dola bilioni 800, imeshindwa kuizidi Israel hata Maradufu pamoja na ukubwa wake mara 97 ya Israel

Israel ina watu milioni 9, Saudio milioni 36, tukisema tugawanye huo uchumi kwa idadi ya watu huoni Israel anakuwa juu zaidi ?

Saudia kuna matajiri lakini ni familia na ndugu wa wafalme, hawa hawaoni shida kutumia kodi za watu kujaza magari 100 garage ya familia, ni kama familia ya Muswati
 
Back
Top Bottom