Chai bariiidiMi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Wameshindwa kuisaidia PalestinaMi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Kwani si wanasema Tanzania ni Nchi yenye Rasilimali nyingi kuliko maelezo? iweje ifunge ndoa na waarabu? Usulutani kurejea? Mkoloni wa kiaarabu anakuja kuleta udini na tabia za kujilipua na mambo yake ya hovyoMi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Nchi gani ya kiislaam waliotusaidia? Kuwaletea tende wakati wa Iddi? Hakuna nchi za kiislam zenye uwezo wa kusaidia nchi zingine zaidi ya kuleta mapigano kwenye nchi hizo, nikupe mfano kamili, UAE inasaidia waasi wa RSF kupigana na serikali ya Sudan, Saudi Arabia inapigana kule Yemen kusapoti upande moja, Turkey inapigana ndani ya Syria, Yemen inaisaidia Eritrea na Oromo kupigana na Ethiopia, Iran inasaidia Hezbollah kupigana na serikali ya Lebanon na pia Hamas vs Palestina Authority.Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Waarabu ndiyo wa hovyo kwani wao hutawaliwa na wazungu visima vyao vya mafuta uchumi wao wote unasimamiwa na wazungu, Syria, Lebanon, Iraq, Afaganistan, Somalia, Yemen, Libya hawajaweza kuwakwamua ndiyo wataiweza Tanzania ?Kwanza hapa nyumbani wazungu wote wanaitwa makafiri na nchi zao ni nchi za makafiri Sasa tunawageukia waarabu hawa ni watu wema pia tuna undugu wa damu.
Wanachojua waarabu ni uchonganishi tu ili waibe wanyama pori Serengeti mbuga zote za wanyama wapeleke kwao na kuiba gesi na mafuta na kueneza Udini kwa kifupi waarabu ni watu wa hovyo kupita jamii zote za viumbe vya mungu hapa DunianiNchi gani ya kiislaam waliotusaidia? Kuwaletea tende wakati wa Iddi? Hakuna nchi za kiislam zenye uwezo wa kusaidia nchi zingine zaidi ya kuleta mapigano kwenye nchi hizo, nikupe mfano kamili, UAE inasaidia waasi wa RSF kupigana na serikali ya Sudan, Saudi Arabia inapigana kule Yemen kusapoti upande moja, Turkey inapigana ndani ya Syria, Yemen inaisaidia Eritrea na Oromo kupigana na Ethiopia, Iran inasaidia Hezbollah kupigana na serikali ya Lebanon na pia Hamas vs Palestina Authority.
Nchi za kiarabu hazina uwezo mkubwa wa kusaidia wengine, ingawa nyingi zipo wealth lakini aidha zina struggle au zinasaidia kuharibu nchi zingine.
Una undugu gani wa damu, wewe Mnyiramba wa Singida na Waarabu? Na ni msaada kama upi unaoutaka kutoka katika nchi za Kiarabu? Funguka vizuri, kwasababu wakijaribu tu hata wao watawekewa vikwazo na unakuwa umewachoma wenzio.Kwanza hapa nyumbani wazungu wote wanaitwa makafiri na nchi zao ni nchi za makafiri Sasa tunawageukia waarabu hawa ni watu wema pia tuna undugu wa damu.
Nchi ya Tanzania ina Rasilimali nyingi kuliko waarabu cha ajabu imekuwa ombaomba kuliko hata Nchi masikini kama Burundi Sudan kusini, sasa inawaleta Warabu kuja kuharibu Nchi iwe kama Sudan na libya, hata macc yanainajisi NchiMtu mweusi ni janga la dunia..
Amejidhalilisha mwenyewe kwa kupenda kusaidiwa..
Tofauti yake na nyani, kuchangamkia misaada kuliko nyani kupenda kupewa ndizi...
Waarabu huisaidia Israel kuwaua waarabu wenzao wa Palestina na hapo ndipo utajua Mwarabu ni mtu wa hovyo sanaUna undugu gani wa damu, wewe Mnyiramba wa Singida na Waarabu? Na ni msaada kama upi unaoutaka kutoka katika nchi za Kiarabu? Funguka vizuri, kwasababu wakijaribu tu hata wao watawekewa vikwazo na unakuwa umewachoma wenzio.
Wanasema Wairan sio WaarabuQatar ilisaidia kambi ya jeshi la marekani kuishambulia iran na hapo ndipo utajua kuwa waarabu hawafai ni watu wa hovyo sana
Misaada yenyewe tende ....na misikit midogo kama chumba cha msela ..... kule iringa walileta tenda tuMi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.