Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Missada ya Tende, kanzu, hijabu na bargashia.Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Missada ya Tende, kanzu, hijabu na bargashia.Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Misaada yao inakuja na kifiro juu.Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Tende,,halua nyama ngamia na kanzu tunauza sio bure, ukitata agiza sio bure usisahau tunapokea dolar,Watajenga misikiti kila mtaa muwe mna swali 24/7, wataela tende na harua, nyama za ngamia na kanzu, mizura, na majuzuu ya kumwaga.
Na watawapeleka Oman na saudia mkawe wafanyakazi wa majumbani.