PostGE2025 Nchi za kikristo zikizuia misaada nchi za kiislamu zitatusaidia

PostGE2025 Nchi za kikristo zikizuia misaada nchi za kiislamu zitatusaidia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tena kwanza why tuishi kwa misaada?

Tutajifunza kujjtegemea

TEC ndiyo wameleta hizo falsafa za kuomba omba misaada kutoka kwa hao jamaa zao LGBTQ na kupenda dezo dezo pale bandarini.
Hapana wanaoombaomba misaada ya tende mahalua wanajulikana wengine wanaweza liwa matako kisa biriani
 
Teh teh teh

Hzo ni history za kanisa wewe,muarabu gani alishiriki kwenye berlin conference 1884/85 ya partion of africa?

Hapo hapo zanzibar upo ushahidi wa kanisa ambalo watumwa walikuwa wanaombewa kabla ya kupelekwa kwenye plantations huko brazil,jamaica na amerika...

And miongoni mwa agents of colonialism ukiachana na explorers,traders kuna jamaa zenu hao missionaries ...

Sasa unakataa nini.
 
Wazungu hawatupi misaada wanatupa mikopo hizi Western propaganda sijui zitaisha lini msaada gani unatakiwa kurejesha tena na riba kubwa
Ni mchanganyiko, kuna misaada na mikopo. Kwa mfano, zile programs za kusaidia madawa ya Malaria, TB, HiV, nk, ilikuwa misaada
 
Kwahiyo waarabu leo unawaona wabinafsi kuliko wazungu waliochukua babu zako na kuwapeleka utumwani maelfu kwa.maelfu??

Teh teh teh

Akili za kanisa ni fyatu sana
Ostaadh,
Tipu tipu na kundi lake la utekaji na usafirishaji wa Wabara kama mifugo kwenda mnadani Unguja na Uarabuni walikuwa wazungu wa kutokea nchi gani?
 
Tusubirie tu kupata Tende na Halua!!! Waarabu si watu wanashindwa kusaidiana wao kwa wao leo utarajie wakusaidie wewe Mmatumbi!!!

Labda tuwaachie ngorongoro na mbuga zingine za wanyama kwanza ndipo wataweza kutujengea misikiti kama ule wa Dodoma na kutuletea Kazu za mitumba tuvae!!
Hata hizo tende sio bure,yaani tutakuuzia,dunia ya leo investment no free lunch
Sasa oman iko botswana kufanya investment,,nyinyi kaeni kutuna waarabu au oman

View: https://x.com/bogolokenewendo/status/1993663120523587621?s=61&t=dtno3C9A3lDS2iwatMBZ7g
 
Ni mchanganyiko, kuna misaada na mikopo. Kwa mfano, zile programs za kusaidia madawa ya Malaria, TB, HiV, nk, ilikuwa misaada
Hakuna cha bure katika capitalist nation hio sio misaada ya moja kwa moja kama utoavyo sadaka na kusepa hao wanachukua rasilimali in return
 
Watajenga misikiti kila mtaa muwe mna swali 24/7, wataela tende na harua, nyama za ngamia na kanzu, mizura, na majuzuu ya kumwaga.

Na watawapeleka Oman na saudia mkawe wafanyakazi wa majumbani.
 
Nchi za kiarab ziko tayari kusaidia Silaha na sio misaada ya maendeleo.
 
Back
Top Bottom