PostGE2025 Nchi za kikristo zikizuia misaada nchi za kiislamu zitatusaidia

PostGE2025 Nchi za kikristo zikizuia misaada nchi za kiislamu zitatusaidia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wameshindwa kuwasaidia wapalestina - waarabu wenzao wanaopigwa mabomu waje kukusaidia wewe muafrika!

Nyie mtasaidiwa kwa kupewa tende, nyama za bure na kujengewa misikiti
 
Huna akili, wewe usiye kafiri umefanya nini katika maisha yako. Hizo nchi za kiarabu zimekusaidia nini? Sana sana kukugawia tende, na kukujengea misikiti lakini hawajengi shule, wanataka kuwa-control kimawazo. Kafiri ni huyo mtume wenu mbakaji watoto mbwa wewe. Hayo mafuta waliyoyapata na wanaowabeba beba mbona ni hao wazungu? Toka nje ya nchi akili yako ipanuke, siyo kudanganywa na mambo ya misikitini
Nchi za kiarabu zimesaidia nini?

Kwani Vatican inayowapa jeuri TEC imesaidia nini Afrika na Tz?

Kuwait Fund ilileta pesa za ujenzi wa bara bara za kusini TEC ikaloby na vijana wao wakapeleka pesa kujenga Bugando Hospital.

Wakaleta tena Pesa zingine zikajenga daraja kule mtwara badala hata ya ku acknolwdge msaada wao wanasema ni daraja la mkapa.

Nenda kaangalie miradi mingi ya uchimbaji wa visima vya maji vijijini zi
inafadhiliwa na nani.

Shida yenu makafiri ni kutaka kujiona kuwa nyinyi mna nafasi wakati hamna lolote la maana.
 
Hao waarabu labda tende mwezi wa Ramadhan na nyama sikukuu ya Eid al adha.

Ni mikono ya birika na hawana hiyo sera kama warusi tu heri hata ya wachina.
 
Wameshindwa kuwasaidia wapalestina - waarabu wenzao wanaopigwa mabomu waje kukusaidia wewe muafrika!

Nyie mtasaidiwa kwa kupewa tende, nyama za bure na kujengewa misikiti
Sasa si bora hata sisi nyama na tende tunapata msaada,nyinyi vatican wauza dawa za kulevya wanawapa msaada gani maskini wale zaidi zaidi ya kuwshonea magauni na kuwapa misalaba mvae??
 
Hao waarabu labda tende mwezi wa Ramadhan na nyama sikukuu ya Eid al adha.

Ni mikono ya birika na hawana hiyo sera kama warusi tu heri hata ya wachina.
Bora hao kuliko vatican wanaowapa magauni,misalaba na sanamu za bikira maria na mwanae yesu
 
Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Tusubirie tu kupata Tende na Halua!!! Waarabu si watu wanashindwa kusaidiana wao kwa wao leo utarajie wakusaidie wewe Mmatumbi!!!

Labda tuwaachie ngorongoro na mbuga zingine za wanyama kwanza ndipo wataweza kutujengea misikiti kama ule wa Dodoma na kutuletea Kazu za mitumba tuvae!!
 
Nchi za kiarabu zimesaidia nini?

Kwani Vatican inayowapa jeuri TEC imesaidia nini Afrika na Tz?

Kuwait Fund ilileta pesa za ujenzi wa bara bara za kusini TEC ikaloby na vijana wao wakapeleka pesa kujenga Bugando Hospital.

Wakaleta tena Pesa zingine zikajenga daraja kule mtwara badala hata ya ku acknolwdge msaada wao wanasema ni daraja la mkapa.

Nenda kaangalie miradi mingi ya uchimbaji wa visima vya maji vijijini zi
inafadhiliwa na nani.

Shida yenu makafiri ni kutaka kujiona kuwa nyinyi mna nafasi wakati hamna lolote la maana.
Nchi zao zinaishi katika umaskini wa kutisha except kwa royal family. Saudia Arabia kuna umaskini wa kutisha wakati Royal family wana pesa za kutosha kushinda nchi nyingi za kiafrika lakini ni wachoyo. Ndiyo Kuwaiti ilitoa pesa kupitia BADEA, ni misaada midogo midogo siyo katika level za EU au USA, au Canada.
 
Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Nchi za kiarabu kamwe hazijawai kusaidia mtu au taifa lolote kwa maslai ya huyo wanaye msaidi bali ufanya hivyo kwa maslai yao ...pia mtu yoyote au taifa lolote litakalo saidia ccm na serikali yake haramu ya huyu kahaba mjalaana, moja kwa moja itakuwa adui wa wananchi....kwa sasa samia atapigwa vita kamili na wananchi na mwisho wake lazima uwe mbaya.
 
Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Huna akili mjinga kama viongozi wako wa CCM,kungekuwepo na utawala bora sisi ndiyo tungewapa wazungu na waarabu misaada maana tunakila kitu,unajua pipa moja la mafuta shilingi ngapi? Na gramu moja ya dhahabu shilingi ngapi,au kwa ujinga wako dhahabu hupandishwa kwenye ndege mafuta kwenye meli kipi kina thamani?
 
😂😂huelewi mfumo wa Dunia hii ukiondolewa na wamagharibi imekula kwako labda ujifunge mkanda peke yako bila hivyo watakunyonya na hufanikiwi hata kama una rasilimali
 
Chai bariiidi
Mbona hawajaweza kusaidia Gaza, Yemen, Somalia, Afghanistan, Iraq, Syria, Sudan, nk?
Akikujibu ni tag mkuu, nature ndivyo ilivyo kila jamii ina utamaduni wake na ustaarabu wake....


Ni sawa naku introduce Sharia Law US, sasa sababu ya nature ya jamanii hiyo mpango huo utafeli pakubwa sana
 
Wazungu hawatupi misaada wanatupa mikopo hizi Western propaganda sijui zitaisha lini msaada gani unatakiwa kurejesha tena na riba kubwa
 
Back
Top Bottom