Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Nchi za kiarabu zimesaidia nini?Huna akili, wewe usiye kafiri umefanya nini katika maisha yako. Hizo nchi za kiarabu zimekusaidia nini? Sana sana kukugawia tende, na kukujengea misikiti lakini hawajengi shule, wanataka kuwa-control kimawazo. Kafiri ni huyo mtume wenu mbakaji watoto mbwa wewe. Hayo mafuta waliyoyapata na wanaowabeba beba mbona ni hao wazungu? Toka nje ya nchi akili yako ipanuke, siyo kudanganywa na mambo ya misikitini
Sasa si bora hata sisi nyama na tende tunapata msaada,nyinyi vatican wauza dawa za kulevya wanawapa msaada gani maskini wale zaidi zaidi ya kuwshonea magauni na kuwapa misalaba mvae??Wameshindwa kuwasaidia wapalestina - waarabu wenzao wanaopigwa mabomu waje kukusaidia wewe muafrika!
Nyie mtasaidiwa kwa kupewa tende, nyama za bure na kujengewa misikiti
Vatican nao wana msaada gani zaidi ya kuwashonea magauni na kuwapa misalaba plus masanamu ya yesu na bikira maria?waarabu wana misaada gani zaidi ya tende na biliani
Bora hao kuliko vatican wanaowapa magauni,misalaba na sanamu za bikira maria na mwanae yesuHao waarabu labda tende mwezi wa Ramadhan na nyama sikukuu ya Eid al adha.
Ni mikono ya birika na hawana hiyo sera kama warusi tu heri hata ya wachina.
Tusubirie tu kupata Tende na Halua!!! Waarabu si watu wanashindwa kusaidiana wao kwa wao leo utarajie wakusaidie wewe Mmatumbi!!!Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Akili ya maskini hii, na unashangaa kwanini nchi yetu iko kama ilivyo.Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Nchi zao zinaishi katika umaskini wa kutisha except kwa royal family. Saudia Arabia kuna umaskini wa kutisha wakati Royal family wana pesa za kutosha kushinda nchi nyingi za kiafrika lakini ni wachoyo. Ndiyo Kuwaiti ilitoa pesa kupitia BADEA, ni misaada midogo midogo siyo katika level za EU au USA, au Canada.Nchi za kiarabu zimesaidia nini?
Kwani Vatican inayowapa jeuri TEC imesaidia nini Afrika na Tz?
Kuwait Fund ilileta pesa za ujenzi wa bara bara za kusini TEC ikaloby na vijana wao wakapeleka pesa kujenga Bugando Hospital.
Wakaleta tena Pesa zingine zikajenga daraja kule mtwara badala hata ya ku acknolwdge msaada wao wanasema ni daraja la mkapa.
Nenda kaangalie miradi mingi ya uchimbaji wa visima vya maji vijijini zi
inafadhiliwa na nani.
Shida yenu makafiri ni kutaka kujiona kuwa nyinyi mna nafasi wakati hamna lolote la maana.
Nchi za kiarabu kamwe hazijawai kusaidia mtu au taifa lolote kwa maslai ya huyo wanaye msaidi bali ufanya hivyo kwa maslai yao ...pia mtu yoyote au taifa lolote litakalo saidia ccm na serikali yake haramu ya huyu kahaba mjalaana, moja kwa moja itakuwa adui wa wananchi....kwa sasa samia atapigwa vita kamili na wananchi na mwisho wake lazima uwe mbaya.Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Huna akili mjinga kama viongozi wako wa CCM,kungekuwepo na utawala bora sisi ndiyo tungewapa wazungu na waarabu misaada maana tunakila kitu,unajua pipa moja la mafuta shilingi ngapi? Na gramu moja ya dhahabu shilingi ngapi,au kwa ujinga wako dhahabu hupandishwa kwenye ndege mafuta kwenye meli kipi kina thamani?Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Mnataka kutuletea misaada ya tende halua halua na nyama kibudu ya ngamia siyo!Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu.
Mashuk ya kuzikia😅😅 itaje hiyo misaada waliyowahi kuitoa kabla.
Utacheka.
Acha wajidanganyeChai bariiidi
Mbona hawajaweza kusaidia Gaza, Yemen, Somalia, Afghanistan, Iraq, Syria, Sudan, nk?
Hata kama sio Warabu ni Waisramu wenzaoWanasema Wairan sio Waarabu
Akikujibu ni tag mkuu, nature ndivyo ilivyo kila jamii ina utamaduni wake na ustaarabu wake....Chai bariiidi
Mbona hawajaweza kusaidia Gaza, Yemen, Somalia, Afghanistan, Iraq, Syria, Sudan, nk?