Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 22,714 Reaction score 34,545 Nov 28, 2025 #81 Madingi ya Mbinguni said: Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu. Click to expand... Missada ya Tende, kanzu, hijabu na bargashia.
Madingi ya Mbinguni said: Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu. Click to expand... Missada ya Tende, kanzu, hijabu na bargashia.
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,042 Reaction score 13,383 Nov 28, 2025 #82 Kwa msichokijuwa waarabu hawatoagi msaada kabisa wanapesa hila rasilimal zao zipo limited mafuta yakiisha hawana pakutokea
Kwa msichokijuwa waarabu hawatoagi msaada kabisa wanapesa hila rasilimal zao zipo limited mafuta yakiisha hawana pakutokea
Teslarati JF-Expert Member Joined Nov 21, 2019 Posts 3,394 Reaction score 13,476 Nov 28, 2025 #83 Madingi ya Mbinguni said: Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu. Click to expand... Misaada yao inakuja na kifiro juu. Je ndugu mheshimiwa mtoa mada upo tayari kufirwa?
Madingi ya Mbinguni said: Mi naamini EU wasipotupa misaada Arab League na OIC watatusaidia kwahiyo tusihofu. Kwanza waarabu ni matajiri kuliko wazungu. Click to expand... Misaada yao inakuja na kifiro juu. Je ndugu mheshimiwa mtoa mada upo tayari kufirwa?
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,866 Reaction score 12,613 Nov 28, 2025 #84 hiyo misaada ikikata watakaoumia ni sisi wananchi na sio viongozi wa CCM. acheni kushabikia mambo ya kipuuzi
hiyo misaada ikikata watakaoumia ni sisi wananchi na sio viongozi wa CCM. acheni kushabikia mambo ya kipuuzi
albarza JF-Expert Member Joined Jan 7, 2024 Posts 223 Reaction score 190 Nov 29, 2025 #85 Nanye Go said: Watajenga misikiti kila mtaa muwe mna swali 24/7, wataela tende na harua, nyama za ngamia na kanzu, mizura, na majuzuu ya kumwaga. Na watawapeleka Oman na saudia mkawe wafanyakazi wa majumbani. Click to expand... Tende,,halua nyama ngamia na kanzu tunauza sio bure, ukitata agiza sio bure usisahau tunapokea dolar, Wafanyakazi sio lazima kuja wakija watalipwa nawatalindwa na kanuni zinazowalinda wafanyakazi wengine wa nchi za nje
Nanye Go said: Watajenga misikiti kila mtaa muwe mna swali 24/7, wataela tende na harua, nyama za ngamia na kanzu, mizura, na majuzuu ya kumwaga. Na watawapeleka Oman na saudia mkawe wafanyakazi wa majumbani. Click to expand... Tende,,halua nyama ngamia na kanzu tunauza sio bure, ukitata agiza sio bure usisahau tunapokea dolar, Wafanyakazi sio lazima kuja wakija watalipwa nawatalindwa na kanuni zinazowalinda wafanyakazi wengine wa nchi za nje
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 30, 2025 #86 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw