Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye kusema Yesu ni Mungu wapo sahihi au hawapo sahihi?Mimisijizungushi Bali wewe ndio huelewi. Yesu mwenyewe alisemaje kwani?
Yesu anasema nakwenda kwa baba yangu nanyi Ni baba yenu, kwa Mungu wangu nanyi Ni Mungu wenu. Sasa najizungusha Nini?
Mahali pengine anasema baba Ni mkuu kuliko mimi. Au wewe Ni ubishi unakusumbua?
Silaha zinatengenezwa na kuuzwa na ni biashara nzuri kweli ila wanaotumia hizo silaha ndio huonekana wabaya.Hi picha ilizua utata Sana.
View attachment 3180171
Yesu mwenyewe alikuwa akikataa kuitwa Mungu lkn now unapomwita Mungu ndivyo inavyopasa kwa sababu anayeabudiwa ndio Mungu ukumbuke Mungu baba kwenye mwanzo 6: ..... Mungu alighairi kabisa kuwa amemuumba mwanadamu kutokana na kukithiri kwa maovu, hivyo Basi yesu alichukua jukumu lakutomkatia tamaa na hatimae kumkomboa.Wenye kusema Yesu ni Mungu wapo sahihi au hawapo sahihi?
Wenye kusema Yesu ni Mungu wapo sahihi au hawapo sahihi?
Yesu mwenyewe alikuwa akikataa kuitwa Mungu lkn now unapomwita Mungu ndivyo inavyopasa kwa sababu anayeabudiwa ndio Mungu ukumbuke Mungu baba kwenye mwanzo 6: ..... Mungu alighairi kabisa kuwa amemuumba mwanadamu kutokana na kukithiri kwa maovu, hivyo Basi yesu alichukua jukumu lakutomkatia tamaa na hatimae kumkomboa.
Ndipo Mungu alipomkabidhi yesu wanadamu kwa maana yakumpa jina lake ili Sasa kupitia jina la yesu, Mungu aabudiwe.
Shida inakuja moja, wanadamu wanafanya juhudi kumtenganisha yesu na Mungu Jambo ambalo haliwezekani, wanadamu kwahili watachemka. Yesu na Mungu kuwatenganisha haiwezekani. We fikiria hali ya Mungu kukubali yesu aabudiwe na akishakuabudiwa Basi Mungu anaridhika kwamba ameabudiwa yeye. Ndo sababu yesu alisema Mimi na baba tu umoja.
Hiyohiyo sentensi yangu uliyokopy nimeanzaje?Yesu mwenyewe anasemaje?:
Yohana 17:3 imeandikwa hivi – …uzima wa milele ndiyo huu wakujue Mungu wa pekee na Yesu uliyemtuma.
Katika Aya hii Yesu anasema kwamba ili kupata uzima lazima tumjue kwanza Mungu wa pekee na umjue Yesu Kristo aliyetumwa na Mungu, hapa Yesu hasemi lolote kuhusu yeye kuwa nafasi ya pili ya Mungu ila anakiri wazi yeye ametumwa na Mungu mmoja wa pekee.
Luka 2:40 imeandikwa hivi: - ...Yule mtoto akakua akaongezeka nguvu amejaa hekima na neema ya Mungu ilikua juu yake.
Katika Aya hii tunaambiwa kwamba Yesu alijaa hekima na neema ya Mungu. Tahadhari ufikirie vizuri kwa makini sababu hapa inayonyesha kwamba bila ya Mungu kumpa neema Yesu asingelikuwa na hekima hii inaonyesha wazi Yesu ni kiumbe aliyeteuliwa na Mungu na hii ni kawaida yake Mwenyezi Mungu kwa Mitume na Manabii wake kuwapa neema na hekima.
Yohana 13:13 imeandikwa hivi: - Nanyi mwaniita Mwalimu na Bwana nanyi mwasema vema maana ndivyo nilivyo.
Maneno hayo yatueleza wazi kwamba alikuwa anajua wazi kwamba yeye ni Mwalimu na Bwana ndiyo maana anawasifu wanafunzi wake, NANYI MWASEMA VEMA.
Mathayo 23:9 imeandikwa: - Wala msimwite mtu Baba maana Baba yenu ni mmoja wa Mbinguni wala msiitwe Kiongozi maana Kiongozi wenu ni mmoja naye ndiye Yesu Kristo.
Hapa Yesu anaendelea kutuonyesha jinsi alivyo tofauti na Mungu, na yeye hayuko sawa na Mungu daima Mungu ni Baba lakini Yesu ni Kiongozi tu.
Ufunuo: 1:1-2 imeandikwa hivi: - Ufunuo wa Yesu Kristo aliopewa na Mungu awaonyeshe watu wake…Naye akatuma Malaika akamuonyeshe Mtumwa wake Yohana…
Wakati ufunuo unatolewa na Mungu na kupewa Yesu wakati huo Yesu ameshatoka Duniani yuko Mbinguni, lakini bado inaonyesha Mungu ndiye mkubwa Yesu bado ni wakutumwa ili awaonyeshe watumwa kuhusu mambo yao yatakayokuja kama tulivyosoma.
.
Hiyohiyo sentensi yangu uliyokopy nimeanzaje?
Ndivyo ilivyo kitu ambacho hamfahamu Ni kuwa baada ya mwanadamu kufa akiwa mwenye haki anakuwa kiumbe chenye asili ya kimungu tofauti na wakati huu ambapo tunamwili wenye asili ya dunia.
Kuna kitu tunaita kubatizwa ambayo Ni ishara yakuuzia mwili wa dhambi na kuvaa mwili wenye asili yakimungu kabisa.
Wakati wa maisha ya yesu, endapo angekuwa na uungu sidhani Kama angetukomboa maana hata shetani angelalamika amedhulumiwa. Yesu alikuwa binadamu asilimia mia na Mungu ndiye aliyekuwa akitenda kazi ndani yake.
Na hata baada ya kufufuka ndipo alipewa mamlaka juu ya wote wenye mwili lkn ktk kiti Cha enzi bado Mungu baba ataendelea kutawala na yesu atakuwepo kuwangoza wanadamu kwakila Jambo. Ndo sababu tunamwita mwana wa Mungu.
Wanampakazia tu yesu kwani hakuna mahali alijiita yeye kuwa ni MunguWenye kusema Yesu ni Mungu wapo sahihi au hawapo sahihi?
Ktika ukoo wenu hakuna ndg waislamu mkuu?Waarabu sio ndugu zako mkuu. Au wewe umeona mmatumbi huko mbagala analipua watu? Hao ndio ndogo zako sasa. Sasa wewe sijui unaongelea ndugu gani hao.
Yesu mwenyewe alikuwa akikataa kuitwa Mungu lkn now unapomwita Mungu ndivyo inavyopasa kwa sababu anayeabudiwa ndio Mungu ukumbuke Mungu baba kwenye mwanzo 6: ..... Mungu alighairi kabisa kuwa amemuumba mwanadamu kutokana na kukithiri kwa maovu, hivyo Basi yesu alichukua jukumu lakutomkatia tamaa na hatimae kumkomboa.
Ndipo Mungu alipomkabidhi yesu wanadamu kwa maana yakumpa jina lake ili Sasa kupitia jina la yesu, Mungu aabudiwe.
Shida inakuja moja, wanadamu wanafanya juhudi kumtenganisha yesu na Mungu Jambo ambalo haliwezekani, wanadamu kwahili watachemka. Yesu na Mungu kuwatenganisha haiwezekani. We fikiria hali ya Mungu kukubali yesu aabudiwe na akishakuabudiwa Basi Mungu anaridhika kwamba ameabudiwa yeye. Ndo sababu yesu alisema Mimi na baba tu umoja.
Acha mbwembwe wewe!Jee, yaelekea kuwa Yesu ndiye Mungu?
Yaelekea kuwa yeye na Mungu kuwa ni sawa?
Kama upo wasiwasi wo wote wa kujibu hayo, mwenyewe Yesu anajibu kama anavyotuambia Yohana kuwa kasema:
Baba ni mkuu kuliko mimi.
Yohana 14.28
Na mwishoni naye yupo mslabani:
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, Mbona umeniacha?
Mathayo 27.46
Yafaa hapa tujiulize:
Yesu akimlilia Mungu gani hapo msalabani ikiwa naye mwenyewe ni Mungu?
Au nini alikusudia aliposema: "Mungu wangu naye ni Mungu wenu"?
Maneno hayo kama yanaonyesha cho chote basi yanaonyesha unyenyekevu wa Yesu mbele ya Mungu wake.
La kustaajabisha ni kule kukata tamaa kwake na kuvunjika moyo.
Huwaje mtu wa imani, licha ya nabii na mwana pekee wa Mungu, akate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu.
Ama kuwa Mungu akate tamaa na Mungu, na kumyayatikia: "Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha", ni jambo ambalo halimkiniki kuwa.
Kwa uthibitisho ulio wazi Biblia inatwambia kuwa Yesu si Mungu, wala Mungu si Yesu.
Acha mbwembwe wewe!
Yoh: 17:5 baba unitukuze kwa utukufu ule niliokuwa nao kabla ya ulimwengu kuwako.
Ni utukufu gani huo anaouzungumzia yesu?
Math.12:8 Mimi ndiye bwana wa sabato. Kwanini awe bwana wa sabato Kama alikuwa binadamu Kama wewe?
Yoh.5:19 ayatendayo baba na mwana anatenda vilevile. Bado utaendelea kusema yesu Ni mtu Kama wewe?
Wewe Ni mbishi sio mwelewa ninachokujibu ndicho unachouliza Tena. Inamaana husomi kutafakari Bali ubishi umo kichwani. Mbona mwenzio tunaelewana?Hayo maelezo yako hapo juu umeyatoa kitabu kipi , Tafadhali tuwekee mistari ya biblia uliyoitoa
Wanafunzi wa kwanza walimuelewaje Yesu?
Matendo ya Mitume 3:13 imeandikwa hivi…
Mungu wa Ibrahimu na wa Isaka na wa Yakobo, Mungu wa Baba zetu amemtukuza Mtumishi wake Yesu ambaye nyinyi mlimsaliti na kumkana mbele ya Pilato, alipokuwa ametoa hukumu yake ili afunguliwe.
Maneno ya wanafunzi yalikuwa wazi kuwa Yesu ni Mtumishi wa Mungu tu yaani Mtume pia ni Nabii.
Matendo ya Mitume 4:27 imeandikwa hivi…
maana ni kweli Herode na Pontio Pilato pamoja na Mataifa na watu wa Israel walikusanyika katika mji huu juu ya Mtumishi wako Mtakatifu Yesu uliyemtia mafuta.
Wanafunzi wanaendelea na msimamo wao kwamba Yesu ni Mtumishi wa Mungu aliyetumwa (Mtume) tu.
Luka 24:19 imeandikwa: -
…Akawauliza mambo gani? Wakamwambia mambo ya Yesu Wanazareti aliyekuwa mtu nabii mwenye uwezo wa kutenda na kusema mbele za Mungu na Wanadamu.
Marko 6:2 imeandikwa: -
Na ilipokuwa Sabato aliingia katika Sinagogi, wengi waliposikia walishangaa wakasema huyu ameyapata wapi haya! Hekima gani hii? Aliyopewa huyu? Nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake? Huyu si ni yule Selemala mwana wa Mariamu na nduguyao Yakobo na Yosef na Yuda na Simoni na Maumbu wake hawapo hapa? (Maana ya Maumbu ni Madada)
Maneno haya yanathibitisha kwamba watu waliomfahamu Yesu walishangaa matendo makubwa anayoyatenda hata hivyo walijua kwamba yeye ni Selemala wa Mwana wa Mariamu tu.
Na ni kiumbe mwenye ndugu zake na dada zake, kama watu wengine.
Marko 13:31 tunasoma hivi –
Mbingu na Nchi zitapita lakini maneno yangu hayatapita kamwe. Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna anaye ijua hata malaika wala Mwana (Yesu) ila Baba tu Mungu…
hapa Yesu alikua anazungumza habari ya siku ya mwisho alikiri wazi kwamba yeye siku haijui hata Malaika hawajui ila Mungu peke yake.
Acha mbwembwe wewe!
Yoh: 17:5 baba unitukuze kwa utukufu ule niliokuwa nao kabla ya ulimwengu kuwako.
Ni utukufu gani huo anaouzungumzia yesu?
Math.12:8 Mimi ndiye bwana wa sabato. Kwanini awe bwana wa sabato Kama alikuwa binadamu Kama wewe?
Yoh.5:19 ayatendayo baba na mwana anatenda vilevile. Bado utaendelea kusema yesu Ni mtu Kama wewe?
Lipumbavu huna akili, huyo amepewa utukufu duniani hapa lkn yesu inasema utukufu kabla ya ulimwengu kuwako. Mshenzi sitaki Tena kujibu txt zangu. Huna akili uko kibishibishiKwa vyovyote vile Yohana 17:5, inayozungumza kuhusu Mungu kumpa Yesu utukufu ambao Yesu alikuwa nao kabla ya ulimwengu kuanza haithibitishi kitu.
Awali ya yote Mungu amewapa watu utukufu kabla...
Zaburi 3:3
Lakini wewe ni ngao yangu pande zote, Ee BWANA; wanipa utukufu na kumwinua [Au BWANA,/Mtukufu wangu, anayeinua] kichwa changu.
Zaburi 8:5
Umemfanya mdogo punde kuliko viumbe vya mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima.
Wewe Ni mbishi sio mwelewa ninachokujibu ndicho unachouliza Tena. Inamaana husomi kutafakari Bali ubishi umo kichwani. Mbona mwenzio tunaelewana?
Lipumbavu huna akili, huyo amepewa utukufu duniani hapa lkn yesu inasema utukufu kabla ya ulimwengu kuwako. Mshenzi sitaki Tena kujibu txt zangu. Huna akili uko kibishibishi
Lipumbavu huna akili, huyo amepewa utukufu duniani hapa lkn yesu inasema utukufu kabla ya ulimwengu kuwako. Mshenzi sitaki Tena kujibu txt zangu. Huna akili uko kibishibishi