myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawa..Ukahaba mbona ni huduma safi? Mwanaume kwa mwanamke hiyo asili ya uumbaji wajamiane kama viumbe hai. Uasherati ni ufanyaji wa tendo la ndoa bila ndoa katika jamii iliyoweka maadili ya ndoa ni lazima ujamiane ndani ya ndoa tu. Nje na hapo ni dhambi kwa mujibu wa imani ya dini husika.
Hapana usiniangalie mimi, umesema mashoga wanataka haki ya kupigwa mbupu kitu ambacho si kweli, ungejua kwanza wanahitaji nini
toka kahaba mkubwa we, pepo tookaaaaaUkifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?
Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.
Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.
Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??
Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.
N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
Nchi zinazopinga ushoga zinapinga hata uasherati mwanangu. Ni ulaya na Amerika yalipohalalishwa mabalaa haya mnayoshabikia kwa ukumbaff na ulimbukeni wenu. Senzi kabisaUkifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?
Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.
Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.
Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??
Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.
N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
1. Haki za Binaadam(kwani wanabaguliwa, wananyanyapaliwa, wananyanyaswa kihisia)Kwa hiyo huwa wanahitaji nini labda?
1.
4. Haki ya Kua na Watoto(kwani wanakatazwa wasi adopt watoto)
Nchi ni watu,ushoga ukiendekezwa kizazi cha binadamu kinakuwa hatarini kutoweka. Serikali inaishi kwa uwepo wa watu.Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?
Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa nje ya ndoa ni kosa la jinai. Kwa kufanya hivyo, nchi hii imeharamisha ukahaba. Hivyo Indonesia ikiukataa ushoga inaniingia akilini.
Mfano hapa kwetu Tanzania masingo mama yamejaa kibao. Na kwa kutambua uwepo wao na hatua dhidi yao hazichukuliwi maana yake ni kwamba ukahaba na ufuska vimehalalishwa ktk nchi yetu.
Hawa masingo mama pamoja na wapenzi wao walipaswa wakamatwe na wafungwe ili kuukomesha ukahaba. Sasa kwann tunaona ukahaba na ufsika ni sawa tu kuwepo na kuenea lkn ushoga inakuwa nongwa??
Naona kama kuna undumila kuwili ktk jambo hili, kwasbb zote ni dhambi.
N.B. Naunga mkono kauli ya papa kuwa ushoga siyo kosa wala uhalifu, bali ni dhambi kama dhambi nyingine .
Siupendi ushoga,
Naupinga sana ushoga,
Ni kinyaa Sana me kumtindua me mwenzie
wasagaji wanavutia Sana kuwatizama wanaposagana[emoji4]
Huna akili, wewe endelea na huyo Mama J wako asiye na akili kama zako, haya mengine wewe hayakuhusu.Mnataka mkaadopt watoto wa Watu waliozaliwa kwa uchungu ili mkawapasue spika na kuwavisha pambasi maisha yao yote.
Pathetic [emoji3525]
Unataka kusema wewe unauchukia uanaume wako sababu unakula kwa jasho?Asee ushoga ukiruhusiwa, watu hawatazaliana Tena na hakutakuwa tena na kiumbe kinachoitwa mwanaume.
Yani Kila mtu atang'ang'ana aolewe ili Aishi maisha ya mserereko,
Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake?