Nchimbi: Hakuna Siku mawazo ya Watanzania yatafanana. Hili ni taifa la watu wanaofikiri, si Taifa la Mawe

Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa

Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano, hivyo anawaomba Watanzania wote watafakari na kujielekeza katika kujenga mshikamano wa ncho yetu.

Na mimi naungana na Rais katika kuwaomba kwamba namna Pekee ya kuwaenzi Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume ni katika kuulinda muungano, mahusiano yetu na mshikamano wetu kwa sababu katika kazi yote iliyofanyika katika miaka 62 ya muungano wetu, tutadanganyana kuwa kuna siku mawazo yetu watanzania wote yatafanana, hakuna siku kufikiri kwetu kutafanana lakini tunaweza kukubaliana kutofautiana kwenye mambo mengine halafu tukaenda mbele.

Tunaweza tukakubalaina kwenye maeneo tusiyokubaliaanan tuweze kuvumiliana, kwa sababauu hli ni taifa la watu wanaofikiri Si Taifa la Mawe, mawe ukiyaweka hayafikiri, hayaoni, lakini binadamu wanafikiri na wanaona na kila mtu Mungu amempa kipaji chake cha kufikiri na kuona kwa hiyo ni muhimu tujenge utaratibu wa kuheshimu mawazo ya watu wengine, kuyapa nafasi mawazo ya watu wengine:- Makamu wa Rais, Nchimbi

Pia soma:Hatua saba za muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Huyu Mchimbi asipoziba mdomo maCCM yatamuua.

Cc: ChoiceVariable, MamaSamia2025, Tlaatlaah, Magonjwa Mtambuka , Ritz, Lucas Mwashambwa , and other Lumumba lice.
 
1777275116961.png

Manene na Vitendo vya wana CCM
 
Nchimbi kwa hizi kauli zake zinamfanya azidi kuchukiwa kimya kimya huko CCM.

Kama wenzake wangekuwa wanaamini hivyo mawazo yetu hayawezi kufanana, basi utekaji na mauaji yasingekuwepo.

Tatizo wenzake wanaamini tofauti ndio maana utekaji na mauaji hayaishi kwa wale wanaoikosoa serikali.
 
Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa

Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano, hivyo anawaomba Watanzania wote watafakari na kujielekeza katika kujenga mshikamano wa ncho yetu.

Na mimi naungana na Rais katika kuwaomba kwamba namna Pekee ya kuwaenzi Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume ni katika kuulinda muungano, mahusiano yetu na mshikamano wetu kwa sababu katika kazi yote iliyofanyika katika miaka 62 ya muungano wetu, tutadanganyana kuwa kuna siku mawazo yetu watanzania wote yatafanana, hakuna siku kufikiri kwetu kutafanana lakini tunaweza kukubaliana kutofautiana kwenye mambo mengine halafu tukaenda mbele.

Tunaweza tukakubalaina kwenye maeneo tusiyokubaliaanan tuweze kuvumiliana, kwa sababauu hli ni taifa la watu wanaofikiri Si Taifa la Mawe, mawe ukiyaweka hayafikiri, hayaoni, lakini binadamu wanafikiri na wanaona na kila mtu Mungu amempa kipaji chake cha kufikiri na kuona kwa hiyo ni muhimu tujenge utaratibu wa kuheshimu mawazo ya watu wengine, kuyapa nafasi mawazo ya watu wengine:- Makamu wa Rais, Nchimbi

Pia soma:Hatua saba za muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Yeye Mheshimiwa asema hivyo na mimi naunga mkono hoja ya kukubali katika kutokukubaliana ✅
Lakini na huko Chamani kwetu wanakubaliana na hii hoja siku zote ??!
Isije tena tukaanza kudhalilishwa kwa sababu tu ya kuwa na mawazo tofauti !😳
 
Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa

Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano, hivyo anawaomba Watanzania wote watafakari na kujielekeza katika kujenga mshikamano wa ncho yetu.

Na mimi naungana na Rais katika kuwaomba kwamba namna Pekee ya kuwaenzi Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume ni katika kuulinda muungano, mahusiano yetu na mshikamano wetu kwa sababu katika kazi yote iliyofanyika katika miaka 62 ya muungano wetu, tutadanganyana kuwa kuna siku mawazo yetu watanzania wote yatafanana, hakuna siku kufikiri kwetu kutafanana lakini tunaweza kukubaliana kutofautiana kwenye mambo mengine halafu tukaenda mbele.

Tunaweza tukakubalaina kwenye maeneo tusiyokubaliaanan tuweze kuvumiliana, kwa sababauu hli ni taifa la watu wanaofikiri Si Taifa la Mawe, mawe ukiyaweka hayafikiri, hayaoni, lakini binadamu wanafikiri na wanaona na kila mtu Mungu amempa kipaji chake cha kufikiri na kuona kwa hiyo ni muhimu tujenge utaratibu wa kuheshimu mawazo ya watu wengine, kuyapa nafasi mawazo ya watu wengine:- Makamu wa Rais, Nchimbi

Pia soma:Hatua saba za muungano wa Tanganyika na Zanzibar
65ab5fe0-3884-46b0-bbb0-a9d16385aff2.jpeg
 
Kungata na kupuliza style ya chama tawala, tujiulize kwanini asikae pembeni kama alidhiki tujue moja tu
Kwani Magufuli alikaa pembeni? Maana alikuwa anamitazamo tofauti na chama chake
 
Kwa nini wamepora uchaguzi??
Wapinzani wawe makini sana na huyo Nchimbi, huyu anataka kutumika kama nyenzo ya kuwapumbaza wapinzani ili ionekane huko ccm kuna watu. Hawa ndio wale tunawoana kama wako tofauti, kisha wakipata madaraka wanafanya yale yale kwa kisingizio cha kuwa mfumo ndio unawakwamisha.
 
Magufuli alifanya kama kikwete?
 
Back
Top Bottom