Hapa umenijibu kishabiki badala ya uwelediNdio
Hapa umenijibu kishabiki badala ya uwelediNdio
Hapa umenijibu kishabiki badala ya uwelediNdio.
Jiwe kaua mfumo wa uchaguzi na uwajibikaji wa viongozi katika nchi.Hapa umenijibu kishabiki badala ya uweledi
Isijekuwa yupo kazini naeYupo sahihi tatizo lipo kwa samuya na genge lake
Kiongozi mbona ulipotea sana jukwaani?Tujiandae kwa Maandamano
Gentleman,Huyu Mchimbi asipoziba mdomo maCCM yatamuua.
Cc: ChoiceVariable, MamaSamia2025, Tlaatlaah, Magonjwa Mtambuka , Ritz, Lucas Mwashambwa , and other Lumumba lice.
Nimekuuliza kuwa uongozi wa Magufuli na Kikwete unafanana? Ujajibu swaliJiwe kaua mfumo wa uchaguzi na uwajibikaji wa viongozi katika nchi.
Unafanana kwenye baadhi ya mambo na unatofautiana kwenye baadhi ya mambo ila kufanana ni kwingi zaidi kuliko kutofautiana.Nimekuuliza kuwa uongozi wa Magufuli na Kikwete unafanana? Ujajibu swali
Yes,Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa
Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano, hivyo anawaomba Watanzania wote watafakari na kujielekeza katika kujenga mshikamano wa ncho yetu.
Na mimi naungana na Rais katika kuwaomba kwamba namna Pekee ya kuwaenzi Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume ni katika kuulinda muungano, mahusiano yetu na mshikamano wetu kwa sababu katika kazi yote iliyofanyika katika miaka 62 ya muungano wetu, tutadanganyana kuwa kuna siku mawazo yetu watanzania wote yatafanana, hakuna siku kufikiri kwetu kutafanana lakini tunaweza kukubaliana kutofautiana kwenye mambo mengine halafu tukaenda mbele.
Tunaweza tukakubalaina kwenye maeneo tusiyokubaliaanan tuweze kuvumiliana, kwa sababauu hli ni taifa la watu wanaofikiri Si Taifa la Mawe, mawe ukiyaweka hayafikiri, hayaoni, lakini binadamu wanafikiri na wanaona na kila mtu Mungu amempa kipaji chake cha kufikiri na kuona kwa hiyo ni muhimu tujenge utaratibu wa kuheshimu mawazo ya watu wengine, kuyapa nafasi mawazo ya watu wengine:- Makamu wa Rais, Nchimbi
Pia soma:Hatua saba za muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Huko kufanana ndio kupi taja Mambo wanayofananaUnafanana kwenye baadhi ya mambo na unatofautiana kwenye baadhi ya mambo ila kufanana ni kwingi zaidi kuliko kutofautiana.
Tunajadili kauli ya Nchimbi ambaye makamu rais , kama una mada mpya anzisha halafu ni tag tuje kujadili ila kwa hapa tulipo tu focus na drama za makamu wa raisKwani Magufuli alikaa pembeni? Maana alikuwa anamitazamo tofauti na chama chake
SAUTI YA KIONGOZI HII SAFIKwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa
Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano, hivyo anawaomba Watanzania wote watafakari na kujielekeza katika kujenga mshikamano wa ncho yetu.
Na mimi naungana na Rais katika kuwaomba kwamba namna Pekee ya kuwaenzi Mwalimu Nyerere na Abeid Amani Karume ni katika kuulinda muungano, mahusiano yetu na mshikamano wetu kwa sababu katika kazi yote iliyofanyika katika miaka 62 ya muungano wetu, tutadanganyana kuwa kuna siku mawazo yetu watanzania wote yatafanana, hakuna siku kufikiri kwetu kutafanana lakini tunaweza kukubaliana kutofautiana kwenye mambo mengine halafu tukaenda mbele.
Tunaweza tukakubalaina kwenye maeneo tusiyokubaliaanan tuweze kuvumiliana, kwa sababauu hli ni taifa la watu wanaofikiri Si Taifa la Mawe, mawe ukiyaweka hayafikiri, hayaoni, lakini binadamu wanafikiri na wanaona na kila mtu Mungu amempa kipaji chake cha kufikiri na kuona kwa hiyo ni muhimu tujenge utaratibu wa kuheshimu mawazo ya watu wengine, kuyapa nafasi mawazo ya watu wengine:- Makamu wa Rais, Nchimbi
Pia soma:Hatua saba za muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Its true!.Tatizo ni mapokeo, anayesaidiwa anaweza akafikiri kinyume chake.
Wewe ujaelewa Kuna wadau wamesema hivi ili Nchimbi aoneshe anatofautia a nao ahame chama ndio nimewauliza kwani Magufuli aliama chama japo alitofautiana nao kwenye Mambo mengiTunajadili kauli ya Nchimbi ambaye makamu rais , kama una mada mpya anzisha halafu ni tag tuje kujadili ila kwa hapa tulipo tu focus na drama za makamu wa rais
Huo ni mpango wa kimfumo wenye lengo la kuonyesha kwamba ndani ya CCM kuna demokrasia halisi.Samia anapigwa za uso Sana na huyu mwamba
Huyu ni nchimbi ni undercover agent Toka kitambo pia ana watu wake ndani ya TISS..mbinu zote anazijua ndiyo maana anaongea maneno magumu ili kujilindaNafikiri magnifico alimaanisha kumjenista.
Anamng'ata na kumpuliza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Samia anapigwa za uso Sana na huyu mwamba