Nchimbi: Mtu au kikundi kinachofanya utekaji kinaharibu taswira ya CCM

Zingatieni huyu ni timu MZOGA na Mzoga ndio kamuweka hapo ile nchi iendelee kuharibika
 
CCM wameji-distance na utekaji, wao wamesema kama dola wanalaani utekaji na watachukua hatua ikibainika, GWAJI BOY ali-acuse serikali yake kuhusu utekaji, hao wawili misimamo yao haifanani kabisa
 
Hapo anaisafisha CCM

Kwamba Kuna watu/kundi la watu wanateka (ila sio CCM) kwa ajili ya kuichafua CCM.

Hapo amepita mbali na Gwajima.

Sasa unapokuwa na serikali. Una jesh halafu kuna kundi linateka watu na kuua anaulimiwa nani? Si ni Rais aliyepo madarakani kuwa ni dhaifu? Au hapo unadhani watalaumiwa Chadema?
 
CCM wameji-distance na utekaji, wao wamesema kama dola wanalaani utekaji na watachukua hatua ikibainika, GWAJI BOY ali-acuse serikali yake kuhusu utekaji, hao wawili misimamo yao haifanani kabisa

Serikali iliyopo madarakani ni ya chama gani? Huwezi ji distance na utekaji ukasema kakikundi na huku una jeshi na policm
 
Hapo anaisafisha CCM

Kwamba Kuna watu/kundi la watu wanateka (ila sio CCM) kwa ajili ya kuichafua CCM.

Hapo amepita mbali na Gwajima.
Ambacho ni uongo. Cha Nchimbi ni cha uongo.

Yani mpinzani ataipakaje matope CCM kwa kumuua mpinzani mwenzie ?

Mpinzani gani ataona apoteza sauti muhimu ya mwanaharaki kama Mdude au Soka - kijana mdogo sana aliyeongoza mapambano ya kupinga mauzo ya bandari - eti uwaue wale ili kuishusha CCM ?

NCHIMBI na yeye kumbe sio mwanasiasa mzito. Ni mwoga mwoga. Au hana upeo na yeye wa kufikiri vizuri.
 
Sio ya leo, na wala alichoongea hakumaanisha bali alikuwa anapoza hasira za umma. Utekaji unaendelea na hakuna hatua yoyote ya maana inachukuliwa. Inshort huyo ni tapeli kama matapeli wengine.
 
Naona kama wanajisafisha tu, ikiwa unataka kusafisha chama na ndiyo kilichoshika dola. Hapohapo unaanza kulalamika, kuna kikundi kinateka watu kuchafua chama!!! Hapo wanajitekenya na kucheka wenyewe. Hakuna mtu asiyejua nani anafanya hayo yote. Walichokosa ni aibu tu hapo.
 
Anaposema mtu yeyote utafikri hajui kuwa wanaoteka na kuua wanaajira ya CCM angeenda moja kwa moja kwenye kitovu kwa kuanza kuwakamata wale waliosema kuwa tukiwapoteza polisi wasiwatafute hapo angeeleweka.
 
Aisee chadema wanahangaikaaaaa, wamepagawa Sasa wanajikuta wanaokoteza Kila kitu.....bahati mbaya tu ni kuwa Sasa wanaokoteza kijinga mnooo.
kwa kumbukumbu zangu polepole na gwajima ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…