Nchimbi: Mtu au kikundi kinachofanya utekaji kinaharibu taswira ya CCM

🙋✍️👏👍🤝🙏
 
Wewe unawaamini hawa.unadhani anadhamira ya kweli.Mbona walipokuwa wanauwawa wana CCM kibiti walichukua hatua ila kwakuwa sasa wanauwawa CDM ni drama drama tu..
 
No, not at all, listening carefully, Nchimbi is exculpating the government, while Gwajima is pointing a finger at the government being the culprit!

Nikija nyumbani kwako nikawa nasema kuna watoto wanachafua nyumba yako, wanajisaidia ndani n.k siwasemi wao. Nakusema wewe. Inahitaji tu kuelewa kuwa hili analosema Nchimbi ni mwendelezo wa kuonesha Serikali ni dhaifu. CCM hawawezi kuwa salama sababu serikali na rais ni wao. Hicho kikundi kama kimeshindikana serikali iachie madaraka.
 
Tuna watu wengi hawajui kuchambua taarifa nyepesi kabisa ila ndiyo hua wa kwanza kuposti na captions nene
 
Ww mtoa mada nadhani ndo hujamuelewa Nchimbi, jamaa anasafisha njia afu Ww unaona anakosea 😂 Kweli siasa ni mchezo wa akili, ukiwa na akili ndogo unabebwa kama mtoa mada alivyobebwa

Nikija nyumbani kwako nikawa nasema kuna watoto wanachafua nyumba yako, wanajisaidia ndani n.k siwasemi wao. Nakusema wewe. Inahitaji tu kuelewa kuwa hili analosema Nchimbi ni mwendelezo wa kuonesha Serikali ni dhaifu. CCM hawawezi kuwa salama sababu serikali na rais ni wao. Hicho kikundi kama kimeshindikana serikali iachie madaraka.
 
Hapo mwisho nimemuelewa.
Jambo la utekaji madhara yake kwa umma ni umma kukukataa.
 
Hii sio ya muda kidogo?
 
Hapo Nchimbi anampinga kwa mara nyingine Kikwete kama alivyo mpinga 2015 kwani anajua wazi kuwa JK ameshika chama hadi dola yeye ndio shadow boss sio huyo aliyepo.
 
..kabla ya uchaguzi serikali za mitaa Nchimbi alijitokeza na kutoa rai wapinzani watendewe haki. Kilichofuatia ni Mwenyekiti na mkwe wake kuharibu uchaguzi mzima.
 
Inahitaji tu kuelewa kuwa hili analosema Nchimbi ni mwendelezo wa kuonesha Serikali ni dhaifu
Fine, lakini yeye ni second to Samia with regard to political power commanding heights in Tanzania? Am I right?

Kwahiyo anajilaumu? au ni lijinga kiasi kwamba hajioni kuwa yeye ni part and parcel ya utekaji huo? Anamwambia Samia?
 
Hapa sasa umeongea lugha ninayoongea. Anaonesha kuwa Serikali ni dhaifu. Kwa hili haichafui ccm. Anaipaka samadi. Sababu kama kuna kakikundi kanafanya hivyo basi kana nguvu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…