Nchimbi: Mtu au kikundi kinachofanya utekaji kinaharibu taswira ya CCM

Hakuna mahali nimesema polepole anakosea kuongea hayo anayoongea, ishu yangu n hizi press za kila siku, mm nataka anyooke tuu kwenye press moja
 
Kasema ukweli kabisa kuwa Samia hafai na ametudisitiza watanzania tusimuchague samia.sijui Samia atajisikiaje leo
 
Samia bushiri anatumika na wahalifu kina rostam
 

CCM INAKEMEA MATENDO YA UTEKAJI,NDICHO NCHIMBI ANACHO MAANISHA,CHAMA CHA MAPINDUZI KIMEKUWA HAKILALI KUHAKIKISHA UTEKAJI UNAKOMESHWA NA MAKUNDI YA KIUNI,HATA RAIS WETU AMEWAHI KULIONGELEA HILI NA KUCHUKIZWA MNO NA SUALA HILI,MAFANIKIO YANAONEKANA WAZI WAZI KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 6 ILIYOPITA HAKUNA TUKIO LA AINA HII.
 
Hapa sasa umeongea lugha ninayoongea. Anaonesha kuwa Serikali ni dhaifu. Kwa hili haichafui ccm. Anaipaka samadi. Sababu kama kuna kakikundi kanafanya hivyo basi kana nguvu sana.
EXACTLY...NA KAMA KUNA KA KIKUNDI KANAWAZIDI NGUVU, BASI HAWAFAI KUONGOZA.......WAJIUZULU

Lakini hawa watu wanajua kuwa wanaofanya haya ni wao, makundi hayo ni yao, wameyaundia na sheria ya kuyalinda, wanajua wanajivua uwajibikaji. Ikitokea la kutokea kama Liberia 1980, watawajibishwa.....ni part and parcel of ongoing evils!
 
HAPA TZ
MANENOOOOOO

MEEEEEEENGIIIIIIII
HAMNAAAAAA HATA MTEKAJIIII

MMOJAAA ALIYEKAMATWAAAA

Watekaji wanawaangalia tu
Wanawachora pamoja na kuongea bado

Actions are stronger than words
 
Katumwa na mwenyekiti wa ccm awahadae watanzania ni mbinu za kupoza joto la siasa na pia kujaribu kumfunika polepole
 
Unapotoa taarifa yoyote Zingatia kanuni ya 5W


Who
What
Where
When
Why
Anza na hivi ili upate mtiririko mzuri:

Who
did
what
when.
where
and
How.
Halafu unganisha doti za ushahidi wa mtiririko huo...

Hilo la why, ni ngumu kulijua maana kisheria kuna ile kitu inaitwa actus reus na mens rea.. hayo ni ya kiuchinguzi zaidi.
 
S
Serikali iliyopo madarakani ni ya chama gani? Huwezi ji distance na utekaji ukasema kakikundi na huku una jeshi na policm
Serikali ni very powerful ni alfa na omega kwa duniani, haiwezi kujihusisha na cheap methods za kuteka watu ambao hawawezi leta damage yoyote kwa huo muhimili, hii imekuwa ni shortcut/cheap politicking dhidi ya serikali na chama tawala, hasa kwa wakati huu wa General elections
Utekaji nanao oujua mimi ni "fishing" ya opposition figures into ruling party, lkn hiyo ni regit tactics za vyama gya siasa.
Utekaji unafanyika, lakini ni watu bunafsi wenye agenda zao i.e "settling scores" ambao hauna baraka za mfumo, na upo hata kwa members wa vyama pinzani

View: https://youtu.be/WHnxlsWXiY0?si=_ZijA36Fz4vwNsu_
 
Kwani hajui kuwa Samia na genge lake ndio wahusika wakuu? Acheni unafiki nyie mbogamboga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…