Nchimbi: Mungu nipe moyo wa kusamehe

Nchimbi: Mungu nipe moyo wa kusamehe

Wa kuuwa hadharani huyu Mjinga
Huo umri wake wa kupewa mambo ya kuuwa atajua na hao waliompa madaraka hayo, apigwe mpaka Afe hadharani hata Pinda ameshasema Wapigwe TU, Piga huyu.
 
Watanzania walio wengi hawana maadili kwa vile somo la elimu ya maadili (Moral Ethics) halifundishwi katika vyuo vya Tanzania. Matokeo yake ndiyo sasa tunayaona: rushwa, ushirikina, mauaji, ubakaji, wizi uliokithiri wa mali ya umma, ukosefu wa uzalendo, utapeli na mengine mengi.
 
Watu uliowaua Arusha kwenye maandamano ya CHADEMA, na wale uliowapiga bomu NA kuwaua kwenye kampeni za CHADEMA Arusha damu zao zipo mikononi mwako.
 
Pumbaaa...vu! Na bado, kwanza ndo Sögea hawamtaki. TANGU achaguliwe hajawahi kuwahutubia hata ck moja! Bado Mwigulu na Kamuhanda
 
upendo wako ni mpaka utakapo koma kuwaita wazanzibar magaidi dhambi yk ni kubwa sana na ndo mana sasa umepigwa na chini., masharubu yk yamekatwa na kupunguzwa kwa asilimia kubwa., saivi bungeni utakuwa unakaa viti vya nyuma kabisa.,
 
Wamekufa watu wasiokuwa na hatia ulijiona mungu kwenye wizara yako tubu mbele za mungu amu za watu zomemwagika mungu yupo kazini mungu watu wameuwawa bila sababu mungu walipe unavyo jua wewe damu zawatu haitaenda bure daima
 
Siku zote siasa ni mchezo wenye rafu nyingi usipoangalia unapigwa kiatu. Namuomba Mungu ampe moyo wa kuomba msamaha na kusamehewa. Ajue kwamba kuna aliowaumiza ktk utawala wake either direct au indirect kwa sababu yeye ni kiongozi hivyo lawama zote tunamtwisha yeye. Mkuu kumbuka kuna uliowaumiza kupitia kauli mbali mbali ulizokua ukizitoa...........
 
damu za watu uliowauwa loasti Arusha, soweto,, mwagosi zinakulilia....
 
Ina maana kwa sasa kabla Mungu hajampa hivyo anavyoviomba ni kwamba hana huo upendo, wala hawezi kusamehe mtu.

Ndio maana ana uwezo wa kuamrisha hata Mtu auliwe kwa issue kama za katiba
 
Hahaa nchimbi bana nakumbuka ulivoninyang'anya demu wangu mwanza...yaani uwaziri ulikufanya ukawaweka wanawake wa4 vyumba tofauti pale lakairo unagegeda kika mmoja kwa muda wake bila wao kujuana?hahaa wewe jabali aisee
 
Mh! Badala ya kumuomba Mungu amsamehe yeye...
 
Hahaa nchimbi bana nakumbuka ulivoninyang'anya demu wangu mwanza...yaani uwaziri ulikufanya ukawaweka wanawake wa4 vyumba tofauti pale lakairo unagegeda kika mmoja kwa muda wake bila wao kujuana?hahaa wewe jabali aisee





Hii sifa ya uzinzi kwa ccm ni katabia
 
Dhambi ni za watu masikini. Matajiri wamenunua kila kitu kuanzia sifa, elimu, afya na hata sasa wanataka wanunue utu wema. Hawa Ni waumini wazuri wa uongo na kupotosha. Nchimbi atuambie aliyekuwa anamtuna, na kwa faida ya nani alijifanya muuaji.
 
Hahaa nchimbi bana nakumbuka ulivoninyang'anya demu wangu mwanza...yaani uwaziri ulikufanya ukawaweka wanawake wa4 vyumba tofauti pale lakairo unagegeda kika mmoja kwa muda wake bila wao kujuana?hahaa wewe jabali aisee




Teeeeeeh
 
Back
Top Bottom