Nchimbi: Mungu nipe moyo wa kusamehe

Nchimbi: Mungu nipe moyo wa kusamehe

Nchimbi Kaomba Moyo Wa Kusamehe, Kwa Maana Hiyo Atakuwa Ameonewa. Maajabu Haya Ishi Tanzania! Kwa Maana Hiyo Amepanga Maafa Ya Kutisha, Si Tunamjua! Sasa Amepanga Maafa Ambayo Mwenyewe Anasema Mungu Ampe Moyo Wa Kusamehe, Maanaake Akitekeleza Itakuwa Haijawahi Kutokea. Hata Mimi Naomba Mungu Aniepushe Na Nchimbi, Anipe Roho Ya Ulinzi, Jamaa Si Mtu Hasa Giza Likiingia!!!!!
 
Siku si nyingi utasikia Nchimbi kachanganyikiwa.

Amewakolimba Wengi Kama Mtoto Wa Muheshimiwa Mbunge, Akamkolimba Dada Etu Wa Madawa Ya Kulevya. Naleo Nasikia Hata Mwangosi Alimkolimba, Huyu Jamaa Lazima Achanganyikiwe
 
“Ninaukubali upendo wenu na kuniunga mkono…Kama Mungu ataniuliza leo kitu gani anipatie jibu langu litakuwa rahisi, nitamwambia Mungu wangu naomba moyo wa upendo kwa kila mmoja, moyo wa kumsamehe kila mmoja pasipo kujali nini nitarudishiwa, anipe moyo wa kuwatumikia watu kwa saa 24 kwa siku,” Haya ni maneno ya Nchimbi katika ukurasa wake wa facebook.

Nchimbi anaomba moyo wa upendo ambao hakuona umuhimi wa moyo huo katika operation tokomeza ujangili. Hakuona akina mama wasio na hatia wakibakwa, hakuona ng'ombe wasio na hatia wakipigwa risasi kama nao wapo vitani. Hakuona wazee wakikimbia nyumba zao na kulala vichakani kuogopa askari wa Nchimbi ambaye leo anaomba moyo wa huruma.

Hivi ninani anaepaswa kuomba moyo wa kusamehe kati ya Nchimbi au watanzania waliopigwa mijeledi na kupewa mateso ya Jahanamu katika operation hiyo?

Leo Nchimbi anaomba moyo wa kuwatumikia watu masaa 24, alipopewa Uwaziri aliwatumikia watanzania kwa masaa mangapi?

Unafiki huu watanzania tusiukubali asilani.
A%20S-confused1.gif


IT'S TOO LATE NCHIMBI, GO BACK SONGEA katumikie kauli ya Mzigo mwenzio ya KILIMO KWANZA.
 
Watanzania walio wengi hawana maadili kwa vile somo la elimu ya maadili (Moral Ethics) halifundishwi katika vyuo vya Tanzania. Matokeo yake ndiyo sasa tunayaona: rushwa, ushirikina, mauaji, ubakaji, wizi uliokithiri wa mali ya umma, ukosefu wa uzalendo, utapeli na mengine mengi.

Chuo cha utumishi wa umma wanafundisha Maadili
 
Hana jipya wizara aliyopewa kashindwa kuisimamia itakiwavyo na kinyume chake amekuwa akilihujumu na taifa na serikali ya JK sijui ninani kamtuma? Mungu hatomuacha kila mnafiki salama.
 
Hana jipya wizara aliyopewa kashindwa kuisimamia itakiwavyo na kinyume chake amekuwa akilihujumu na taifa na serikali ya JK sijui ninani kamtuma? Mungu hatomuacha kila mnafiki salama.

Na wewe Leo ni wa kusema haya!!, Team Membe utawajua tu kila Mtu wana wasiwasi nae Endelea na chuki zako ukimaliza urudi ukajenge chama
 
Poleni watz. wote mliokuwa mnabambikiziwa kesi na ligesi la polisi,wakati waiziri wenu Nchimbi alipokuwa amejitoa ufahamu kwa kuleweshwa na kilevi kinachoitwa madalaka.
 
Awaeleze watanzania nini alichofanya kuhusu biashara zoote haramu ambazo alizijua kama waziri wa USALAMA WA Raia!

AIBU TUPU!
 
Hana jipya wizara aliyopewa kashindwa kuisimamia itakiwavyo na kinyume chake amekuwa akilihujumu na taifa na serikali ya JK sijui ninani kamtuma? Mungu hatomuacha kila mnafiki salama.

Nawewe unamtosa duu hatari. Au umegundua vishilingi alivyokua anawapa vimemuishia sasa mnatapata.
 
Sijawahi kuona unafiki uliokithiri namna hii. Mungu akupe roho ya kusamehe! Umekosewa na nani na nini wamekukosea? Mungu tumwombae usiku na mchana ayasikie maombi yako na akufanyie aonavyo vyema kwako.

Watu wamekufa Arusha ninyi bungeni mmeshangilia! Mwangosi ameuawa kinyama, wizara yako ikakaa kimya! Nchimbi/Nchemba!.....Really only God's revengeance will satisfies widows and orphans'players.
 
Jamani Mimi nilikuwa wizarani pale siku ya jumanne nikapata nafasi ya kuzungumza name rafiki yangu ni mtumishi pale akawa ananiambia bwana mkubwa kachanganyikiwa kabisa moja aikai wala mbili na akajaribu kwenda mbali zaidi na kusema jamaa bp ilipanda na kupelekwa hospital kwa sababu kumbe ukifukuzwa kazi name raisi Kama kikwete alivyo Fanya uwezi pata kazi tena serikalini.
 
Back
Top Bottom