ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #41
Shukran bro πJumaa Kareen ShesRise_1
Nimependa sana namna ulivyoweka maswali yako. Kitu kinachoonekana kwako ni kwamba hupendi kukimbizana na hisia za mitandaoni unapenda kuanzia kwenye facts kabla ya kutoa hitimisho. Hili ni jambo zuri
Umeuliza maswali yanayolazimisha watu wafikiri badala ya kushabikia
Nitarudi nipo kwenye updates za mahakamani
Ngoja tuone kama atafunguliwa kesi ya uhainiNchimbi anaweza kubanwa na kubambikiwa kesi ya uhaini, lakini kwa upande mwingine hiki kilichotokea kinazidi kuiharibu taswira ya CCM.
Yeyote anaamini tena CCM kutoka moyoni basi ni punguani wa kutupwa.
Babu yako nilichoma kadi ya chama baada ya huyu shetani kuingia kwa madaraka.
Unayo yasema ni kweli?Ni mahangaiko
Kila siku jipya
Jana nliahidi kuachana na haya mambo Leo nakuta habari Abdul ndio kakalia kitu Cha mkuu wa usalama wa taifa
Kwa Hali hii tutapona?
Mange hasemagi uongo aliwaambia mwaka jana mapema Kuna kontena la silaha limeingizwa mkamuona hamnazo mamlaka zikakanusha,haya niulize Oct 29 Yale masilaha kiwango Cha vitani yalitoka wapi?
Swali la msingi liko hapaMimi bado sijaona misimamo yake,kama kweli ana misimamo basi angekataa uteuzi wa umakamu tangu day one ilq sasa yeye alipenda teuzi halafu anajifanya anajiuzulu kwani ccm imeanza kuwa mbaya leo
Wangeenda mpka nyumbani kwake !
Asante kwa maoniAkatakaa uchawa
Haya ndo maswali haswaa mdogo etu. Inabidi awe answerable kwanini alijiunga na hao hao wauwaji?Swali la msingi liko hapa
Kwanini alikubali uteuzi !
Sasa hivi tuna amini vipi kama alichofanya ni kwa maslahi ya taifa au matarajio aliokua nayo yameyeyuka
Nyerere hana ushujaa wowoteShujaa ni nyerere tu wengine ni vijishujaa
Nyerere mwenyewe usikute mambo yote ni sababu yake na wenzie enzi hizo za sijui tanuShujaa ni nyerere tu wengine ni vijishujaa
Yeah angesema au tusubiri akirudi hewani atatuambia nini hasa sababu ya kukubali teuzi na kujiuzulu tenaHaya ndo maswali haswaa mdogo etu. Inabidi awe answerable kwanini alijiunga na hao hao wauwaji?
Huna habari?Unayo yasema ni kweli?
Hili swala linashangazaUpuuzi
Hakuna shuja yeyote,mtu matukio yanatokea kwenye uchaguzi halafu wewe unakubali kuchaguliwa kuwa makamu unakubali unatumikia cheo
Leo kisa kusema tu habari za katiba ndo uwe shujaa!!
Kila Lissu kila siku wanazungumzia habari za katiba hawaitwi mashujaa halafu mtu kwa siku moja tu ndo aiitwe shujaa how!
UTAPELI wa kisiasa.
Nani alipendekeza jina la Nchimbi before ya kuteuliwa kuwa makamuKama ungesoma taarifa ya Dr. Nchimbi akitangaza kujiuzulu ungekuwa na majibu ya hayo maswali yako.
Dr. Nchimbi alisema; "Nimeamua kujiuzulu baada ya kujiridhisha kuwa Mh. Rais hana nia ya kuendelea kufanya kazi na mimi".
Hapo ndipo utajijliza, kosa la Dr. Nchimbi ni lipi?
Utagundua Dr. Nchimbi hana kosa, kutaka watanzania tupiganie Katiba Mpya ni haki yetu, na ni uhuru wake kutoa maoni yake.
So, kujibu swali lako, Dr. Nchimbi ni shujaa wa watanganyika.
Upo Sahihi hawa ni wale wale..More of a personal gains kama Polepole tu.
Lakini tunawashukuru kwa kuongea Lugha moja na wananchi walio wengi, mengine tuwaachie wapambane na chama chao hadi badamu bamwagike π
Pigia msitari hapa koleza na wino πMore of a personal gains kama Polepole tu.
Sisi hapa tunapaswa kuwaacha mtu na ndugu yake wamalize baasii!Lakini tunawashukuru kwa kuongea Lugha moja na wananchi walio wengi, mengine tuwaachie wapambane na chama chao hadi badamu bamwagike π