Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 1,023
- 3,334
Mkuu, hiki ni Kiingereza? Unajaribu kusema nini? 😳😳😳What is it very important, special and super classified are they sharing in common?
Mkuu, hiki ni Kiingereza? Unajaribu kusema nini? 😳😳😳What is it very important, special and super classified are they sharing in common?
Kuna mwasiasa hatambui au hajui nafasi na umuhimu wa makamu wa rais? Unamanisha nini?kusherekea mtu kujiuzulu nafasi ambayo wewe huitambui?
Nimesema hivyo kwa sababu kuna waliosema hawaitambui serikali iliyopo kwa maana haikuchaguliwa kisheria na wana nchiKuna mwasiasa hatambui au hajui nafasi na umuhimu wa makamu wa rais? Unamanisha nini?
Hawaitambui kama serikali halali.Nimesema hivyo kwa sababu kuna waliosema hawaitambui serikali iliyopo kwa maana haikuchaguliwa kisheria na wana nchi
Kinyume chake ni serikali haramu si ndiyo?Hawaitambui kama serikali halali.
Nchimbi alikuwa anatambulika kama makamu wa raisi kwenye serikali haramu.Kinyume chake kama serikali haramu si ndiyo?
Na Nchimbi wanamtambua kama nani maana alikua upande huo huo wa serikali isiyo na uhalali
Basi wewe kichwa chako hakifanyi kazi vizuri. Nilijua najadili na mtu anaye jielewa. Kilichojiuzulu ni mtu au Serikali. Tatizo ni kutokusoma hata hujui Serilali ni nini.kuna waliosema hawaitambui serikali iliyopo kwa maana haikuchaguliwa kisheria
Ungenielewesha tu baada ya kugundua sina ninachojuaBasi wewe kichwa chako hakifanyi kazi vizuri. Nilijua najadili na mtu anaye jielewa. Kilichojiuzulu ni mtu au Serikali. Tatizo ni kutokusoma hata hujui Serilali ni nini.
Ahaa sawa kwahiyo kinachofanya ashangiliwe ni nini hasa ?Nchimbi alikuwa anatambulika kama makamu wa raisi kwenye serikali haramu.
What is so important, special, and highly classified that they are sharing in common?Mkuu, hiki ni Kiingereza? Unajaribu kusema nini? 😳😳😳
OkayKabla ya Nyerere Kuna kiongozi gani mwingine wa Level ya Rais/Makam alitoka hadharani kuwaeleza watanzania kupigania Katiba mpya?. Nchi amekuwa kiongozi pekee kutoka ccm kuikataa katiba ya hovyo akiwa m/Rais..
Upo ndani ya mada kweli?Yaani dada usichokijua ni kwamba CCM na serikali ni vitu viwili tofauti. Kwahiyo hata hiyo ICC sijui itamshitaki nani.
Mweshimiwa Huwa haiwezekani kupangua hoja ya mtu pasipo kumshambulia personally mtoa hoja?Basi wewe kichwa chako hakifanyi kazi vizuri. Nilijua najadili na mtu anaye jielewa. Kilichojiuzulu ni mtu au Serikali. Tatizo ni kutokusoma hata hujui Serilali ni nini.
Sasa kama yupo kizuiziniUkute yuko kizuizini na ukute barua yenyewe kaandikiwa , kuna watu wamemkamata kwa mabavu na kumweka chini ya ulinzi maana Warioba anasema hata simu zake hazipatikani , Viongozi wakitanzania wamefeli pakubwa ila matatizo yote aliyaanzisha Magufuli lakini hawa waleo wamedhidisha asee , kuua , kutekana na kutuachia maumivu ya oktoba.
Naunga mkono hoja yako📌Very articulate!
Super logical!
Hata mimi nachelea sana kumuita huyu jamaa shujaa. Kama kweli yuko upande wa wananchi, kwa nini alikubali kujiunga na serikali dhalimu iliyojiweka madarakani baada ya kuua maelfu ya Watanzania? Angeingia kwenye vitabu cha historia kama immediately wakati wa kuapishana vichochoroni huko angesema kuwa mimi siwezi kujiunga na serikali hii kwa sababu naamini haikupatikana kwa haki.
Badala yake ameingia serikalini. Mwaka umepita. Mamilioni kapiga na mafao ya mabilioni yanamsubiri yeye na mkewe. Eti ndiyo anajitoa. Kuna walakini mkubwa sana maana mianasiasa hii haiaminiki hii. Si ajabu tu wamezidiana kete huko ndani kwenye madili yao. Au mfumo haumtaki kwa ajili ya 2030 ndo tunachezewa hivi.
Hata mimi nasubiri mpaka Akija kupata nafasi aeleze kilichotokea ndiyo nitamwamini japo kidogo, vinginevyo ni drama za kisiasa tu! 🚮
Hakika hakika mtu amekua sehemu ya watesi leo gafla anatamka neno moja katibaYou ask great questions!
1) Mimi ninakuwa na wasiwasi navyoona Watanzania wanavyompigia makofi Nchimbi kwa kusema endeleeni kuomba katiba mpya. Polepole alisema Nchimbi ni mwanamtandao na pia Nchimbi has been a notable member of CCM for longer than most of us have been alive — hatujui mambo aliyofanya humo ndani miaka nenda rudi.
Mimi hofu yangu kubwa ni wanamtandao wanatuchezea akili.
What if this is all a scheme ? Nchimbi ajiuzulu, wananchi wamuite shujaa, 2030 agombee uraisi kama mtu aliyesimamia haki = mtandao unabaki madarakani.
2) Kumcompare Nchimbi na Polepole ni kumuonea Polepole. Polepole hawakumvua uwanachama, alitekwa… Nchimbi kafukuzwa na matarumbeta… Hawa watu wana mind games…
Vitu Polepole alivyoweka wazi kuhusu wanamtandao, CCM, na serikali — you cannot even begin to compare it with the few sentences Nchimbi uttered.
3) The constructed separation between SSH and Nchimbi. Mimi mwaka jana niliweka mpaka academic articles zinazoonyesha how female leaders are regularly used as scapegoats in corrupt government systems — maraisi wanawake wanaofungwa kwasababu ya ufisadi sio kuwa hawajaiba, wanatumika na the boys club kunawa dhambi zao na kuendelea na uhalifu wao. Mtandao lazima una Plan A, B, C… ili uendele kuishi.
Basi kama kuna jambo gumu kulifahamu kwa sasa tusubiri na tuoneMimi siwezi kusema kwa maslahi binafsi au kwa maslahi ya taifa but kwenye nilichowai kufanya licha ya kwamba nilishawai kumuandikia barua kwenda kwa ofisi yake kuhusu Pendekezo la katiba na barua kutaka hatoe ushauri kwa mkuu wake sikupata majibu licha ya muda ulifaa kupewa majibu.
HIvyo pengine ni hali ya kiusalama, shinikizo la chama chake, na vitisho "hakuna anaeweza kujiondoa mahali bila tatizo kuwepo" kuna jambo lipo amabalo gumu kujua kwa namna ya kawaida.