ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
🤣🤣🤣leo chawa umenichekeshaAlitakiwa tu kusema, "mama katufikia na anaupiga mwingi". Basi.
Kuwataka watu waipambanie katiba mpya kwa sisi mbogamboga ni mwiko.

Hili watu hawalitaki wanasema ni shujaa!Hakuna shujaa taifa hili zaidi ya Tundu Lissu, Nchimbi angekua shujaa asingekubali hata kula kiapo siku anaapishwa ilimpasa akae pembeni tangu mwanzo ili kuonyesha msimamo wa kutokukubaliana na uchaguzi ule batili uliojaa damu na uchafuzi, alijiuzulu akikwepa impeachment kwasababu alijua ameshayakoroga ijapokuwa amekumbuka shuka kukiwa kumekucha
Shujaa ni TAL pekee yakeHili watu hawalitaki wanasema ni shujaa!
Hivi wewe ni kabila gani? Naona kama ni kisumkumabadamu bamwagike 😂
Yes siku ikiwadia yataishaHata wakolini walishika mtu wa bunduki.mababu zetu wakibaki wanatumikishwa wanyonge.wakipambana Kwa mbinu Duni kama uchawi na kuamaini maji yanageuka risasi sijui.walidondoshwa sana ila siku ikawadia yakaisha.
Fanya tukio nitakua mwanasheria wako wa hapa na palengoj niendelee kujifunza ushujaa na maamuzi binafsi kabla sijafanya tukio moja takatifu
Unless aje/apewe jukwaa/afanye press kuwaambia wananchi kuwa alipush mabadiliko kwa njia gani akiwa ndani ya chama ili sisi wananchi kupitia “watu wenye akili” tupime kuwa alikuwa pamoja na sisi.Pigia msitari hapa koleza na wino 📌
Sisi hapa tunapaswa kuwaacha mtu na ndugu yake wamalize baasii!
Hii tabia ya kuvika watu ushujaa haina maana
Tuna mambo mengi ya kujadili
Ila hatujadili tuna mpa airtime mtu aliekaa kimya kipindi tumefungiwa ndani kama kuku aibu yetu!
Hahaha kumbe wewe ni mwanasheria ?Fanya tukio nitakua mwanasheria wako wa hapa na pale
Sasa Nchimbi, yeye rekodi zake zinasemaje?Unless aje/apewe jukwaa/afanye press kuwaambia wananchi kuwa alipush mabadiliko kwa njia gani akiwa ndani ya chama ili sisi wananchi kupitia “watu wenye akili” tupime kuwa alikuwa pamoja na sisi.
Look at CDM + TAL wamepush mabadiliko sio tu kwa kusema no reform no election (Katiba mpya ni sasa)
Bali…
1. Wamewafikia wananchi kupitia mikutano ya hadhara kuwafundisha na kuwashawishi kuunga mkono mabadiliko
2.Walianzisha kampeni ya NRNE na ikawa msimamo wa chama. (sio jambo rahisi kuwashawishi watia nia wakubali wasishiriki uchaguzi sababu licha ya kwenda kutumikia wananchi ukishinda kuna financial gain kichama na kwa wao kama watu binafsi, uamuzi wa kuacha kugombea ni alama ya selfless.
3.Wamepush mabadiliko institutionally, Wameomba kuonana na Rais na kumpa ajenda zao, kama chama cha upinzani na wanachi halali wa nchi hii, Wao CCM wakaona suala la msingi ni kupiga picha nao ili kuonesha ushirikiano fake…. Wakati wenzao wameomba kuonana na kiongozi kupush ajenda ya mabadiliko as they should. Viongozi wa serikali ya CCM kwenye hili wameonesha unafiki wa hali ya juu, miaka na miaka Hii nchi ina wazee wanafiki sana, zamani nilikuwa sijui maana ya msemo “wapinzani wanapenda kuitwa kunywa chai ikulu na kupiga picha” kumbe kumsingi huwa wanapeleka agenda zao kimaandishi , hawa wanafiki huwaza picha tu ili wazitumie kisiasa.
Additionally wameomba kuonana na viongozi + Taasisi respectable kuwashawishi watumie ushawishi wao kuongea na Rais/uongozi nchi isiingie kwenye uchaguzi bila reforms kufanyika sio kwasababu wao CDM wamesema bali tume mbali mbali zilizoundwa toka miaka ya 90’s zilitoa hayo mapendekezo.
(Haya yote ameyasema TAL mahakamani Tarehe 24/08 akiwa chini ya kiapo kwahiyo hadanganyi)
Sasa na yeye bwana mkubwa siku akipata jukwaa alitumie kuwaeleza wananchi alichofanya…. tutaendelea kuona ni walewale wamewahiana tu.
Natania kaka 🤣🤣Hahaha kumbe wewe ni mwanasheria ?
Matarajio yake ilikuwa ni kutumia hiyo nafasi kushinikiza mabadiliko nchi isizidi kuzama kwenye giza la udikteta wa chama kimoja kinachomilikiwa na kikundi kidogo cha watu.Hayo maneno amesema hivi karibuni
Sasa kama alikua anajua kua chama chake kinaonea vyama pinzani nini kilimsukuma kukubali nafasi ya Umakamo wa Rais?
Au kuna matarajio gani alikua nayo?
Aisee kweli sisi tunalainika mapema anyway asante kwa maoni?Matarajio yake ilikuwa ni kutumia hiyo nafasi kushinikiza mabadiliko nchi isizidi kuzama kwenye giza la udikteta wa chama kimoja kinachomilikiwa na kikundi kidogo cha watu.
Mkuu mtungi wangu umeisha gas naomba upulize upepo wa kisulisuli
Yaani dada usichokijua ni kwamba CCM na serikali ni vitu viwili tofauti. Kwahiyo hata hiyo ICC sijui itamshitaki nani.Alipaswa kuongea maneno gani ya kumfurahisha mama ?
Kusema watu waipambanie katiba mpya ni jinai kumbe?
What is so important, special, and highly classified that they are sharing in common?
Itoshe kusema watu aina yako humu Jukwaani ni wachache sana. Big up for the follow up.Unless aje/apewe jukwaa/afanye press kuwaambia wananchi kuwa alipush mabadiliko kwa njia gani akiwa ndani ya chama ili sisi wananchi kupitia “watu wenye akili” tupime kuwa alikuwa pamoja na sisi.
Look at CDM + TAL wamepush mabadiliko sio tu kwa kusema no reform no election (Katiba mpya ni sasa)
Bali…
1. Wamewafikia wananchi kupitia mikutano ya hadhara kuwafundisha na kuwashawishi kuunga mkono mabadiliko
2.Walianzisha kampeni ya NRNE na ikawa msimamo wa chama. (sio jambo rahisi kuwashawishi watia nia wakubali wasishiriki uchaguzi sababu licha ya kwenda kutumikia wananchi ukishinda kuna financial gain kichama na kwa wao kama watu binafsi, uamuzi wa kuacha kugombea ni alama ya selfless.
3.Wamepush mabadiliko institutionally, Wameomba kuonana na Rais na kumpa ajenda zao, kama chama cha upinzani na wanachi halali wa nchi hii, Wao CCM wakaona suala la msingi ni kupiga nao picha ili kuonesha ushirikiano fake…. Wakati wenzao wameomba kuonana na kiongozi kupush ajenda ya mabadiliko as they should. Viongozi wa serikali ya CCM kwenye hili wameonesha unafiki wa hali ya juu, miaka na miaka Hii nchi ina wazee wanafiki sana, zamani nilikuwa sijui maana ya msemo “wapinzani wanapenda kuitwa kunywa chai ikulu na kupiga picha” kumbe kumsingi huwa wanapeleka agenda zao kimaandishi , hawa wanafiki huwaza picha tu ili wazitumie kisiasa.
Additionally wameomba kuonana na viongozi + Taasisi respectable kuwashawishi watumie ushawishi wao kuongea na Rais/uongozi nchi isiingie kwenye uchaguzi bila reforms kufanyika sio kwasababu wao CDM wamesema bali tume mbali mbali zilizoundwa toka miaka ya 90’s zilitoa hayo mapendekezo.
(Haya yote ameyasema TAL mahakamani Tarehe 24/08 akiwa chini ya kiapo kwahiyo hadanganyi)
Sasa na yeye bwana mkubwa siku akipata jukwaa alitumie kuwaeleza wananchi alichofanya…. kinyume na hapo tutaendelea kumuona ni walewale wamewahiana tu. GenZ + na sisi Millennials ni ngumu kutuimbisha nyimbo za ushujaa bila kutupa mzani.
Very articulate!Unless aje/apewe jukwaa/afanye press kuwaambia wananchi kuwa alipush mabadiliko kwa njia gani akiwa ndani ya chama ili sisi wananchi kupitia “watu wenye akili” tupime kuwa alikuwa pamoja na sisi.