Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

Hakika hakika mtu amekua sehemu ya watesi leo gafla anatamka neno moja katiba
Tunaanza kumuimba ni shuja
Kwa lipi hasa?
Nashindwa kuelewa kwanini yaani๐Ÿ™Œ

Wanamtandao wanajua wananchi wana desperation kali ya kupata mabadiliko na tusipokuwa makini watatuchezea sana. Kilicho muhimu kwao ni kubaki madarakani iliwabaki na mali walizojimilikisha. Hata kuuwa watoto wa watu 29/10/2025 walivifanya watu wamvae SSH wao waendelee na mambo yao. Baada ya Polepole kutekwa watu hawaongelei mtandao sana, wanaosemwa ni SSH, wazanzibari, etc

We have to stay alert na kumuomba Mungu sana sana sana. We are dealing with evil forces โ€” yule mstaafu aliyekuwa anapata ushauri kutoka kwa samaki sijui ndio walimwambia kumwaga damu za wananchi ?
 
Aiseee๐Ÿ˜ข
Nimeishia kusikitika tu
 
Kujiengua kutoka kwenye serikali haramu na kandamizi ni jambo linalostahili pongezi, na hasa ukizingatia hali ya kisiasa kwenye nchi yetu siyo rafiki kwa watu wenye uthubutu wa aina hiyo
Una uhakika kajiengua au kaenguliwa?
 
Kwanza kabisa Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu.Sababu kubwa ni matamshi yake ya kutetea katiba,serikali kuacha kutesa watu nk vitu ambavyo ccm hawavitaki.kwa taarifa yako ccm haitaki kabisa kusikia neno katiba sababu wanajua wanaenda kupoteza atatua zao.
 
What is so important, special, and highly classified that they are sharing in common?
Hongera bro! Ngeli imeeleweka regardless of minor typos and trivial grammar but it's ok to most of us!

Wanakuonea gere hao. Warudi darasani wakajifunze maana ya lugha. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sawa asante kwa maoni mkuu
 
Nani alipendekeza jina la Nchimbi before ya kuteuliwa kuwa makamu

Nieleweshe kwa upole
Samia ndie alipendekeza jina kabla ya uchaguzi mkuu ili Dr. Nchimbi awe mgombea mwenza.

Baada ya uchafuzi kufanyika, Samia kuapishwa kambi ya jeshi, na Dr. Nchimbi ndio akawa makamu wa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ