Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

😆😆😆sawa bana shida sio zangu,tik tok ndiyo mnaitumia kama kuitafuta historia ya mambo ya kake,muwe mnaenda maktaba ya taifa kuna vitabu vya kutosha utajifunza mengi
Haujui kuwa history yenyewe imeandikwa kumpa favor yeye, huku wale walotoa mawazo wakawa outcasted?
 
As Tanzanian sometimes am very disappointed with my country but the choice I have is to love it. Yes! Yes to love my nation where else will I go?

Back to the topic

Sioni logic yoyote ya Nchimbi kuitwa shujaa kwa kujiuzulu kwake kwasababu zifuatazo-

1. Kuhusu sababu ya kujiuzulu kwangu binafsi haina mashiko labda aje atueleze vizuri. Amesema alimuahidi Samia wakati wa uteuzi kwamba endapo atahitaji mabadiliko bhasi yeye atakua tayari kujiuzulu na amefanya hivyo kutimiliza ahadi yake.

Maswali yangu kwake

Je? wakati anakubali hiyo nafasi na kuweka nadhiri ya kujiuzulu alitegemea mabadiliko yapi? Tunajua kwamba wakati wa kampeni walikua na sera zao ambazo walizitangaza kwamba watawafanyia wananchi, Sasa je! Sera hizo zimebadilika? Ilifaa atujibu hili swali wakati anajiuzulu maana muajiri wake ni wananchi.

Pia hayo mabadiliko yaliyomfanya ajiuzulu ni yanahusu maslahi ya Taifa au ugomvi wao binafsi?

2. Kuitwa shujaa sio tuu kujiuzulu Bali ni kuweka maslahi ya Taifa mbele. Kutokana na barua yake naona amekiri kwamba alijua atakuja kujiuzulu katika nafasi yake Sasa kulikua na haja gani ya kupoteza fedha za watanzania kufanya uchaguzi halafu mtu ajiuzulu ndani ya miezi kumi.

Binafsi sijaona ushujaa wowote kutoka kwake lakini amefanya hivyo ili kujipa umaarufu tuu pasipo kuwajibika kwa lolote pia ameiletea nchi hasara kubwa sana ilifaa hata mishahara aliyolipwa kama makamu wa rais airudishe pia asilipwe mafao yoyote maana alijua kwamba atakuja kujiuzulu.

3. Simuoni Nchimbi kama shujaa kwakuwa yeye ni mmoja wa watu waliosababisha mauaji ya October 29 kwa kukubali kuingia katika uchaguzi, alikua na option ya kutoka na nje na kufanya kama alivyofanya Polepole kwamba maridhiano yafanyike kabla ya uchaguzi, Lakini kama nilivyosema hapo awali amejiuzulu ili kujiongezea umaarufu maana kabla ya kampeni tulisikia tetesi kwamba kulikua na mpango wa kumuondoa kwenye nafasi ya ugombea mwenza kwangu Mimi hiyo ilikua nafasi nzuri kwake kujiuzulu ila sio baada ya watu kufa kwenye kiini macho cha uchaguzi pia amechezea Kodi zetu ndio anakuja kujiuzulu.

4. Binafsi naona hii ni michezo ya kisiasa sio ajabu tukaja kuona Nchimbi anarudi kwenye siasa na kugombea tena katika chama hicho hicho walichomfukuza. Hivyo nitumie nafasi hii kuwaonya wanaoshangilia na kumuona Nchimbi kama shujaa.
 
Hakika mkuu umeeleza vizuri sana
Huyo mtu hana ushujaa wowote
Anaepinga aje Fact
Asante kwa maoni 🙏🙏
 
Kama Simbachawene angalau walionesha utu na kukiri kua nchi yetu inapelekwa kwa namna isivyo.Viongozi wengi sana wasasa wanaona wananchi kama ng'ombe na hivyo kazi yao ni kujaribu kuswaga tu.Wananchi wanaakili na ndio maana yeyote anayeenda nao watamsifu na kumwinua.Iwe unataka ama hutaki Nchimbi yuko kwenye mioyo ya wengi hata watwana wanajua ndio maana watafanya kila wawezalo kumzuia asiende kwenye shughuli zote zote,watamzuia hata kwenda kanisani.
Badala ya kusema Nchimbi yupo kwenye mioyo ya wengi

Ainisha walau mambo 5 ya Muhimu aliyoyafanya

Ameyafanya wakati gani?
 
Kama Simbachawene angalau walionesha utu na kukiri kua nchi yetu inapelekwa kwa namna isivyo.Viongozi wengi sana wasasa wanaona wananchi kama ng'ombe na hivyo kazi yao ni kujaribu kuswaga tu.Wananchi wanaakili na ndio maana yeyote anayeenda nao watamsifu na kumwinua.Iwe unataka ama hutaki Nchimbi yuko kwenye mioyo ya wengi hata watwana wanajua ndio maana watafanya kila wawezalo kumzuia asiende kwenye shughuli zote zote,watamzuia hata kwenda kanisani.
Mkuu umeongea vizuri kuhusu maumivu yaliyopo kwa wananchi lakini je! dhamila ya hawa watu uliowataja ni sahihi?

Hao watu walikuwepo wakati utekaji umeshamiri, vijana kupotea na mengine mengi ya ovyo na hata mauaji ya October Je! Dhamila zao zimewatuma kujiuzulu tuu? Kwamba hawawezi kuwajibika zaidi ya hapo?

Kuhusu dhamira angalau Polepole alionesha kuwajibika ni Imani yangu hata kama walimuua bhasi alionesha kutubu maovu yake. Polepole alionesha dhamila ya kweli ya kuipenda nchi japokuwa aliweka uccm mbele.

Polepole baada ya kujiuzulu alitoka hadharani na kuyasema yote ambayo hakupendezwa nayo tofauti na hao uliowataja hawana dhamira ya kweli na kama wanayo bhasi waioneshe kwanza ndio tuwasifu.
 
Kuna watu kibao wanamuona Nyerere alikuwa mzinguaji katika uongozi wake. "The dark side of Mwalimu Nyerere" ni kitabu kinachoelezea uchafu mwingi tu wa Mwalimu.
Nyerere na wenzie ni watu wa kwanza kuharibu taifa kwa kushindwa kujenga misingi imara
 
Mkuu umeongea vizuri kuhusu maumivu yaliyopo kwa wananchi lakini je! dhamila ya hawa watu uliowataja ni sahihi?

Hao watu walikuwepo wakati utekaji umeshamiri, vijana kupotea na mengine mengi ya ovyo na hata mauaji ya October Je! Dhamila zao zimewatuma kujiuzulu tuu? Kwamba hawawezi kuwajibika zaidi ya hapo?

Kuhusu dhamira angalau Polepole alionesha kuwajibika ni Imani yangu hata kama walimuua bhasi alionesha kutubu maovu yake. Polepole alionesha dhamila ya kweli ya kuipenda nchi japokuwa aliweka uccm mbele.

Polepole baada ya kujiuzulu alitoka hadharani na kuyasema yote ambayo hakupendezwa nayo tofauti na hao uliowataja hawana dhamira ya kweli na kama wanayo bhasi waioneshe kwanza ndio tuwasifu.
Polepole sote tuliona alijutia akakiri mbele ya hadhara watu wakamuelewa

Na Polepole huyo huyo ndiyo alisema Ema alikua sehemu ya wanamtandao

Hizi sifa anazopewa huyu mtu ni mapema sana
 
Ooh Shukran sana mkuu punguza uvivu
🤣🤣🤣 Generation Z
Ooh Shukran sana mkuu punguza uvivu

Hili lilishanishinda Toka shule, huwezi kuamini sijawahi kujaza counter book 1 kuanzia form 1-4..... Somo la English nilishindwa kujaza daftari la mazoezi la page 40 kuanzia form1-4.

Hapo kwenye Gen Z sikutegemea, I have to congratulate you. Congratulations much mkuu.
 
Nyerere na wenzie ni watu wa kwanza kuharibu taifa kwa kushindwa kujenga misingi imara
Mjukuu mpumbavu humlaumu babu yake kwa umasikini alionao na kuukumbatia huyu mjukuu katika maisha yake. Badala ya kuchukua hatua ya kujinasua.

Hii mindset ya kumtupia mtu lawama kwa kushindwa kwako kutimiza wajibu wako inafaa kupigwa vita.

Au unaweza sema misingi ipi imara ambayo ulihitaji angeiweka huyo Nyerere. Na kipi kinasababisha sasa musiiweke hiyo misingi.
 
Kumbe uvivu ni tangu Way back mkuu
Hapo kwenye Gen Z sikutegemea, I have to congratulate you. Congratulations much mkuu.
Shukran 🙏 🙏
 
Mjukuu mpumbavu humlaumu babu yake kwa umasikini alionao na kuukumbatia huyu mjukuu katika maisha yake. Badala ya kuchukua hatua ya kujinasua.

Hii mindset ya kumtupia mtu lawama kwa kushindwa kwako kutimiza wajibu wako inafaa kupigwa vita.

Au unaweza sema misingi ipi imara ambayo ulihitaji angeiweka huyo Nyerere. Na kipi kinasababisha sasa musiiweke hiyo misingi.
Wewe ambae sio mpumbavu na hulaumu mpaka sasa hivi umefanya nini?

Nyerere ana mengi mazuri
Na ana mabaya pia ikiwemo la muungano ucwara
 
Nyerere na wenzie ni watu wa kwanza kuharibu taifa kwa kushindwa kujenga misingi imara
Hakika ShesRise_1 nakutoa kwenye Gen Z nakutunuku U millennium you're good in thinking and very right upstairs.

Kuhusu huyo Mzee ndie alitufikisha hapa.

1. Alifeli kuendesha nchi na bado hakukubali kwamba amefeli mwisho alisababisha zao la mkonge kufa kifo Cha kawaida kabisa.

2. Alisababisha shilingi ikashuka thamani against Dola mpaka Leo shilingi imeshindwa kujipambania.

3. Yeye ndio alianzisha maswala ya UHAINI, KUWEKANA VIZUIZINI, PAMOJA NA KUTEKANA.

4. Huyo Mzee ndie alianzisha mfumo wa vyama vingi vya kiini macho, alikubali kuanzisha mfumo wa vyama vingi lakini alivitoa meno. Mwishowe tukaona mauaji ya Zanzibar hasa Pemba na mengine mwaka jana. Hii ni mbegu aliipanda huyo Mzee

5. Huyo Mzee alijua kwamba katiba tuliyonayo ni mbovu na hata yeye mwenyew alishawahi kukiri Hilo lakini hakuchukua jukumu lolote kurekebisha Hilo.

6. Huyo Mzee ndie alijipa cheo Cha rais kuwa mwenyekiti wa chama ili aweze kucontrol matokeo yake ndio haya kichaa kapewa rungu na anapiga yeyote.

Kama mzizi wa fitna alianzisha huyo mnaesema ni baba wa Taifa.
 
Back
Top Bottom