Nchimbi ni zaidi ya mhaini, alaaniwe na kila mtanzania

The Political Service Retirement Benefits Act should be amended to establish mandatory minimum service periods (such as a 3-year threshold) to prevent brief tenures from qualifying for lifelong pensions.

Otherwise, ni upumbavu kuruhusu mazafakas wanaohudumu hata for less than a year kuwa na full retirement benefits za President, VP or PM as the case may be!
 
But this is hardly the most pressing issue here.

Kwa nini Makanu wa Rais ajiuzulu kwa sababu Rais hamtaki tu? What about the people who boted for Nchimbi. I know the whoke thing was a sham, but what about tgat abstract point.

Do their votes matter at all?

Yes kuea na wadyaafu eengi ni mzigo. Lakini kuwa na rais fisadi muuaji anayeweza kubadili mpaka VP anavyotaka si mzigo zaidi?

Nchimbi akinyimwa mafao yake kwa sababu hajakuwa makamu wa rais kwa mwaka hujamaliza matatizo mengi sana ya msingi.

Kwanza hizo pesa za kumuhudumia Makamu wa Rais mtu mmoja kwa maisha yake yote kina Samia wanapiga kwenye deal moja tu.
 
Ndiyo maana tunalilia Katiba Mpya. Katiba ya sasa inamfanya Rais kuwa mungumtu—anao uwezo kufanya chochote anachotaka, including to eliminate anyone. No question asked!
 

Wakati yeye anapambana ww ukiwa wapi?

Umelala na mke wako, wabongo bwana,

Na yeye ni binadamu ni baba wa familia,

Unataka yamkute ya pole pole au?

Mwache aamue kitu ambacho yeye mwenyewe ameona ni jambo bora
 
Mimba uliyoachiwa inakwenda kukuacha single mother wa watoto wanne mapacha
 
Ndiyo maana tunalilia Katiba Mpya. Katiba ya sasa inamfanya Rais kuwa mungumtu—anao uwezo kufanya chochote anachotaka, including to eliminate anyone. No question asked!
Katiba ya sasa haimpi Rais nguvu ya kumuondoa Makamu wa Rais.

Hakuna sehemu kwenye katiba ambapo Rais anaweza kumuondoa Makamu wa Rais.

Hilo ni jambo alilolikubali mwenyewe Nchimbi tu.

Kwenye hili la Nchimbi kujiuzulu, ni Nchimbi kawa weak kukubali kujiuzulu. Katiba haimlazimishi ajiuzulu kama Rais hampendi.

Kwenye hili, specifically, msiisingizie katiba.

Matatizo yetu mengine ni ya utamaduni, si ya katiba.
 
Kuna makundi matatu ya watu.
Those who have something to Live for.
Those who have something to die for
Those who have something to kill for.

Nchimbi yupo kundi la Kwanza.
 
Tlaatlaah na mwashambwa wao wanasemaje?
 
Kweli
Kweli kabisa mkuu. Nchimbi has proven to be so weak than we expected of him.
 
Katufadhaisha sana, mlume ni TAL tu ndie atatuokoa motoni, pia huyu dogo nimemuona mwaka huu anabashasha nyingi mitandaoni na vyombo vya habari tofauti na hapo nyuma nikajua tu hii kuuza sura sio bure na hata akadiriki kusema hatuhitaji katiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…