Nchimbi ni zaidi ya mhaini, alaaniwe na kila mtanzania

Hii nchi kila mtu ajipiganie, ni nchi ya watu wenye modomo domo na kelele nyingi pasi na vitendo. Wachache waliojitolea kutetea na kupigania maslahi ya Watanzania wameishia kufungwa, kuteswa, au kupotezwa. Polopole alijaribu mpaka sasa hatujui hatima yake, Watanzania waliokiwa wanamuunga mkono kwenye keyboard na keypad wamlishamsahau siku nyingi.

Daktari Nchimbi alichokifanya ni sahihi, wacha apumzike, kama unaweza nenda uwapambanie wewe.

Nokiripoti kutoka Tanga kwenye mapango ya Amboni.
 
This probably is a question of “descriptive vs normative”. In theory, that’s how it’s supposed to work, but in practice, the so-called president runs every show you can imagine. Kwenye hii nchi, uwezekano wa kuwa na VP ambaye Rais hamtaki is unsustainable. VP akifurushwa na chama atakuwa an ostracized outcast. Atatekelezaje majukumu yake?

Hiyo tutabaki kuisikia Kenya na kwingineko tu!
 
Indeed...kwanini astaafu hadi siasa...Lowassa aliwapa Uwaziri Mkuu..akaja kupambana tena. Ni kama hakuwa tayari kupigana..wahenga walisema "mchumia majanga..."
 
Hicho kipengere (e) ndiyo cha kufikirisha.
 
Huyo Bharara aliteuliwa na Rais Trump?
 
Mwache ajiuzuru kwani bado ana machungu ya kuondokewa na mpishi wake.
 
Wote wale wale tuu wanawachezea wananchi drama. Hapo wamemwambia ajiuzuru ili apate jina kubwa Kwa malofa kuelekea 2030. Nchimbi ni mtu wao wanamuandaa 2030 awe rais. SIASA MCHEZO MCHAFU.
 
Mnakosea mnapoilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani. Rais wa Tanzania ana nguvu ambayo Rais wa Marekani hana. Marekani hata city mayors tu wanamdindia Rais na hana cha kuwafanya zaidi kuwatafutia a safe way ya kuwanyima federal dollars. Na hiyo asipoifanya carefully itakuwa nullified na mahakama!
 
Leo ndiyo nimemuelewa mantiki yake ya kusema 'komaeni kupigania Katiba mpya' kumbe ndiyo ilikuwa ni hii!

Watu walijiuliza sana, anawaasaje watu kupigania Katiba mpya huku mwenyewe akiwa ndani ya Serikali isiyotaka mabadiliko ya aina hiyo?

Kumbe alikuwa anatoa wosia kwamba hatakuwepo tena mamlakani!

Lakini tujiulize, kwani kustaafu kunamuondolea uTanzania wake na kumnyima haki zake za kutoa maoni kama tulivyo raia wengine?

Kwa hiyo madhila ya ukandamizaji yatokanayo na kudai Katiba mpya katuachia sisi, ye'hayamhusu kajitoa!

Kuna watu wabinafsi sana kuliko tunavyodhani!
 
]

Nchimbi kastaafu au kajiuzulu?

Kama kajiuzulu kwa sababu kashindwa kufanya kazi na muuaji Samia, well done.

Kama kalazimishwa na yeye akanywea, shame on him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…