Nchimbi ni zaidi ya mhaini, alaaniwe na kila mtanzania

Ndani ya CCM na mifumo yake hakuna mtu jasiri, wengi wamefika hapo kwa kubebwa na mifumo Tu, hakuna hata anayefikia robo ya kina Heche

Heche yupi uyu au mwengine
 

Attachments

  • 6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    20.3 KB · Views: 6
Aliteuliwa na Obama.
Anhaa!

Ndo maana alimgomea Trump. Alikuwa na ajenda yake.

Tumeona juzi hapa Tulsi Gabbard, director of national intelligence kajiuzulu.

Huyu alitoa kauli mbele ya kamati ya bunge la Marekani kuwa hakuna ushahidi wa wmd huko Iran. Kauli ambayo ilikinzana na madai ya Trump.

Tulsi alishinikizwa kujiuzulu. Hakugoma.

Tumeona pia Joe Kent naye alijiuzulu. Hakung’ang’ania mpaka afukuzwe.

Hawa wawili wote walikuwa wateule wa Trump.

Ni rahisi sana kumgomea kiongozi ambaye hakukuteua.

Bharara was grandstanding when he refused to resign. He wanted to cop some [political] mileage for standing up to Trump.

Sidhani kama angefanya hivyo kwa Obama.
 
Mwanasiasa mwenye msimamo na Shujaa nchi hii ni TAL pekee basi wengine ni swala tu

Ndugu mtu mweusi mwache vile alivo

Watu weusi matendo yetu ni nguvu umimi kuvutia kwangu

Mbuga za Wanyama Akifa mnyama yoyote taratibu zao uyo Mnyama uwachwa palepale kweupe ili wengine wamalize hasira zao kwa kumtafuna mpaka anaisha👈

Kufia SIMBA nayeye anatafunwa na Mbweha❗️

Lissu ni mweusi pia usimvike Utakaso au Utakatifu
Bado yupo hai Dishi linayumba yumba

Pale alipo mwenyewe ni kupambania chake yeye✅️

sio chenu❌️

ndio kimemfikisha Lupango
Ila wewe nyinyi wengine hamjui Ujaelewa chanzo cha Mzozo wake na Rais Dk Samia Suluhu
Hassan 👈

Kwako utamuona ni Mzalendo mwenye kutukuka👈

ndiomana mnamuona Mzee mbowe yupo kwenye mambo ya Msingi kwenye Taifa sio kujazana Mahakamani👈

kwenda kuchekacheka tu kufuata mkumbo tu wkt yeye anajua ABC za kwanini Lissu yupo Lupango Uzalendo ni matendo sio kudhani
Lissu sio Mzalendo❌️ ✍️
 
Hii ni Nchi na Maamuzi yanayo fanyika ni Kwa mustakabali wa Nchi

Unatoa mawazo Kama vile Nchimbi Alikuwa chief wa wahehe.
 
Logical non sequitur fallacy.

Kuteuliwa na Obama hakumaanishi huwezi kumkatalia Trump on principle.
 
Hujaelewa!

Kuteuliwa na Obama ndo sababu ya kumkatalia Trump!

Hakukuwa na principle hapo.

Ilikuwa ni grandstanding.

Logical non sequitur fallacy.

Hii ni kauli ya imani, hujaweza kuithibitisha kwa ushahidi wowote.

Umeunganisha mambo ambayo hayana muunganiko.

Logical non sequitur fallacy.

Kwa sababu mtu anaweza kuteuliwa na Obama, halafu akamkatalia Trump on principle tu, si kwa sababu kateuliwa na Obama.

Sasa, thibitisha kwamba alikataa kwa sababu kateuliwa na Obama, na si kwa sababu ya principle zake.
 
He was a political appointee. He is a Democrat.

That’s more than enough proof that his refusal to resign was political grandstanding.

Wanted to make a name for himself and he did.

Hana tofauti na Fani Willis, Leticia James, au Alvin Bragg.

All of whom are Democrats and wanted to make names for themselves for getting Trump.

Tena hao baadhi wakati wanapiga kampeni walisema kabisa endapo watachaguliwa, moja ya kipaumbele itakuwa ni kumfungulia mashitaka Trump!

Lawfare that backfired to the max.
 
Bado unafanya logical non sequitur fallacy na kauli za kiimani.

Mtu kuwa political appointee haimaanishi hawezi kumkatalia Trump on principle.

Mtu kutaka kutengeneza jina haimaanishi hawezi kumkatalia Trump on principle. Mtu anaweza hata kutengeneza jina kwa kumkatalia Trump on principle.

Kufanya suala hili kama uamuazi wa ama kutengeneza jina ama kumkatalia Trump on principle ni false dichotomy, ni logical non sequitur fallacy.

Hujaonesha kuwa hajamkatalia Trump on principle.
 
Kufuatana na Sheria zetu za Tanzania unaweza kumuona Lissu nikama Mwizi kudai madai yapo nje ya mfumo wetu wa Kisheria ndio chanzo cha Mzozo wa Lissu na Rais Dk Samia Suluhu Hassan

Kutokea pale ndipo Lissu akauvaa huo Uzalendo Uchwara tutaanza sikia Uzanzibar Utanganyika Mama wa Kizanzibar
Mzanzibar mwenye kutawala Tanganyika
Ngorongoro nk.

So Shujaa ni Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwakugomea kumlipa Madai
Yaliyonje na mifumo yetu ya Kisheria
Kwenye malipo

Lissu uyo uyo tena kwania mbaya kawaficha Watoto wake sehemu Salama Mke sehemu Salama
Na kuja kutumia vibaya Wafuasi wa Chadema bila uruma yoyote kwenda kuwapambaninisha na Mapolisi wenye silaha

Ukichunguza wengi wa waliokufa ni vijana kwanzia miaka 15 mpaka 20 hadi 25
Rudi nyuma Chini ya Uwenyekiti wa Mzee mbowe yeye katawala Chadema miaka 20 manake Watoto wengi waliokufa wamelelewa na Mzee mbowe kukipenda chama cha Chadema

Chini ya Lissu miezi 7 tu mtaji mkubwa wa Vijana Damu Damu kweli kweli wameenda
Angamia

Athari yake chunguza leo michango pale Chadema inayumba
Mana Vijana wenye kuipenda Chadema kutoka moyoni wamebaki wachache

Wengine ni Bendera fuata
upepo tu wasikudanganye

Mzee Mbowe moyoni analia kupoteza wale Watoto Makamanda wake😥😥

Lkn Mapumbavu yanamtaka na kumkosoa kwanini asiende Kumuona Lissu

Wkt Moyo wa mbowe upo na wale Watoto 😭😭😭

Na mwenyewe yule mwehu eti anashangaa kwanini mbowe asije kumuona mwenyekiti wake Mahakamani 👹👹 😡😡😡

Lkn kuijumla nchi yetu inawatu kwakweli unaweza sema vichwani kama hawana tafakuri yoyote ya matukio 🤔

Wangi wenye kumkosoa Mzee mbowe hawajawai kuwaza upande wa pili👈

Wanakosoa kama madudu wasio na hisia zozote ‼️

Wanasahau kuwa Mzee mbowe ile ndani ya miaka 20👈

Mzee kalea karibu wote pale Chadema mpaka wafuasi wao kwapesa zake za mifukoni na ruzuku
Vile Vifo ndani ya Chadema mtu wa kwanza kuumia alikuwa Mzee mbowe✅️

kisha ndio wengine

Mzee Mbowe kwenda Mahakamani kumuona yule Mwehu ni kuwasaliti Wale Watoto wangeongozwa vizuri tungekuwa nao leo✅️
 
Tatizo la nchi ni kikwete
We utakuwa mwana simba, kwenu kule mnasema mangungu. Mwacheni mzee wa watu astaafu, mnatakiwa kukubali hata wale mnaowachukulia poa wamekuwa serious kufight back. Mlijaribu kupindua nchi Oct 29 mlipokwama mkasingizia Kikwete kaingilia kati.

Hao mnaowachukulia poa wameamua kukaza kweli kweli, mnachotaka na wao wanataka msikariri mambo ya zamani wenzenu wameshaonja asali na nyie mnavyowaona dhaifu ndio wanatumia muda huo kujiimarisha na kama mko na akili japo kidogo mnatakiwa kukubali wameimarika sana sasa. Ole wenu hawa ni nouma sana kuliko wale mnaowagopa.
 
Watu tunaongelea Swala la Taifa wewe unaleta story za mbowe
 

Ndio mkono wa kwaheri..buriani siasa
 

Watu wanaitafuna sana hii nchi. Na ukiwaona wanavyotuzunga eti wazalendo...utadhani wana maanisha.

Tuache muda uamue nani atapewa tena ulaji. Maana siku hizi nafasi kama hizo sio za uongozi. Ni economic opportunity for those involved.
 
Watu wanaitafuna sana hii nchi. Na ukiwaona wanavyotuzunga eti wazalendo...utadhani wana maanisha.

Tuache muda uamue nani atapewa tena ulaji. Maana siku hizi nafasi kama hizo sio za uongozi. Ni economic opportunity for those involved.
Kila Mtanzania mwizi, huko ccm na huko Upinzani, kitu uadilifu kishapotea miongoni mwa Watanzania wengi, Tunalalamika tu humu, fuko la hela likikupitia unakuwa sio wewe tena.
 
Kila Mtanzania mwizi, huko ccm na huko Upinzani, kitu uadilifu kishapotea miongoni mwa Watanzania wengi, Tunalalamika tu humu, fuko la hela likikupitia unakuwa sio wewe tena.

Hapana sio kweli. Kwanini Dr. Mpango alikaa nje kimya kimya?

Wapo wenye utu na heshima kwa dhamana walizopewa. Kuna watu ambao ni wengi, wanataka madaraka kwa ajiri ya kujinufaisha.

Na hawa wengi wanaamini wao wamezaliwa ili kututawala sisi. Uongo mbaya sana kudhani bila wao mambo hayataenda.

Mwenye nchi anazalisha watu wema na waadilifu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…