Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
- Thread starter
-
- #41
hh mkuu niende inst nianzie kuzileta kazi nyingine. Ila ni kama vile "mbona mweusi sana"ungetusaidia baadhi ya hizo comments mkuu
Bado bonge nyanya..Africa haihitaji watu walegevu kwakweliUmesahau "kimbaumbau"
kufuta hiyo hali sio jambo rahisiM
hh mkuu niende inst nianzie kuzileta kazi nyingine. Ila ni kama vile "mbona mweusi sana"
"Mwembamba kama kitu Fulani( wanafananisha)
Yani
Niponze sawa? π€£π€£Inategemea anakuita nani! Mwanamke mzuri kama wewe, akikuita mtoto mzuri hamna shida kabisa.
Wallah vile its a bullying ist the opposite ya "unanijua mimi ni nani?". Zote ni oppressing statement/questionsHapana.hilo ni swali
Kila mahali..imekuw jambo la kawaida.Hata humu jamiiforums bullying ipo sana...
Ndio Maisha yetu.watu tunazichapa mtaani hakuna anaeamulia Kila ana namna yake ya kudeal na mambo.Tz si sehemu ya unyonge. Mtu akikuletea umafia unapima ukiona unammudu usimwachie Mungu.
Ni kweli mkuu...Kila mahali..imekuw jambo la kawaida.
Imefikia mahali kama watu wazima tuamke tubadilishe hii tabia.hata mie nimeacha nimegundua si salama kabisa kiakili.haswa katika suala la makuzi na kumjenga mtu ajiamini na kujiona mwenye thamani.
We imagine mwalimu shuleni amsimamishe mwanao na kumwambia "muone na masikio yake kama popo"
Unadhani huyu mtoto akili yake itakuwaje?
Confidence itashuka kama atajali Kwa kiwango kikubwa anayoambiwa
Inafikirisha mno.na Kwa bahati mbaya yanaturudi mpaka imekuwa kawaida.Unamfanyia bullying mtu ambae hakuhusika kabisa katika uumbaji wake
Hapo kosa lake liko wapi sasa π’
Ubinadamu kazi sana
Mtoto anaharibiwa saikolojia akiwa bado mdogo sana ndio matokeo ya wale watu wazima wasiokubali muonekano waoInafikirisha mno.na Kwa bahati mbaya yanaturudi mpaka imekuwa kawaida.
Yani wewe unambully mtoto wa jirani,jirani anambully wako,muuza anakubully wewe.
Afadhali basi mtu mzima.vipi mtoto?
Africa haitaki mtu legelegeπWaTz tunadhani ustaarabu ni kuongea taratibu na kusema shikamooπ Utasikia yani yule ni mpole anaongea vizuri nyenyenye!!
Kuna mambo mengi sana ya kistaarabu yametupita kando.
Millennials + GenZ parents/caregivers we can do better!
Na kujiamini kunapotea.Mtoto anaharibiwa saikolojia akiwa bado mdogo sana ndio matokeo ya wale watu wazima wasiokubali muonekano wao
ππ Labda ndio mtindo unaotufit waafrikaHapa nyumbani Tanzania, Bullying inafundishwa tangu vidudu
Mwalimu: Mwanafunzi wa kwanza ni X, mpigieni makofi
Mwalimu: Mwanafunzi wa mwisho ni Z, haya mzomeeni....huyooo
Utazomewa kuanzia chekechea hadi kwenye utafutaji wa maisha
Mkeo: We Mwanaume gani kazi kushinda kijiweni tu, Mimi ndiyo nafanya kazi ya kukulisha wewe na watoto wako (Hapo mume amesimamishwa ajira miezi 2 kupisha uchunguzi wa tuhuma zake)
Bullying every here and there, hadi tunakwenda kaburini
Bonge nyanya asijasikia pia..Umesahau "kimbaumbau"
Tunaishi kimakundi, na kwenye kundi lazima kuwe na matabaka. Hili jambo ni asili.
Watoto wanaathirika zaidi, ila kwa mtu mzima inabidi aelewe tu.
Kwenye kusoma kwangu, nimewahi kufundishwa na Wazungu kuanzia level za chiniππ Labda ndio mtindo unaotufit waafrika
Kiongozi wa nchiWallah vile its a bullying ist the opposite ya "unanijua mimi ni nani?". Zote ni oppressing statement/questions