Tanzania mtu ana ku bully, ukimwambia hii ni bullying anakwambia nakutania tu, mbona uko sensitive sana?Salama wakuu?
Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na hata tukiyaona tunayafumbia macho na kuona ni kawaida.
Kuna bullying za aina tofauti kama
• Kimwili: Kupigwa, kusukumwa ovyo, au kuumizwa.
• Kinywa / Maneno: Kuitwa majina yasiyofaa, kutukanwa, au kutishwa.
• Kihisia na Kisaikolojia: Kutengwa, kudhalilishwa nk
Ningesema ni tatizo la hivi karibuNi lakini nikikumbuka katika ukuaji wangu na matukio naona ni kitu haakijaanza Leo na akili zetu zimeadapt kwamba ni kawaida Haina shida.
Kuanzia wanawake,wanaume,vijana,watoto na wazee.
Sio shuleni,sio vyuoni,sio ma hospital hasa za serikalini,viongozi wa serikali,viongozi wa vyama vya siasa,mbaya zaidi mtaani.
Ni kawaida kukuta watu wanatungana majina Kwa muonekano, maumbile ama changamoto,ama tukio
Unakuta mtu mweusi anaitwa cheusi Mangala,mfupi wanamuita kijeba,kidingi..
Mpaka wanaume weupe wanakuwa bullied na wanaume wenzao wakiwaona kama wanawake,mtu mrefu anaitwa ngongoti
Mtu aliezaliwa na changamoto ya miguu kupishana urefu wanamuita chiba,mtu mwenye akili ziko slow kuadapt wanamuita zezeta.mwenye kushindwa kuelewa jambo na kulifanya Kwa ufanisi anaitwa kilaza nk
Na mengine mengi sana.
imekuwa common sana.hali inayopelekea wengine kushindwa kustahimili,Kuna wanaojidhuru,Kuna wanaathirika kisaikolojia na kuwa na msongo wa mawazo,na wengine wanajichukia na kukosa kujiamini haswa Kwa watoto na ma teenager ambao bado hawajakomaa kisaikolojia na kiakili kukabiliana na mengi.
Wakati nchi za ughaibuni wamepitisha kama ni kosa kumbully mwenzio.Mfano nchini Korea ikiwa mwanafunzi atambully mwenzie basi atakuwa suspended.
Sawa najua Africa sio kwaajili ya mtu dhaifu,tuna namna yetu ya kurespond Kwa bullies aina zote,lakini ingependeza kama tulngelichukulia Kwa uzito kama lenye madhara Kwa ustawi wa watu na jamii Kwa ujumla.tunaweza kuona ni kawaida ila ni ajabu na aibu.
Juzi juzi tu hapa Kuna cashier wa supermarket kapigana na mteja baada ya mteja kudai kamuita "shangingi"
Mashindano yanaoyoendelea ya Miss grand international waTanzania wameingia kwenye shutuma za bullying Kwa kuachia comments zinazosanifu washiriki wengine,Yale wanayoandika nchi nyingine Wana translate wanasoma.imefikia wanashangaa.
Yangu ni hayo tu.
Ndio hivyoKwenye kusoma kwangu, nimewahi kufundishwa na Wazungu kuanzia level za chini
Wenzetu kwenye jambo walikuwa hawapendi ni kum-bully mwanafunzi
Walikuwa wanasema inamwondolea mwanafunzi ari ya kujiamini tena
Bongo tuna PhDs za gaslighting.Tanzania mtu ana ku bully, ukimwambia hii ni bullying anakwambia nakutania tu, mbona uko sensitive sana?
Yani hapo hapo kaku bully halafu kaku gaslight.
Sasa unamtaniaje mtu ambaye hamna matani naye?
HakikaNdio hivyo
Lakini sisi tukaona kuzomea na kuzodoa ndio njia ya kumpa mtu morali ya kufanya vyema.matokeo atafanya vyema akiwa ameambatana na nidhamu ya uoga wa kushindwa na sio kujiamini
Unampa mbinu gani mwanao kudeal na bullies?Bullying kwa kiswahili ni uonevu , na ukiona unaonewa jua wewe ni mnyonge, kuepuka kuwa bullied acha unyonge, acha kutia huruma, pambana
Siyo kweli nini ?Siyo kweli
😄😄😄😄😄Yani uonevu kuanzia ngazi ya familia,shule ukijumlisha na CCM lazima tukifika mbiguni mungu atupe bia na kitimoto tupunguze mawazo.
Tushazoea..lakini we mzazi usithubutu kumfanyia hivi mwanaokufuta hiyo hali sio jambo rahisi
Apewe haki gani kashanyongwa mkuuMnyonge anyongwe na haki take hapewi this is TZ
Na wanaona ni kitu Cha kawaida tu.Tanzania mtu ana ku bully, ukimwambia hii ni bullying anakwambia nakutania tu, mbona uko sensitive sana?
Yani hapo hapo kaku bully halafu kaku gaslight.
Sasa unamtaniaje mtu ambaye hamna matani naye?
Ni too latesuala la bullying, hasa ya maneno ni ngumu sana kuidhibiti, changamoto kuu ikiwa ni malezi,.....
lakin kuikomesha hiyo ni ngumu sana,...
Kwahiyo imekuwa JINO KWA JINO ?Wenzio wanakuita Dr majaruba 🙃
Ni too latesuala la bullying, hasa ya maneno ni ngumu sana kuidhibiti, changamoto kuu ikiwa ni malezi,.....
lakin kuikomesha hiyo ni ngumu sana,...
Namuonesha jinsi kulivyojaa bullies humuKwahiyo imekuwa JINO KWA JINO ?
kwa bahati mbaya sana, matatizo mengi yanayotusumbua yamekaa sana kisiasa, yani mpaka nguvu ya dola itumike,....Ni too late
Hasa Kwa sie jamii zilizovurugwa kichwani.lakini mmoja akiamua anaweza
Namuonesha jinsi kulivyojaa bullies humu
Mkuu Abigail umegusa donda ndugu ambalo jamii yetu inalifumbia macho kwa kisingizio cha "Utani." Ukweli unaouma ni kwamba huku kwetu mstari kati ya utani wa kishkaji na uonevu (bullying) umefutika kabisa. Majina ya kashfa kama Cheusi Mangala, Kijeba, Kilaza au Zezeta yanachukuliwa kama burudani ya kawaida ya kijiweni au ya kifamilia. Hali hii inachagizwa na fikra potofu kwamba ili ufanikiwe Afrika lazima uwe na "ngozi ngumu." Mtu anayeonyesha kukwazwa huonekana mlaini, jambo linalopelekea waathirika wengi kuficha maumivu yao. Mbaya zaidi, mitandao ya kijamii imekuwa uwanja mkuu wa kejeli, kama ulivyotolea mfano wa shindano la Miss Grand International, ambapo watu wanajificha nyuma ya keyboards bila kujua ulimwengu unatusoma na kututafsiri vibaya.Salama wakuu?