Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.
Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.
Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.