Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
 
AL-HILAL ni Timu kubwa sikushangaa ilipoifunga Yanga imeshiriki fainal za Caf mara Kwa mara

Kwa Yanga Huu ni mfupa mgumu sana
 
Mie nilijua compare Simba na utopolo?????
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
 
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.

Moderators ondoeni takataka hizi humu, vinginevyo forum hii haitakuwa ya The Great Thinkers!
 
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Nilisikia sehemu..hakuna mwanamke anayemsahau mwanaume wake wa kwanza.
 
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Maumivu yenu mengine haya hapa,mtakomaje?
IMG-20221018-WA0008.jpg
 
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Tuwekee na takwimu za Yanga mkuu vile vile tuambie mara ya mwisho kuingia hatua ya makundi club bingwa Africa ilikuwa mwaka gani.
 
Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo.

Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi.

Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal walipotinga makundi mara hii wakaandika "Four times in a row", naomba kuwasilisha.
Yani Utopolo makundi anayoweza kuingia ni yale ya Whatsapp pekee.
 
Na nyie tangu 98 ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na mnajiita mabingwa wa kihistoria lakin ujinga tupu ...bora hata ushangilie kipanga fc maana sasa hivi mnajaribu kujifariji ...
 
Back
Top Bottom