Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi?
Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa.
Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa.
Ila je mbona haya maendeleo ya haraka sana, hizo fedha zimetoka wapi.ndani ya muda huu mfupi?