Mnataabika how Hance Mtanashati ?Huku tunataabika.
Hujabomolewa dada apo kwako?Mnataabika how Hance Mtanashati ?
Me nipo ndani ndani, sijafikiwqHujabomolewa dada apo kwako?
Oooohhh ok njia zipo nyingi utapita ata kwa khalifa au mawasiliano paleMe nipo ndani ndani, sijafikiwq
Nasubiri kutaabika na njia wakifika Kisauni sheli ya mwanzo, mbona itakuwa kipwate
Muhula wa mwisho Jeshi la zanzibar linauda ushirikiano wa kimedani na Iran ndo mtajua hamjuiNa wameamua kuchimba mchanga na kuharibu bonde la mto Msimbazi. Mama anapeleka Matrilioni kwao, kodi tunazozilipa Tanganyika zote zinaenda kuijenga Zanzibar, Siku moja watarudisha kila kitu walichokichukua hao mabaradhuli.
Ndio shida sasa hapo, mizunguko 🙂↕️Oooohhh ok njia zipo nyingi utapita ata kwa khalifa au mawasiliano pale
Itakubidi uzoee tu hakuna namnaNdio shida sasa hapo, mizunguko 🙂↕️