Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
- #41
Tanganyika tunahitaji tupate viongozi wazalendoni zaidi ya hatari

Kodi za Watanganyika zinabebwaNajiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi?
Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa.
Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa.
Ila je mbona haya maendeleo ya haraka sana, hizo fedha zimetoka wapi.ndani ya muda huu mfupi?
Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi?
Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa.
Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa.
Ila je mbona haya maendeleo ya haraka sana, hizo fedha zimetoka wapi.ndani ya muda huu mfupi?
ZANZIBAR MGONJWA MMOJA HOSPITALI YA LUMUMBA ANATUMIA TSH 1.5M PER WEEK NA SERIKALI INALIPANajiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi?
Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa.
Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa.
Ila je mbona haya maendeleo ya haraka sana, hizo fedha zimetoka wapi.ndani ya muda huu mfupi?
AISEEEEHiyo ilikuwa zamani ambapo gawio walikuwa wanapata 9% ila baada ya huyu mama kuingia gawio limekuwa 41%.
Na hapo tukikopa deni lote tunalipa wabara.
Pesa zinachotwa hazina na kupelekwa Zenji, mbona liko wazi hilo.Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi?
Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa.
Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa.
Ila je mbona haya maendeleo ya haraka sana, hizo fedha zimetoka wapi.ndani ya muda huu mfupi?
Bara bara zenyewe umeziona zinazojengwa yani Mfano barabara kutoka Magomeni mpaka Urafiki ndiyo mwisho wa Ujenzi au wanajenga barabara kutoka ilala Boma mpaka Karume.Binafsi yangu zanzibar ilikuwa nyuma sana kimaendeleo hakuna ubaya nao wakapata flyovers na barabara nzuri sio mbaya,tunyanyukeni sote na si kwingine kubakie nyuma not good,""tuache roho mbaya ""tuache wapumue japo kidogo.
Na dhamana ya Mikopo zinawekwa mali za Tanganyika Madini, Mbuga. Kwanini Dhamana tusiweke Bahali na fukwe kutoka Zanzibar?Shangaa mkopo tunagawana nao 59 kwa 41 na deni tunalipa sisi.
Hunaga maana yoyoye, ungekuwa mke wangu basi ningekugawa bure kwa mtu yeyoteumepiga chafya baada ya ukweli mtupu kuelezwa kwenye tetesi yako
au umepanic gentleman kwa kulemewa na ukweli?🐒
DahZANZIBAR MGONJWA MMOJA HOSPITALI YA LUMUMBA ANATUMIA TSH 1.5M PER WEEK NA SERIKALI INALIPA
MGONJWA AKIWA NA TATIZO LINAHITAJI KWENDA JKCI ANAPELEKWA NA SRIKALI YA ZANZIBAR BURE KABISA NA MATIBABU SERIKALI ITALIPIA.JUZI KUNA WAGONJWA WAWILI WATOTO WAMEPELEKWA INDIA FOR FREE
Kibibi anatafuna nchiAISEEEE
Mpaka atoke madarakani, hazina yote nyeupee.Pesa zinachotwa hazina na kupelekwa Zenji, mbona liko wazi hilo.
Ujinga wa kujitakia kwa machogo, Zenji wana nchi na serikali inayopambania maslahi yao na this time around rais wenu na rais wa Zenji wote ni Wazenji what do you expect zaidi ya machogo kupigwa left, right, back, front and centre.
Bila kuwa na Tanganyika mtapigwa sana na mtabaki kulialia tu, hao kina Mwigulu na kenge wengine machogo ndani ya CCM wao interests zao ni kwenye maslahi binafsi yao na ya familia zao.
Si waislamu wana sijdah kuubwa kwenye paji zao nyeusi na wanamuabudu allah na mudy?Kwa sasa zanzibar ndio mji wa makimbilio kwa vijana wanaojitafuta, unakuta kijana wa dukani analipwa 300k kwa mwezi huku bara mtu analipwa kuanzia 70k hadi 100k. Kijana ukipata fursa ya kwenda z,bar we nenda tu ila usije ukageuzwa mke wa watu huko maana huo ushetani umeshamiri sana huko.
Sasa hivi wanakwapua zaidi ya hiyo 3%.Zanzibar wana pokea fedha za mgawo wa mapato na mikopo yote inayoingia Tanzania bara, kama sijakosea wanapokea asilimia 3% ya mapato ya Tanzania Bara
Mfano TRA ikikusanya Trilioni 2 kwa mwezi, basi Zanzibar watapelekewa shilingi bilioni 60 hivi
Zanzibar ni ndogo ukilishanganisha na Tanzania Bara, kwahiyo ni rahisi kuijenga haraka na maendeleo kuonekana
Ukubwa wa Zanzibar ni kilomita za mraba 15.4 pekee
Wakati Mkoa wa Iringa pekee una kilometa za mraba 35,503
Wakati Wilaya ya Kilosa pale Mkoani Morogoro ina kilomita za mraba 11,773
Kwahiyo huku kwetu tunahitaji msuli hasa kuyafikia mafanikio
Kosa walilofanya viongozi wetu, ni kupitisha hiyo sheria kwamba ni haki kwa Zanzibar kupokea hiyo 3% ya mapato na mikopo yote wanayopata huku Bara
Nipo tayari kusahihishwa kwa hiki nilichokiandika, huenda sheria imebadirika
Nafikiri ndiyo maana Waziri wa fedha ameteuliwa kutoka kule ili kufanikishq huo ukwapuajiSasa hivi wanakwapua zaidi ya hiyo 3%.
Loyal✔️Nafikiri ndiyo maana Waziri wa fedha ameteuliwa kutoka kule ili kufanikishq huo ukwapuaji
Kwa maoni yangu, kwasasa hakuna Maafisa usalama walio royal kwa Nchi iwapo wanaacha hayo kutokea
Nimeedit tayari 🙏Loyal✔️
Ni zaidi ya 3%. Kama sikosei sasa hivi imefika 20%.Zanzibar wana pokea fedha za mgawo wa mapato na mikopo yote inayoingia Tanzania bara, kama sijakosea wanapokea asilimia 3% ya mapato ya Tanzania Bara
Mfano TRA ikikusanya Trilioni 2 kwa mwezi, basi Zanzibar watapelekewa shilingi bilioni 60 hivi
Zanzibar ni ndogo ukilishanganisha na Tanzania Bara, kwahiyo ni rahisi kuijenga haraka na maendeleo kuonekana
Ukubwa wa Zanzibar ni kilomita za mraba 15.4 pekee
Wakati Mkoa wa Iringa pekee una kilometa za mraba 35,503
Wakati Wilaya ya Kilosa pale Mkoani Morogoro ina kilomita za mraba 11,773
Kwahiyo huku kwetu tunahitaji msuli hasa kuyafikia mafanikio
Kosa walilofanya viongozi wetu, ni kupitisha hiyo sheria kwamba ni haki kwa Zanzibar kupokea hiyo 3% ya mapato na mikopo yote wanayopata huku Bara
Nipo tayari kusahihishwa kwa hiki nilichokiandika, huenda sheria imebadirika
Zanzibar wana pokea fedha za mgawo wa mapato na mikopo yote inayoingia Tanzania bara, kama sijakosea wanapokea asilimia 3% ya mapato ya Tanzania Bara