Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kuna wakati nilitaka kuanzisha uzi kwamba yooote haya tunayo pitia ni sababau ya mabeyo, kuna namna hata ikibidi kwa maslahi mapana ya taifa katiba isifutwe ili kunusuru nchi.Yote aliyataka mabeyo...polepole,bashiru lukuvi walipinga.
Cha ajabu watanzania bara bado hawashtuki tu.Kweli kabisa mkuu, huku zenji saahii kila barabara inajengwa. Full foleni kila kona kuna ujenzi.
Kuhusu lukuvi hapa ndio umenishtua , kumbe ndio maana aliukosa uwaziri na pia hata alipokufa samia hakwenda kumzika.lukuvi
Hili ni sahihi kabisa kwa 100% na nawajua wengi waliokimbilia hukoKwa sasa zanzibar ndio mji wa makimbilio kwa vijana wanaojitafuta
Na wameamua kuchimba mchanga na kuharibu bonde la mto Msimbazi. Mama anapeleka Matrilioni kwao, kodi tunazozilipa Tanganyika zote zinaenda kuijenga Zanzibar, Siku moja watarudisha kila kitu walichokichukua hao mabaradhuli.Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi?
Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa.
Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa.
Ila je mbona haya maendeleo ya haraka sana, hizo fedha zimetoka wapi.ndani ya muda huu mfupi?
Watanganyika hasa viongozi sijui hawaoni hili ama vipi.Cha ajabu watanzania bara bado hawashtuki tu.
Nenda wewe mbara na Figo zako mbovu ukatibiwe Zanzibar kama utapata hiyo huduma.
Inasikitisha sana.Na wameamua kuchimba mchanga na kuharibu bonde la mto Msimbazi. Mama anapeleka Matrilioni kwao, kodi tunazozilipa Tanganyika zote zinaenda kuijenga Zanzibar, Siku moja watarudisha kila kitu walichokichukua hao mabaradhuli.
Wangekuwa wanajielewa , wangejiuliza kwa nini Zanzibar haijasema lolote kuhusu October 29.Watanganyika hasa viongozi sijui hawaoni hili ama vipi.
Hadi 2030 zenji itakuwa ina utofauti mkubwa sana na Tanganyika kimaendeleo
Watanganyika ni akina Kabudi Palamagamba, Nape, Patrobas, nk. Kwani hao unawaona wana akili?Watanganyika hasa viongozi sijui hawaoni hili ama vipi.
Hadi 2030 zenji itakuwa ina utofauti mkubwa sana na Tanganyika kimaendeleo
Na Samia akiamua kugombea tena 2030 wanaweza wasiwe na pingamizi.Watanganyika ni akina Kabudi Palamagamba, Nape, Patrobas, nk. Kwani hao unawaona wana akili?
Gentleman,Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi?
Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa.
Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa.
Ila je mbona haya maendeleo ya haraka sana, hizo fedha zimetoka wapi.ndani ya muda huu mfupi?
umepiga chafya baada ya ukweli mtupu kuelezwa kwenye tetesi yakoSenge jingine hili hapa.
Hujielewi.umepiga chafya baada ya ukweli mtupu kuelezwa kwenye tetesi yako
au umepanic gentleman kwa kulemewa na ukweli?π
muerevu na unaejielewa mbona unapiga chafya za mihemko tu kwenye tetesi yako mwenyewe aise, relax bana gentleman πHujielewi.