Tetesi: Ndani ya muda mfupi, Zanzibar imetajirika ghafla ila Tanganyika chaliii

Zanzibar wana pokea fedha za mgawo wa mapato na mikopo yote inayoingia Tanzania bara, kama sijakosea wanapokea asilimia 3% ya mapato ya Tanzania Bara

Mfano TRA ikikusanya Trilioni 2 kwa mwezi, basi Zanzibar watapelekewa shilingi bilioni 60 hivi

Zanzibar ni ndogo ukilishanganisha na Tanzania Bara, kwahiyo ni rahisi kuijenga haraka na maendeleo kuonekana

Ukubwa wa Zanzibar ni kilomita za mraba 15.4 pekee
Wakati Mkoa wa Iringa pekee una kilometa za mraba 35,503
Wakati Wilaya ya Kilosa pale Mkoani Morogoro ina kilomita za mraba 11,773

Kwahiyo huku kwetu tunahitaji msuli hasa kuyafikia mafanikio

Kosa walilofanya viongozi wetu, ni kupitisha hiyo sheria kwamba ni haki kwa Zanzibar kupokea hiyo 3% ya mapato na mikopo yote wanayopata huku Bara

Nipo tayari kusahihishwa kwa hiki nilichokiandika, huenda sheria imebadirika
 
Hiyo ilikuwa zamani ambapo gawio walikuwa wanapata 9% ila baada ya huyu mama kuingia gawio limekuwa 41%.

Na hapo tukikopa deni lote tunalipa wabara.
 
Hiyo ilikuwa zamani ambapo gawio walikuwa wanapata 9% ila baada ya huyu mama kuingia gawio limekuwa 41%.

Na hapo tukikopa deni lote tunalipa
 
Zanzibar maisha ni ghali sanaaa iyo laki 3 si kweli
 
Hiyo ilikuwa zamani ambapo gawio walikuwa wanapata 9% ila baada ya huyu mama kuingia gawio limekuwa 41%.

Na hapo tukikopa deni lote tunalipa
Kama tumefika asilimia 41 mbona itakuwa ni hatari zaidi

Maana ukiangalia kijiografia, Zanzibar ni ndogo mno ukilinganisha na Tanzania bara, bora ingerudi hiyo asilimia 3 ya miaka ya zamani
 
Lucas mwashamba kwani anasemaje
 
Kaamua kulazimisha 50% ka 50% . Nusu ya mkopo unakwenda Zanzibar . Ndio maana kaamua kukopa sana nje ili mgawane nusu kwa nusu ila kwenye kulipa hakuna 50% kwa 50 , mlipaji ni Tanganyika. Wakawashauri na wale waliokuwa viongozi wa CHADEMA zanzibar nao wafungue kesi ili kugawana maliza CHADEMA nusu iende Zanzibar wakati CHADEMA haijawahi kupata hata mwenyekiti wa kitongoji Zanzibar, halafu wanataka mgao wa nusu kwa nusu kwenye tone tone zinazochangwa Tanganyika na watanganyika kusaidia CHAMA kisicho na ruzuku
 
Mkuu, zenj inawatu milioni tano tu Bara tupo milioni 60!
Zenj inaingia mara tano katika mkoa wa Kagera!
 
ni zaidi ya hatari
 
Hii nayo ni kero kubwa ambayo watanzania tunapaswa kuijadili pamoja na mengine, imewezekanaje wavivu wa huko kupata maendeleo makubwa kama haya na kwa muda mfupi tu, huku wachapakazi wa bara wakiendelea kusota bila maendeleo.
 
sasa mnalalamika nini? tulieni sindano iingie hakuna namna ndio mliyoyataka , simlikua mnasiia sifia kila upuuzi kazi kwenu sasa. nyambaf
 
Bado kuna wajinga wanampigia makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…